Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,692
- 26,584
- Thread starter
-
- #21
tumuombe M/mungu atuepushie mbali,maana tumeshakuwa mateja wa JF. Nalog off
Itasaidia kunipunguzia hasira za kupigwapigwa ban.
Mwenzangu, hivi hajui ndio kwanza nina wiki moja tu humu JF! mie kanikera kweli na ndoto zake za kimweri...lol
I hope that the rules of the game are all familiar to you, kwa kuepusha hizo nadhani ungeanza kwa kujitawala wewe binafsi....au ban unazopewa ni za uonevu?
Mi nitakumiss sana hayseKuna watu nitawamiss sana humu maana ndio itakuwa mwisho wa kuwasiliana nao.
first of all I hope haitatokea..
huwa napenda ku spend time kwenye
forum ya Mwana Kijiji.. huko utapata up date za JF...
asante
Hao unaowazungumzia hawa log off. Nalog offkwa ku-lo off sikuwezi.
Kama ungekuwwa un log on na off that freaquently naamini utakuwa umemzidi hata Mwanakijiji na Invisible.
Uteja "addiction" wa JF ni zaidi ya "unga". Kama unabisha muulize Nyani Ngabu.
......by any reason kama JF haitakuwa hewani kwa muda wa mwezi mmoja?
Unadhani wewe utakuwa na hali gani? Ni members gani wataathirika zaidi.
Je unadhani serikali itapumua? Au mafisadi watanawili?
Maadui wa umma watakenua? Au harakati zitahamishiwa facebook na twitter?
Najiuliza mambo mengi,
vp kama itaanzishwa Forum ya the banned yaani kama 'Prison' fulani hivi kwa ajili ya wenye ban tu wengine wasiwena access ya huko unadhani nini kitakuwa kinajadiliwa kule? Ni nani wataongoza kwa kupelekwa?
Kwasababu za kiudadisi je unadhani ban zitaongezeka?
ila kungekuwa na jukwaa la waliopata ban,yaani wakati wapo jela wawe wanapeana faraja wenyewe kwenye jukwaa lao