Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,371
- 111,682
wewe ni fekero?
Best mbona hupatikani kwa kilongalonga...
wewe ni fekero?
natamani hawa ma-almaarufu wa jf mmu wa-date ,Moneystuna aje na ma-iphone 5 yake,i-pad na i-pod..unyunyu wa kilo 2, na designer suit yake ya singo batan..
huku Lara 1 akizishusha lite beer zake huku akipima upepo wa Moneystuna..
sijui yupi atakuwa wa kwanza kuja kumlipua mwenzake huku jukwaani,maana wote ni noumaa.
jumapili njema wana MMU
married babu....unataka niachweBest mbona hupatikani kwa kilongalonga...
married babu....unataka niachwe
wewe ni fekero?
teh teh miss u a lot lakini? tunasafiri lini tena?Hahaha...hongera sikuwa najua hilo!!
itakuwa kawaida kama Mwita Maranya na mwaJ
teh teh miss u a lot lakini? tunasafiri lini tena?
poa bwana sipo bongo lakini...nitakucall badaeHahaha we endelea kutunisha kibubu...safari ikitangazwa tena tu haraka tunakwea pipa sio basi tena!
Nitakucheki baadae kama upo hewani...
poa bwana sipo bongo lakini...nitakucall badae
muzee ya pesa mingi nimefulia jamani nitoe hata kilo moja nikanunue viungo nipike pilau leo jpili wangu...
naona umemchoka madame B
wewe ni fekero?
nani kakwambia tutakuja kulipuana umu. mtaishia kutuona jf photo kutuona Hawaii tunakula bata
lara 1 anasali makanisa yetu yaleee nini,
kwa hiyo unataka kusema moneystuna akitupia singo batani yake na li-iphone 5 halafu lara1 akiwa anashangaa shangaa moneystuna lazima aje kumwaga breaking news humu