kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,882
Natamani hawa ma-almaarufu wa jf mmu wa-date ,Moneystuna aje na ma-iphone 5 yake,i-pad na i-pod..unyunyu wa kilo 2, na designer suit yake ya singo batan, huku Lara 1 akizishusha lite beer zake huku akipima upepo wa Moneystuna.
Sijui yupi atakuwa wa kwanza kuja kumlipua mwenzake huku jukwaani,maana wote ni noumaa.
jumapili njema wana MMU
Sijui yupi atakuwa wa kwanza kuja kumlipua mwenzake huku jukwaani,maana wote ni noumaa.
jumapili njema wana MMU