ahahahhahahhahaa KATAAA MPAKA UNAKUFA!
Au huyo mamani ni yule bibi (wa gesi) wa Msambiati, Mtwara??Duh hiyo majanga kabisa Kaunga na kweli hapo hata mama nina wasi wasi nae ni mmoja wa watalaam
Hahahahahaha hii kali jamani Kaunga story inachekesha, unajua Tized umenikumbusha siku moja rafiki yangu alimkurupusha binti yake na kumuuliza kama alikua kavaa underW kumcheck akakuta hakuvaa na alipomuuliza kwanini binti akajibu alikua ameivaa hata yeye anashangaa imetokaje kumbuka hapo kavaa jinzi sasa jiulize ilitokaje. Sasa kukana ni kawaida ya binadam lkn njia aliyoitumia mama huyu sijawahi sikia kwa kweli. Ina maana mkaka mpaka sasa bado yuko kwenye nightmare haelewi elewi. Ama kweli tembea ujionee.Hahhaaaaaa, Mama ni noma huyo.
Mhutubu mmoja amewahi kuniambia, ''mdogo wangu ukimfumania mkeo, usikubali kujidai umemuona umuulize baadae, lazima atakukana, Penginge ukimshikia apo atakubali hata hivyo ukiwa kwa mbali atasema alikuwa analazimishwa kitu asichokitaka na nguo zimemtoka tu kwenye hizo puzukushani''
Chezea wadada nini!
Naileta kama nilivyosimuliwa....
Kuna mdada au mmama alifumaniwa na mumewe kwenye getto la kijana wa kitaa.
Alivyoona mumewe anahangaika na mgoni (kumdunda na kumkamata) mdada karuka dirishani na kukimbia nyumbani kwake.
Mumewe alivyorudi na kuanza kumuhoji juu ya incident, bidada karuka futi sitini na viapo juu kwamba "hakuwa yeye". Majirani na wazee wa heshima walivyokuja bado bidada kakataa katu katu.
Basi ikabidi maustadh na mashekh wahusishe, still dada kakana. Ikaamuliwa dada alishwe yamini, ikapangwa hiyo issue iwe kesho yake.
Bidada chipi ikambana, ikabidi amsimulie mama yake. Mama yake akamwambia, basi kesho asubuhi mapema uje. Kweli, alfajiri bidada huyo kaamkia kwa mama; kufika mama anamtolea matitii anyonye. Binti akashangaa na kusita. Mama kasisitiza mdada anyonye, alivyonyonya akamwambia "ukienda nyumbani apa tangia uache kunyonya titii la mama yako hujawahi kuzini".
Kweli, walivyomsomea sijui albadiri mdada akaapa na hakuna lililomdhuru. Matokeo yake, mume akaanza kudoubt hadi macho yake mwenyewe.
NB: si lengo langu kuhamasisha cheating, lkn nkmeiadmire tu akili ya mama yake mdada mzinzi.
Hahahahahaha hii kali jamani Kaunga story inachekesha, unajua Tized umenikumbusha siku moja rafiki yangu alimkurupusha binti yake na kumuuliza kama alikua kavaa underW kumcheck akakuta hakuvaa na alipomuuliza kwanini binti akajibu alikua ameivaa hata yeye anashangaa imetokaje kumbuka hapo kavaa jinzi sasa jiulize ilitokaje. Sasa kukana ni kawaida ya binadam lkn njia aliyoitumia mama huyu sijawahi sikia kwa kweli. Ina maana mkaka mpaka sasa bado yuko kwenye nightmare haelewi elewi. Ama kweli tembea ujionee.
Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa.................... Kaunga, yaani leo nimeianza J3 vizuri maana nilikuwa nimeamka na kisirani mbaya, mambo ya mkoloni haya, yaani ukiwaza tu viporo vya J3 unajikuta unagombana na kila mtu njaini kama usipokuwa na werevu wa hisia.... LOL
Wala usije ukajaribu kufanya hivyo. Mie ntakuanza kwanza wewe kukupa kibano ili usiseme kama SHAGGY....