"It wasnt me!" - A true story!

"It wasnt me!" - A true story!

Kaunga hadithi hii kakufundisha nani!! Kakwambia inafundisha nini!! Haya tumpigieni makofi ya kumpongeza mtoto mzuri..pwa pwaaa pwaaa!!!
 
Ha ha ha ha Kaunga.. Huyo huzband nae akili hana.. Kosa la kwanza ni kumpiga mwanaume mwenzie.. Kwa ujinga huo atamaliza kuwapiga wanaume wote wa mtaani.. Kosa la pili ni kumuacha mkewe atoke mita.. In reality ushahidi ni kwenye tukio..
 
Last edited by a moderator:
daaah i never thought kama kuna kitu kama hiko
 
Ha ha ha ha Kaunga.. Huyo huzband nae akili hana.. Kosa la kwanza ni kumpiga mwanaume mwenzie.. Kwa ujinga huo atamaliza kuwapiga wanaume wote wa mtaani.. Kosa la pili ni kumuacha mkewe atoke mita.. In reality ushahidi ni kwenye tukio..

Smart you.😀
 
Last edited by a moderator:
Kaunga hadithi hii kakufundisha nani!! Kakwambia inafundisha nini!! Haya tumpigieni makofi ya kumpongeza mtoto mzuri..pwa pwaaa pwaaa!!!

Pole, ya kiukwelii.
Najua sio nzuri, lkn wewe hujashangazwa na uwezo wa mama mkwe kuokoa ndoa ya bintiye?
 
Duuu hiyo kali, Kaunga inaonekana huyo mama yake naye pia alikuwa "yumo" sana kwenye mambo hayo!!!!

inawezekana kuanzia mashehe mpaka mumewe wote ni wazinzi ndio maana haikudhuru..
 
Last edited by a moderator:
Naileta kama nilivyosimuliwa....

Kuna mdada au mmama alifumaniwa na mumewe kwenye getto la kijana wa kitaa.
Alivyoona mumewe anahangaika na mgoni (kumdunda na kumkamata) mdada karuka dirishani na kukimbia nyumbani kwake.

Mumewe alivyorudi na kuanza kumuhoji juu ya incident, bidada karuka futi sitini na viapo juu kwamba "hakuwa yeye". Majirani na wazee wa heshima walivyokuja bado bidada kakataa katu katu.

Basi ikabidi maustadh na mashekh wahusishe, still dada kakana. Ikaamuliwa dada alishwe yamini, ikapangwa hiyo issue iwe kesho yake.

Bidada chipi ikambana, ikabidi amsimulie mama yake. Mama yake akamwambia, basi kesho asubuhi mapema uje. Kweli, alfajiri bidada huyo kaamkia kwa mama; kufika mama anamtolea matitii anyonye. Binti akashangaa na kusita. Mama kasisitiza mdada anyonye, alivyonyonya akamwambia "ukienda nyumbani apa tangia uache kunyonya titii la mama yako hujawahi kuzini".

Kweli, walivyomsomea sijui albadiri mdada akaapa na hakuna lililomdhuru. Matokeo yake, mume akaanza kudoubt hadi macho yake mwenyewe.

NB: si lengo langu kuhamasisha cheating, lkn nkmeiadmire tu akili ya mama yake mdada mzinzi.

Hhaahahaaaaaa loooh nimekukubali na huyo mama mzenziberi msimuliaji nae nimemkubali khaaa!! ushawahi sikia mtu anamwambia mwenzake, ''ukinome kama ulivokoma titi la mama yako.'' kumbe hiyo ya kunyonya titi inawork ngoja ntaifanyia majaribio hehheheheeee
Sasa noimejiuliza tuu je? ingekuwa aliyefumaniwa ni mwanaume je? mama yake angemruhusu kunyonya? yaani mwanaume aliyefumaniwa angeruhusiwa kunyonya titi la mama yake? maana anaweza jisahau na kuanza kushuhulika hahahahaaa
au angeenda kumwambia baba yake angemwambia nae anyonye? au..................? just curious question came into my mind....................
 
Aisee...kweli an apple doesn't fall far from the tree!
 
wakwe wavizazi hivi wanahamasisha uzinzi, tumekwisha
 
Ukipata mama mkwe aina hii hata binti ukmuoa akiwa bikira
ni kazi bure
atafundishwa tu mama yake

mama mkwe dizaini hii ni pasua kichwa
 
Ukipata mama mkwe aina hii hata binti ukmuoa akiwa bikira
ni kazi bure
atafundishwa tu mama yake

mama mkwe dizaini hii ni pasua kichwa
huyu mama ndo mwenyewe bana!
one needs to have zis mazeri!sio unakuwa na mama hata huwezi kudanganyia uko kwake,k
shapiga simu "eeti baba kwani mwenzio amefika saa ngapi leo manake kwangu aliondoka saa 4 asbh"
huzzie akichek saa ni 5 kasorobo usiku!chaa!
huyu mama atasema tu kuwa binti alipita kwake kama akiulizwa!LOL!
 
Pole, ya kiukwelii.
Najua sio nzuri, lkn wewe hujashangazwa na uwezo wa mama mkwe kuokoa ndoa ya bintiye?

huyu mama ni zaid ya kichwa!
akili aliyotumia ni bharaa!
kitu cha mnyonyo wa dhiwa af unaenda kula yamini!
mkavuuuuuu!
eenh ndio sijadoo nje toka ninyonye ziwa la mamaangu!
unamalizia ''aaaakhi vile"
 
Back
Top Bottom