It was nice dinner

Ukiona hii picha na walivyopendeza hutadhani kama Tanzania watu wake ni maskini... Kumbe ni mikupe michache inakula raha na warembo kama iko paradiso kwa kisingizio cha kuwa wabunge na watetezi wa walalahoi bungeni. Majizi makubwa kungaa huko ni posho na pesa zetu wavuja jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…