It was my day

unaona
ulifanya baba yako akatuacha wote
kila mama unampigia debe
kwenda zako huko.
humtaki kwasababu mzee?
mfikirie kidogo, nitajidai nikiwa na mama kama wewe!
 
Asante sana Mr Rocky
Kuna haja ya kusema kweli wakati mafaili yangu yote uliyazuilia kwako
hivi unajua talaka uliyonipa imeniletea majanga makubwa sana
Mbona hujasema my mtalaka kuwa una libirthday aise hiyo cake wapi sasa. Happy belated birthday mtalaka wangu Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
hongera Mamndenyi kwa kuwa the june winner kama mimi hongera sana
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mr Rocky
Kuna haja ya kusema kweli wakati mafaili yangu yote uliyazuilia kwako
hivi unajua talaka uliyonipa imeniletea majanga makubwa sana

hahahahah mafile nishayaachia Mamndenyi sina haja ya kuwa nayo tena bana mimi kwa sasa niko na my wife wangu Dena Amsi na anakutakia birthday njema na hao uwapendao. Mhhh kweli majanga maana kila kidume cha humu chit chat kinataka kuwa na wewe sijui umeenda Bwagamoyo kwenda kuchukua kizizi cha kuwavuta maana kuna Slave, Katavi, St. Paka Mweusi, Baba V , Arushaone, Kaizer, manoah na Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
huyo ni wako mwenyewe kula good time Mr Rocky
na kama vipi mwambie pia nimepokea hiyo wishes yake, sina kinyongo mie
Nakwambia kasheshe limenikuta
itabidi niwakee uzi wa bado nipo nipo kwanza ili wakajaribu mahali kwingine, Mamndenyi ndoa bado
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…