Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,444
- Thread starter
- #281
fungua php.ini ambayo inakua c:/php
halafu nenda sehemu imeandikwa "display_errors=off" eka on.
Halafu seti error gani wataka kudisplay, hapa eka hivi:
error_reporting = E_ALL & E_STRICT
Unaweza kugundua tatizo hapa. there is a bug from front end when a user want to add and entry. There is no problem when you add a new entry as admin in back end.
Visit site hii nayotumia kutengeneza hii kitu. wanani. Kwenye contact directory menu chagua add entry. Then click select category ya kitu unachotaka kuadd . Chagua category yeyote ile alafu slect add category.
Ukiachagua add category kuna error message inakuja nadhani inaendana na maelezo ya error ya Php.kwamba kuna tatizo kwenye line 238 ya select.php
few line of codes karibu nahiyo line 238 ni hizi hapa chini.
PHP:
326 /**
327 * Gets the data for a field and save it in the database
328 * @param SPEntry $entry
329 * @return bool
330 */
331 public function saveData( &$entry, $request = 'POST' )
332 {
333 if( !( $this->enabled ) ) {
334 return false;
335 }
336 $data = $this->fetchData( $this->multi ? SPRequest::arr( $this->nid, array(), $request ) : SPRequest::word( $this->nid, null, $request ) );
337 $cdata = $this->verify( $entry, $request, $data );
338
339 $time = SPRequest::now();
340 $IP = SPRequest::ip( 'REMOTE_ADDR', 0, 'SERVER' );
341 $uid = Sobi::My( 'id' );
NB. select.php file zima hilo hapo chini