IT Project Kwa Vitendo

IT Project Kwa Vitendo

Anyway sio vibaya kukubali kushindwa wajamani. Naona majukumu yametuzidia. Wanasema asiyeubali kushindwa si mshindani

Napendekeza hii kitu tuifunge. We have tried our level best so far naona tummefanikiwa na tumejifunza mambo na vitu fulani japo hatujafikia lengo halisi.
 
Heheheheh kaka si niliwaambia mimi? hili jambo mnalifanya kubwaaaaa kama mnataka kuunda ndege au kununua kisiwa kizima wakati kitu kidogoooo lakini hamkuniskia, haya mambo nina uzoefu nayo sana na ndio maana nikawapa ushauri lakini mkanifanya mjinga. mambo kibaaooo mara hili mara lile mara kuandaa documents mara semina. kaka niliwaambia hii kitu bora ipande hewani hayo maswala mengine baadae kisha mkabisha eti mnataka kila siku mawazo mapya haya mnaona sasa mnatka kuifunga hii ishu. anyway mi yangu macho.
 
mtazamaji, naomba nieke leader hapo juu. I hate to quit. hata kama nitakua peke yangu, spidi ya kobe. Lakini hii project itaisha.. so please nirudishe kwenye team.
 
mtazamaji, naomba nieke leader hapo juu. I hate to quit. hata kama nitakua peke yangu, spidi ya kobe. Lakini hii project itaisha.. so please nirudishe kwenye team.

RedSilver endelea tu hakuna shida. . I will participate from back bench constructively if not destructively. .
 
Heheheheh kaka si niliwaambia mimi? hili jambo mnalifanya kubwaaaaa kama mnataka kuunda ndege au kununua kisiwa kizima wakati kitu kidogoooo lakini hamkuniskia, haya mambo nina uzoefu nayo sana na ndio maana nikawapa ushauri lakini mkanifanya mjinga. mambo kibaaooo mara hili mara lile mara kuandaa documents mara semina. kaka niliwaambia hii kitu bora ipande hewani hayo maswala mengine baadae kisha mkabisha eti mnataka kila siku mawazo mapya haya mnaona sasa mnatka kuifunga hii ishu. anyway mi yangu macho.

Isssam mchango wako wa mwanzo ulikuwaga huu naunukuu kutoka page ya 12

Hivi ndugu zangu mnatumia akili kweli ama mnafanya tuu haya mambo bila ya kufikiria kwa kina?? sidhani kama unaweza kutoa idea ya kitu kikubwa kama hicho kisha ukaumiza watu vichwa kisha huna hata pesa za kuhost. na pia ukaihost kwenye hosting za free pia hata domain ikakushinda kununua. jamani nawashauri kwanza mkae tena chini team nzima kisha muchange pesa na mkiibua kitu kiwe cha uhakika na cha maana wewe unadhani ukifanya km hivi mlivyofanya mashirika ama kampuni gani itawaunga mkono? je mtumiaji gani ataitumia?? fanyeni kitu kitaalamu na pia mkitaka msaada nitawapa na si kufanya kitu kiutoto kama hivi eti mnahost kwenye free severs. what is this?? pia angalieni sana kwenye graphics naona bado kabisa pia km mnataka msaada niambieni. napenda kuwaona watu wanafanya kitu kwenye mambo ya I.T lakini si km hivi mlivyofanya. mkiamua kitu inabidi mjitolee kihali na mali si kuchangia kwa maneno tuu. ww unadhani hii JF wangehost kwenye free severs na free domain nani angeingia??? jiulize? jipangeni upyaaaaaa mabrother

Sasa naona michango yako inajicontradict .siku za nyuma umesema kitu hiki ni kikubwa sana hatuna pesa Leo unasema tunazungusha mambo kwa kitu ambacho kwa mtazamo wako wa leo ni kidogo. Nashindwa kukuelewa sometime.
 
Napenda kuwashukuru wale wote walitoa challenge za hapa na pale na wale tuliotofautiana kimawazo na kimtazamo. Mikwaruzano ya hapa na pale haiepukiki hata kwenye real life project. Hope ingawa project haijakamilika washiriki tumejifunza mambo fulani

Kwa nama ya Pekee tujipongeze na tuwashukuru waliochangia na wale tulioshiriki moja kwa moja

  1. Superman
  2. Kontikkwarak
  3. YeshuaHaMalech
  4. Chamoto
  5. Buswelu
  6. Tabutupu
  7. Xpaster
  8. Redsilversilverdog
  9. Mtazamaji
  10. etc ( kama kuna niliowasahu ongezeni)
Na wengine wengi amabo sijawataja . Kuna dada mmoja nimesahu jina lake.

Project imefungwa rasmi na tunaweza kupiga story za kahaw kureflect mambo ambayo hayakuwa sahihi

  • what or why went wrong ?
  • kwa nini inakuwa?
 
Lakini hii ni open project, kila mtu yupo huru kuiendeleza, Redsilversilverdog ungepaswa ile project kuiendeleza hapa hapa...!

Lakini kama utaona kuwa kuendeleza uko kwenye sredi nyingine kutaipa nguvu hiyo project ni sawa nasi tupo pamoja tutakuunga mkono.
 
X-paster uko sahihi yeyote yule anaruhusiwa kuindeleza

Nadhani Resilverdog hajakosoea. kuanzisha mpya itawezesha kufanya ammendment. na kuipa nguvu mpya kama ulivyosema
Mtazamaji kwa sababu umeshindwa na hii project na ulikua na lengo zuri na nguvu za kuifanya hii ila watu walikua wanakuchanganya sana na wakaharibu akili yako mpk ukaifunga hii. nakuahidi nitaiunda hii project kisha nitakupa uiendeleze na nitaiweka hewani uione. napenda watu kama nyinyi wenye mwamko kwenye I.T

issam kwa mtazamo wangu hakuna aliyeivuruga. Kutokubaliana kupo na ndiyo jinsi tulivyokubaliana kufanya kazi . Na ni challenge ya kawaida. Zaidi kilichofanya iwe hivyo ni kulega lega lega

Otherwise no comment
 
Guys I developed an application which is almost the same to this idea. Just today I saw this thread and I was like what a coincidence.

I am in the process to keep it online. I implemented four categories and more to come, because already the code is available it is a matter of adding more categories by editing the available code and improving other parts of the system.

I developed everything from scratch. With the CMS. I am working on improving some stuffs and keep it online.

We must have one of the most powerful search engine. Time is money, search engines saves time.
 
nimeipata kiasi ur ideal, kwa jinsi nilivyoelewa mimi ni hivi, mnataka kutengeneza team ambayo itachangia mawazo ya kuweza kucreate iyo database ambayo umeitolea muongozo c o? kwa bahati nzuri na mimi ningependa nijumuike pamoja na nyie ili niweze kutoa kamchango kangu hapo,..am i.t tech by professional, hii imekaaje mdau wangu?
 
Ungeipitia vizuri nyuzi nzima ungegundua kuwa imeshakuwa shelved! Lakini ni open project so unaweza kuendelea walipoishia.
 
Haha, nimekua linked to this thread by someone ikabidi nianze kuisoma from page one to page 17. You guys really thought you could do this without even having the html pages ready?, team leader redSilverDog ulisema unajua Ruby on Rails, why didn't you suggest that you use that? it would take no more than two weeks maximum to finish that project with rails while it would take longer with php / java.
 
Last edited by a moderator:
Mpo wapi wataalamu mbona mmepotea
Natamani kuona hii kitu inaendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom