IT Project Kwa Vitendo

IT Project Kwa Vitendo

Wakuu na members baada ya kufanya reseach kuhusu ni application gani itayayotupa base nzuri ya kutengeza hii directory nimeona ni Joomla. Nimes earch na kusoma reviews za watu mbali mbali mbali online nimeona Kuna extension ya joomla inatwa Subipro hasa ndo tutahitaji tujifunze na tujijue ili iweze kutusaidia kutengeza directory yenye nguvu. zote hizi ni free.

Na kwa sisi kufanya wenyewe ndo tutakuwa tunajifunza na kuelewa.

Nawasilisha baadhiya link mnaweza kucheki na kuona kama inaweza kufaa kwa kuanza majaribio yetu
Sigsiu.NET - SobiPro - Multi-Directory for Joomla!
First Look - SobiPro Component for Joomla - Part 1

Kwa hiyo napendekeza tufanya na tujipe wajibu huu.

  • Tuinstall Joomla kwenye test enviroment server yetu. Current stable version ni 1.6 lakini ili tuweze kutumia subirpo itabidi tu upgrade kwenda version 1.6.1.

  • Tutumie kama wiki moja au mbili kusoma na kuelewa structure ya joomla na hii tool ya subripro.
  • Then tuchague template nzuri itayofaa kwa mazingiraya directory website. watalaam wanasema sio kila tempplete inafaa kwa kila aina ya CMS.

  • kulingana na template tutakayochagua tukubaliane content gani tutaweka wapi.
mdau yeyote mwenye ufahamu wa joomla au application yeyote anakaribishwa atoe maoni au atupe shule. ili tujaribu kuchugulia solution nyingine kama zipo.

Nawasilisha

.
 
Je kaka una demo yoyote ya hii subipro ili tuone inafanya kazi vp?
 
Je kaka una demo yoyote ya hii subipro ili tuone inafanya kazi vp?

Demo yake iko hapa SobiPro Demo Site - Imprint / Impressum.

Hii sobipro inatoa structure ya kutengeza mambo yaliyopo kwenye kiunganishi cha This site . So uisangalie hiyo home page. Nenda bofya sehemu imeadikwa Business directory au Car and vehicles . Hizi ni database mbili zinakuja ndani ya sobipro kama sample. Unaweza kuziedit na kubadilisha category au tunaweza kuannza na structure yetu mpya.

Mfano kwenye local mashine yangu kwenye sample Business directory ya sobipro nimeweza kuongeza category ya Transport na Serikali . ndani ya category serikali Nikaweka subcatgories za Wizara , Mikoa, Wilaya. Kwenye wizara nikajaribu kufanya entry moja ya wizara na contact zake.

Imeenda safi ila kuna mabadiliko tutatakiwa kufanya sababu kwenye adress unatakiwa kuchagua nchi sisi tutaweka mikoa na wilaya.

Ambacho sijaweza ni kuzipublish hizo data nilzoingiza zitokee kwenye webpage.

But I think Sobipro and Joomla kwa pamoja zitatuwezesha.
 
Zaidi ya test envroment ya project yetu kila mjumbe anaweza kuwa na test enviriment yake online. Hii itasaidia kuonyesha. Soakitest kitu akaona kinafaa anawaonyesha wenzake kwa kuwapa link. Sababu uifanya local wengine hawaoni.

Na uzuri zipofreee tetsing envirment. Hakuna shida.

Nimeendelea kutest sobipro mnaweza icheki hapa http://www.teknohama.byethost31.com/jom/ Then kwenye menu ya This site chagua wanani au nenda moja kwa moja http://www.teknohama.byethost31.com/jom/index.php/wanani

So naendeleea kupendeza installation ya stable Joomla 1.6 ifanyike
 
Zaidi ya test envroment ya project yetu kila mjumbe anaweza kuwa na test enviriment yake online. Hii itasaidia kuonyesha. Soakitest kitu akaona kinafaa anawaonyesha wenzake kwa kuwapa link. Sababu uifanya local wengine hawaoni.

Na uzuri zipofreee tetsing envirment. Hakuna shida.

Nimeendelea kutest sobipro mnaweza icheki hapa Home Then kwenye menu ya This site chagua wanani au nenda moja kwa moja wanani

So naendeleea kupendeza installation ya stable Joomla 1.6 ifanyike

Mkuu ili wazo lako la kila mtu kuwa na test inviroment yake online ni wazo zuri sana nami naliunga mkono...!

Niliwai kutumia Joomla kabla, zipo complicated kidogo, ila tukijitahidi tunaweza kufanikiwa...!

Zile ulizopandisha si mbaya lakini naomba fanya kitu kamili ili tuone itakuwaje.
 
Kwa kweli kaka si mbaya na si nzuri hii sobipro mana kitu ambacho i hate ni kuona neno hili Powered by Sigsiu.NET jaribu kutafuta ama kuangalia uwezekano wa kufuta hilo neno
 
Powa sana kama unajua joomla mimi nineaanza kusosma soma juzi tu. Lakini bado hata kama sisi member tuna test enviroment zetu test envioremnt ya project ni ile tuliyokubaliana. So kama tunakubalina tunaze kujaribu na joomla basi installtion ya jomla ifanyike http://tanzaniadirectory.zxq.net/

Hii kitu kamili ni ngumu sabbu joomla siinyaki vizuri na ndo maana ya team work. Hapa nilichokuwa natest ni hii sobipo tu. Nimeona unaweza kutenga
-categories-
So member inabidi tukubaline whatver the solution hata isipouwa jooma tuwe na categories na sub categoris ngapi na zipi Kwenye sobi pro nimejaribu haya yanawezekana.

- Customisation ya form ya usajili ni nyepesi nimebadilisha nchi kuwa mikoa na city kuwa wilaya. Hii yote haijahitaj code ni kwenye MySQL tu unabadilisha vitu vidogo

Kwa hiyo mkuu pandisha na fanya customisation za home page yetu ya joomla . Then mimi ninaweza kujaribu kuja kuipandisha hii extension ya sobi pro.

Ni kweli ila wacha nione zenu kwanza kidogo kisha mimi nitoe yangu ambayo wote mtashika vichwa maana km mnavyonijua hua sibahatishi ila kwanza nataka nione taswira yake kidogo ili nizidi kupata ideas
 
Ni kweli ila wacha nione zenu kwanza kidogo kisha mimi nitoe yangu ambayo wote mtashika vichwa maana km mnavyonijua hua sibahatishi ila kwanza nataka nione taswira yake kidogo ili nizidi kupata ideas
Kwani wewe ukifanya kabla yetu na sisi tukaona kuna ubaya gani... Kwa nini unasubiri mpaka wengine wafanye au ujiamini!?
 
Kwa kweli kaka si mbaya na si nzuri hii sobipro mana kitu ambacho i hate ni kuona neno hili Powered by Sigsiu.NET jaribu kutafuta ama kuangalia uwezekano wa kufuta hilo neno

Usianze kuangalia vitu vidogo vidogo mkuu hapa tunaagalia core functinalities kwanza . Hizo powered by zitaondka tu na itakuwa powered by issam and members
 
heheheh kaka unajua hivyo vidogo pia vinaumuhimu hasa kwenye joomla maana kuna module zengine huwezi kuzibadilisha powered by so bora ujue mapema usije kuumiza akili yako thn mwisho ukashindwa kutoa hilo neno maana likiwepo ni noma kweli kweli. kuhusu kuawaangalia nyie coz nataka kujua kitu gani hasa kwanza mnataka maana mawazo yangu na yenu yanaweza yakawa diff so nitakapoona za kwenu ndio nitajua nini hasa mnataka na mimi hakika nitatoa yangu
 
Wewe si umeshasoma tangia mwanzo nini tunafanya, na demo umeziona na umetoa kasoro zake na wewe ukaweka hapa picture ya mfano au umesahamu mkuu, kwa hiyo wewe weka tu kile ambacho wewe unafikiria.

Utofauti wa mawazo ndio unao takiwa kwani hatuwezi hata siku moja kuwa na mawazo sawa, other wise hakutakuwa na maendeleo.
 
heheheh kaka unajua hivyo vidogo pia vinaumuhimu hasa kwenye joomla maana kuna module zengine huwezi kuzibadilisha powered by .

Hakuna kitu kisichowezekana kama kimetengezwa na binadamu .kwani hiyo powered by imejiandika?labda ukiwa mtu wa fasta fasta amabye hana muda wa kusoma na kutaka kujua vitu kiundani. With internet, google , youtube , etc kila kitu kipo.. Kwani mi sobipro nimeijua wapi.? They way niliyoipata sobipro na kuweka demo yake hapo hivyo hivyo tukishirikina tutaziondoa hizo powered zinazokukera.

So bora ujue mapema usije kuumiza akili yako thn mwisho ukashindwa kutoa hilo neno maana likiwepo ni noma kweli kweli.
Akili yangu ikiumia nafarijika. ahat akama nikishidwa najua katika kuumiza akili kuna vitu nitakuwa nimejifunza. Sikimbilii kutafuta solution kwa a kuogopa kuumiza akili.
Hata hivyo hakuna noma hata powered by likiendelea kuwepo . kwanza ni credit kwa watengezaji walitoa bure. Kwangu ni noma kununua software ambayo haina neno powered by lakini unashindwa kufanya customisation unazotaka.

kuhusu kuawaangalia nyie coz nataka kujua kitu gani hasa kwanza mnataka maana mawazo yangu na yenu yanaweza yakawa diff so nitakapoona za kwenu ndio nitajua nini hasa mnataka na mimi hakika nitatoa yangu
Teh teh Issam bana kumbe mpaka sasa bado hujajua kitu gani tunataka. Tunachotaka ifupi ni kutumia free source application itayofanikisha kutengeza directory kwa watanzania ambayo watatumia bureeeee.

Hii itakuwa zawadi yetu kwa watanzania kama wana ICT. kuwawezesha watanzania among the things
-Wasajili biashara zao, taaluma zao, mashirika yao, fani zao. bureeeeee. ( Wapi, Nani, Nini( Wanani)
 
Kwa kweli kaka si mbaya na si nzuri hii sobipro mana kitu ambacho i hate ni kuona neno hili Powered by Sigsiu.NET jaribu kutafuta ama kuangalia uwezekano wa kufuta hilo neno
Nimeweza kuoondoa kitu kinachokukera mkuu.

x-paster jaribu kupandisha joomla 1.6 kwenye web yetu ya majaribio..itakuwa vizuri uiweka logo kama ile uliyopo kwenye page uliyotengeza.

nawasilisha
 
baada ya muda mreeeefu? am I out?

Welcome back mkuu sio kwamba uliondoka kimya kimya wewe ulitoa taarifa.karibu tena.

sucess ya project pia inategema na communication si unaona wengine baada ya kujinadikisha walipotea tu kimya kimya . Good wewe uli comminicate reasons of your absence

We have not done much since you left but slowly we are movinga nd learning

U can see some challenging disccuion tulizofanya na unaweza kuchangia na kuweka ideas mpya hata kama zitaturudisha nyuma.

So u re in as as member.
 
Jamani msinione kimya najaribu kuchanganua na kubambanua ili niibuke na demo la kufa mtu
 
soo tuna tumia CMS kutengeza web yetu? I thot tunaenda from scratch?
yes that Ideas was so lakini kutokana na team kupwaya inabidi tutumie base za CMS zilizopo . eg Tukisema tutumie CMS ya joomla bado kuna kazi ya kudesign na customisation of template.

Otherwise there was risk project ingekuwa imekufa. I just proposed to easier things tutumie joomla ya hiyo sobipro. Challenge itakuwa member kudesgn template bcs not all availble templatez za joomla as they are zinaweza kupresent hii directory website vizuri. Customisation and design is needed. I propose tuweke effort kwenye customisation na na design. ya nay open source CMS tutakayotumia.

PIa there can be other tool na other CMS zaidi ya joomla na hiyo sobipro . We can test and try as many option as possible. zinazokuwa proposed. So to minimize risk of project fail nadhani approach iwe customisation.What do u think.????
 
it sounds like kwamba our job itakuwa ni just page designing? Core part itakuwa imefanywa na joomla au sio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom