IT Project Kwa Vitendo

IT Project Kwa Vitendo

Kuna mtu anajua .htacess kwenye php na apache ?

nimejaribu kusoma kwenye mtandao ni vikpi unaweza utumia file hili ku bypass global configuration za PHP lakini nashindwa kuziapply. Au nikiziapply sioni matokeo.

Inaonekana kuna permission isue kunstall extension kwenye joomla specifacally kwa huyu host tuliyemchagua.

error inayoripotiwa ni kwenye warning za installition ya extension ni hii
The PHP temporary directory is not writeable by the Joomla! instance, which may cause issues when attempting to upload extensions to Joomla!. If you are having issues uploading extensions, check the 'VIRTUAL_DOCUMENT_ROOT' and set it to be writeable and see if this fixes the issue.

So anyone one anayejua work aaround. amwage ujuzi

otjerwise kulikwepa tatizo tunaweza kufungua account nyingine na hawahttp://byethost31.com/ amabo sikupata tatizo hili ila kwa manufaa ya kujifunza tujaribu na kuumiza ichwa na kugogle kuona kama tunaweza kulisolve kwanza hapa hapa. mnasemaje wadau?
 
i think inabidi ao host wawe wana support hizo applications kama joomla na wordpress. na mara nyingi najua ni pale unapolipia host yako ndo wana support..
 
Lakini mbona nimeweza kuiweka hapa
wanani

Tofauti niliyogundua kwa host na host ni jinsi wanavyo handle root dirictory yaani public html folder ambalo ndio linabebeba file zote za website

Nimesoma kuna tofauti ya FTP user na apache user.

But kama ulivyosema host hawawezi kuhangaika kubadilisha configuration kwa free user.

Anyway on another issue can u give an Idea ya categories/group ya professions unazoona zinafaa kuwepo.
 
hizi baadhi nitakupa zengine kila nikipata

Afya(Hospitali na pharmacy)
Elimu (Skuli, ofisi, stationaries)
Vyuo
Usafiri (Mabasi, Boti, Kampuni za Tax)
Hotel, restaurants, deliveries
*Sheli
 
now tuko Team members 3

  1. X-paster Team Lerser
  2. Issam member
  3. Mtazamaji Member
  4. RedSilverDog Member
Dah, mkuu hii imekaaje tena, mbona haya mambo hatufahamishani?

Hii kitu mkuu si nilsha kufahamisha kuwa nimekuachia wewe uongoze sasa kulikoni tena mkuu!?
 
kama hamna staili hii, basi sis 2mevumbua staili.. changing members and rotating team leaders.. new Methodology. 2naitaje hii?
 
Dah kumbe ujumbe niliutuma kwa mtu mwingine Ndio hivyo kamata usukani kaka .Management Rotation. Mkuu issam tuliyempa usukani Laptop yake ilibuma na yuko busy na miradi mingine sasa ni zamu yako

The good and bad thing hatuna customer so we you dont have anyting to fear........

Hii methodology mmmmm how can we call it may be management by trial mhhh no management by rotation.

hahahhha
 
Ila kukata rufaa kupo, sasa si ukamate wewe kaka maana nami mambo kibao hapa...!

Alafu nasikia Osama Bin Laden kapigwa risasi kafa. We huna habari...!? lol!
 
Haaaaaa X paster bana. Wamarekani wamemuuaa Osama lakini naona wanatengenza "photoshop" series yao kuulisha ulimwengu jinsi walivvyomuuua. Si unajua kwenye movie sterling hafi hadi mwisho. Ngoja waendelee kutoa detail isije kuwa jamaa alikuwa mgonjwa kajilalia wala hana nguvu wao wanadai wameua mpiganaji.

BTN

Powa nitakamata lakini ningepeda nawe japo kwa wiki moja utoe direction ukiwa kwenye sterling. but kama uko busy no problem
 
usama alikuwa private,encapsulated aka2miwa setter moja kali.. halafu akapigwa getter moja ya nguvu!
 
Ah ah ah ah kuhusu habari za Osama nilitaka utabasamu japo kidogo, si unajuwa mambo media drama, jamaa wapo fiti...! Alafu hata huyo Osama mwenyewe mimi bado wala siamini kama alikuwepo kweli....! Aaaaaaaah! Uzushi tu.

BTN
Kuna mambo fulani nafuatilia mkuu, sasa yananifanya niwe tight kifikra...!
 
Hahahhaha hakuwa na mtaalam wa magic quotes naona mtaalam wa PHP

Ah ah ah ah kuhusu habari za Osama nilitaka utabasamu japo kidogo, si unajuwa mambo media drama, jamaa wapo fiti...! Alafu hata huyo Osama mwenyewe mimi bado wala siamini kama alikuwepo kweli....! Aaaaaaaah! Uzushi tu.

BTN
Kuna mambo fulani nafuatilia mkuu, sasa yananifanya niwe tight kifikra...!
Unazidi kunifurahisha Xpaster tabasamu au huzuni zangu juu ya uhai au kifo cha OSAMA haziwezi kuwa hata 1% ya kiwango cha tabasamu au huzini kama ya sucess or failure ya tanzania online directory.

Anyway Sasa tufanye hivi tuandae makundi ya business or profession categories . Ikiwezekana hii kitu by end of june tuiweke kwenye server ya kulipa au tuifunge project kuwa kwa mafanikio ya kujifunza tu lakini kwa faailure ya kutokuwa na working end product.

Kuna task pia ya kuamua
-look na design front page iweje? na clour codes logo
-features gani zaidi nyingine tuongezena na zikae wapi

Sijui mnasemaje ?
 
Anyway Sasa tufanye hivi tuandae makundi ya business or profession categories . Ikiwezekana hii kitu by end of june tuiweke kwenye server ya kulipa au tuifunge project kuwa kwa mafanikio ya kujifunza tu lakini kwa faailure ya kuwa na working end product.

Kuna task pia ya kuamua
-look na design front page iweje? na clour codes logo
-features gani zaidi nyingine tuongezena na zikae wapi

Sijui mnasemaje ?
Wazo zuri sana, ndio maana ya kuwa team leader.
 
Last weeek nilijipa ya nilijaribu kutengeneza logo Hii inaweza kutumika mua mfupi wa siku za mwanzo nafasi yake inaweza kuchukuliwa na mtangazo tovuti ikikuwa

nilipendkeza kitu kama hiki https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/130928-graphic-web-designers.html

kama kuna member anaweza kuja na idea ya logo tofauti au kuboresha hiyo niliyotoa.aseme Hili wazo la ramni ni moja ya mawazi niliyochukua kutoka kwenye ile pendekezo la(Xpaster) la mwanzo.

  • But pia tuseme front page yetu iweje . Tuigaiwe kwenye column mbili au moja
Tukitoa mawazo na kukubalina tunaweza kuanza kuchakachua template za joomla.
 
Ni nzuri ila zitapendeza kama zitakuwa zipo kwenye animation.

fanya mambo basi kamanda. kama unaweza kuweka sample itapendeza. Tutaipandisha code tu kwenye ukurasa wa joomla .
 
Hellow wadau wenzangu, habari zenu? vp jamani bado tuu? siku zinakwenda jamani ohooo.
 
Kuna mtu anajua .htacess kwenye php na apache ?

nimejaribu kusoma kwenye mtandao ni vikpi unaweza utumia file hili ku bypass global configuration za PHP lakini nashindwa kuziapply. Au nikiziapply sioni matokeo.

Inaonekana kuna permission isue kunstall extension kwenye joomla specifacally kwa huyu host tuliyemchagua.

error inayoripotiwa ni kwenye warning za installition ya extension ni hii

So anyone one anayejua work aaround. amwage ujuzi

otjerwise kulikwepa tatizo tunaweza kufungua account nyingine na hawahttp://byethost31.com/ amabo sikupata tatizo hili ila kwa manufaa ya kujifunza tujaribu na kuumiza ichwa na kugogle kuona kama tunaweza kulisolve kwanza hapa hapa. mnasemaje wadau?

Kwa uzoefu wangu wa joomla ni kwamba kwa kawaida ukiinstall kwanza files zinawekwa kwenye temp folder so lazima liwe na write permission.hiyo warning unayopata ni kwasababu hiyo.kwahiyo badilisha permission za temp folder kwenye public_html iwe 755.normally in joomla all folders are suppose to have a 755 permission and files 644

All the best guys and keep up the good job,nimeipenda sana idea yenu ya open source huwa lazima nicheki maendeleo yenu kila siku niingiapo online,nina bahati mbaya nilichelewa kujiunga na hii project na nimesikitika.
 
Aksante sana mkuu hiyo nilijaribu kutoka hata 755 ikagoma kuifanya 777 ikagoma pia. Cha ajabu ni kwamba hili tatizo likatokea kwenye webserver moja na sio kwenye webserver nyingine.

Kuhusu maendeleo project inasua sua mkuu teh teh lakini tunasonga.

Hellow wadau wenzangu, habari zenu? vp jamani bado tuu? siku zinakwenda jamani ohooo.

Tupo tup mkuu si unajua ila mtu ana issue binafsi na matatizo ya hapa na pale. vipi wewe laptop imepona?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom