IT Project Kwa Vitendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IT Project Kwa Vitendo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jan 27, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  now tuko Team members 3

  1. RedSilverDog Team Leadser
  2. X-paster member
  3. Issam Member
  4. Mtazamaji Member

  [FONT=&quot] Kwa wale ambao wametolewa wanaweza akuendelea kuwa contributors . Tulikubaliana hapa kuwa for 5 consecutive days [FONT=&quot]kama[/FONT][FONT=&quot] member hajatoa input yeyote anakuwa automatically out. But tunwashukuru kwa moyo wenu mlioonesha wa kupenda kushiriki tunajua mna majukumu ni mengi.


  [/FONT]
  Hope hii ni open project. haina siri na napendekeza discusiion zote ziwe open hapa.

  Test/Development Servers
  Official Project dev server
  [/FONT]- http://tanzaniadirectory.zxq.net/
  mtazamaji dev/test server- http://www.teknohama.byethost31.com/jom/
  X-Paster dev/test server-
  RedSilverDog dev/test server-

  Updates
  -Issam replacing RedSilverdog as project leader on 5th April 2011. Baada ya Redsilverdoh kuzidiwa na majukumu ya kikazi
  - 13/april 2011. RedSilverdog back to participate as prject memmber

  28 April 2011- Issam kaformat laptop yake na kwa kuwa atakuwa pembeni ya project kwa muda Leadersship ya project inachukuliwa na X-paster

  13 May 2011 project closed follow and regiter with version 2 of the project @ https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/135257-it-project-kwa-vitendo-v-2-0-a.html#post1967039  .

  Some important links na keywords zilzitolewa na wadau
  http://www.serena.com/products/prototype-composer/index.html
  http://openproj.org/openproj
  Agile software development

   

  Attached Files:

 2. Einstein

  Einstein Senior Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba uniongeze niwe team member pia!
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mtazamaji;

  Kuna similar project tunafanya ingawa tumeshaanza . . . . In case utahitaji details I can share. PM me.
   
 4. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Samahani, sitaki kua mjeuri lakini naomba kupendekeza mtu mwengine kuwa project leader. Naomba mtu aliewahi kuwa au mwenye uzoefu kuliko mimi tafadhali. Nataka nijefunze skills za project leaders tofauti, ili nikianza niwe atleast nimesoma vitu mbali mbali kutoka kwa wazoefu.

  Thanks.
   
 5. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Idea yako nimeikubali kwa nilivyoelewa mimi, lakini pia ningeomba ufafanue zaidi ili tujua requirements na tuzichangunue vizuri.:ranger:
   
 6. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama nilivyosema, mi nitakuwa mtazamaji mchangiaji. Niionavyo hiyo project ni hivi
  1. Outline ya features na extent ya each feature
  2. Kama mtatumia framework au kila kitu from scratch
  3. Philosophy behind the project
  4. Modules and task division
  5. Version control and project management

  after all the planning stage is over then design of backend (database) and then front end (php, aspx, jsp python et al) na mwisho polishingg look n feel .......beta release!.......bug fixing!......stable release!

  Just my 2cents
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  NI hivi nijust simple we based database yenye contacts za taasisi Muhimu. inaweza kuwa na details zifuatazzo

  • Jina la taasisi
  • category
  • Anuani ya barua, email
  • Number ya simu ya ofisi
  • Mkoa nawilaya iliopo
  • May be hata na mtaa
  • Ikiwezekanahata njina la kiongoziwa taasisi hiyo
  Mfano mtu akifungua hiyo kwenye serach anatafuta detail za hospitali kinondoni dar atapata one of these info

  • XYZ dispensary
  • health
  • Po Box 123 4 email: JJJJJ@ yahoo.com
  • Kinondoni , Dar essalaaam
  • Mkwajuni
  • Dr Mtazamaji Majaliwa
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  soory mkuu umechelewa unaweza kuwa mtazamaji may be hii ionekna kufanya kazi next time

  Thanks very much mkuu sasa hapa member tunaamua kujaribu kufanya nakijidunza vitu kwa vitendo can you share here if u dont mind. theriwse nitaku pm
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  So nadhani tunaweza kupata enviroment ya servside (PHP, MYSQL) for free for few month any way sijui member wataamuaje ndio project mawazo yanahitajika. sijui wewe unafikiriaje?
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii kitu ipo online tayari. Bofya kiungo hiki Tanzania yellow page. Ukifungua utakuta kitu kama hii ambayo umeshauri tufanye.

  Labda cha kufanya, watu wapitie hiyo TYP, na waangalie kinacho kosekana kwenye hiyo website, kisha waje na wazo nini cha kufanya kilicho bora zaidi ya hiyo TYP.

  Vile vile nisiiwakatishe watu tamaa, nilicho kiona kinakosekana uko, ni sekta za kielimu, sekta za afya, kwa maana ya mahospitali na zahanati kwa ufupi kuna lack of information, ambazo sisi kama tutafanikiwa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana.

  Vile vile kuna hii website inatwa: Search Engine East Africa - Tafuta.net

  na nyingine hii Search Tanzania | A Search Engine dedicated to Tanzania!

  na Tanzania Online Gateway - a gateway to information on development issues in Tanzania

  Kwa ufupi mnaweza kupitia hapa: Tanzania search engines: Tanzania tovuti hii imekusanya website zinazo endana na hii ambayo wewe umeshauri.

  Mimi nashauri jina la project liwe: Tanzania Search Engine, jina la website liwe: http://www.Tanzsearch.com or .net or .org or .co.tz

  Humo tutakusanya full address, location, na picha ya jengo husika.

  Kwa mfano mtu akiwa anaitafuta hospitali ya Muhimbii, basi aone vitu hivi vifuatavyo:

  Picha au (na) nembo ya Muhimbili hospital
  Name:
  MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL,

  Address:

  P.O. Box 65000,
  DAR ES SALAAM, TANZANIA.


  Contacts:
  Telephone: +255(22) 2151599
  Telephone: +255(22) 2151369
  Telephone: +255(22) 2150534
  Fax: +255(22) 2150534

  EMail: info@mnh.or.tz

  Location:
  Upanga​
   
 11. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  labda tuliokuamo kwenye project tuanze kutaja background na ujuzi.

  Mimi: Web developer:

  • PHP/MySQL
  • JSP/MySQL

  • javaScript
  • CSS
  PLUS:


  • Java
  • Basics (C++, Vb.Net)
  • Ruby on Rails
  Tukubaliane sijui tutafanyi kazi enviroment gani?:coffee:
   
 12. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata kama! tutajifunza ushindani.. Tutatoa kitu better. Kwa kuzingatia nyanza zote. hii dunia ya ushindani au sio?
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nina MInimal Knowledge ya
  --MySQL ,PHP. na Microsoft dotNet
  --Database designing

  Database Envoroment Tutumie yenye MySQL kwa kuanzi napendekeza tutimie za free itakuwa vizuri kwa wenye experince wanajua Provider wazuri wa best serverside enviroment watuambie

  Cha muhimu member tuwe tayari kutoka kwenye comfort zenu zetu na kulearn new thing mfano binasfi sijui Ruby on rails but if its the best option or toool tuifuate hiyo au yeyote ile
   
 15. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mimi naona hihii idea ni nzuri. Ila users ni aina mbili, business owners wale ambao watapost details zao. Na ambao wanatafuta then juu yake tutaeka kama kicomparison cha bei cha aina flani kwa biashara tofauti. Kwa mfano labda mtu anataka kujua, wapi atapata lori la kukodi na wapi itakuwa bei rahisi.

  Then juu yake, kuongeza ndimu na pili pili, tunaeka rating system. Kwa mfano, watu wanarate service za bank labda NBC au CRDB.

  Hii kitu serious, tunaeza kubadilisha mambo mengi. Tuko pamoja?
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Saaaaaaaan tu umenipata
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu mimi nakubaliana na wazo la huu mradi (project), na ndio maana nikafanya jitahada za kutafuta kwenye tovuti kitu kinacho fanana na hii. Ili tuweze kuja kufanya kitu bora zaidi.
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mimi napendekeza tufanye kitu kilicho bora zaidi ya hizo kurasa za njano (yellow page).
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu mimi nitasaidia kidogo kwenye html, javaScript, CSS na Photoshop na kama kutatakiwa Kusajili domain name basi tufahamishane.
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Embu edit uniongeze hapo!
   
Loading...