IT Project Kwa Vitendo

IT Project Kwa Vitendo

it sounds like kwamba our job itakuwa ni just page designing? Core part itakuwa imefanywa na joomla au sio?

That is what ip ropose kulingana na constraints tulizonazo za muda na mambo mengine.. But hiyo page designiing ni challenging pia. Nimeona tutorial youtube people turning their own desinged HTML pages to joomla page or template . We can do the same. kama tutakuwa dedicated

Na kwa haraka naona templete nyingi zilizopo hazipendezi kwa directory CMS. So instead of joomla templates ziamue page zetu ziweje sisi wenyewe tunaweza kuamua how our web pages zitakavyokuwa.

Pia zaidi ya page designing tunaweza kuhitajika kufanya database customisation. Structure ya database tables ilivyo may not suit our requirement.

But kitu ambacho sina uhakika nacho ni kama joomla is the only best solution available I only liked joomla baada ya kuona hii sobipro. without sobipro extension. So ppl waje na Ideas ya solution nyingine tuzifanyie kazi. tujifunze.
 
okey, great.. mimi nitakuwa njee naangalia. huku naicheki kidogo kidogo Joomla. maana siijui, na kidogo siipendi..
 
Jamani mimi nashauri watu wametoa pendekezo tutumie joomla + sobipro sasa hapa kama kuna mapendekezo mapya kila siku hii project itakuchua ages tuwepo hewani watu watabakia kuisoma tuu, cha msingi nw kila mmoja atengeneze deomo yake kutumia joomla + sobipro kisha ajaribu kudesign main page yake kuweka baadhi ya featured directories and featured contact and featured company or hospital so tutakapomaliza kila mtu ataandika link yake so itakayokua imekaa bomba ndio aideas zote tutazichanganya kwenye hio moja. lakini mkitaka mseme maswala ya core hapa itachukua miaka. km tutataka kudesign mambo ya core hayo yatakuja baadae.
 
Wewe ungependa nini hasa if it was chosing a CMS script sutable for directory service. ? Before april joomla kwangu pia ilikuwa ni jina tu but in past two weeks nimekuwa nai explore kuiliganisha na wordpress. X paster kasema kidogo anaijua ila mimi nimeanza from scratch atlest now i know some ABs about joomla. So propose anything u know am happy to lern new things.
 
Jamani mimi nashauri watu wametoa pendekezo tutumie joomla + sobipro sasa hapa kama kuna mapendekezo mapya kila siku hii project itakuchua ages tuwepo hewani watu watabakia kuisoma tuu, cha msingi nw kila mmoja atengeneze deomo yake kutumia joomla + sobipro kisha ajaribu kudesign main page yake kuweka baadhi ya featured directories and featured contact and featured company or hospital so tutakapomaliza kila mtu ataandika link yake so itakayokua imekaa bomba ndio aideas zote tutazichanganya kwenye hio moja. lakini mkitaka mseme maswala ya core hapa itachukua miaka. km tutataka kudesign mambo ya core hayo yatakuja baadae.

Mkuu malengo ya hii kitu among the thing ni kujifunza. But tuko serious sana.lakini sio kwa pace unayotaka. So mapendekezo mapya yanaruhusiwe na yanajadilike. Hata wewe ulikuja na mapendekezo mapya tukayajadili. X paster anaweza kuona kitu kipya akaja kupendekeza. So tusijifunge sana kama vile tuna real customer anasubiri product.

Haya ni maoni tu

BTN
@issam
Alafu mkuu mkuu utaweza kushiriki vizuri huku na kule kwenye project yako nyingine. usije ukagawa efficiency yako huku na huku ukapata ubora nusu nusu kila sehemu mbili badala ya ubora kamili sehemu moja
 
Msitumie hizo CMS wazee, kwa vile ni learning project fanyeni from scratch na PHP/ASP whatever au tumieni Framework tu Cake/CodeIgniter whatever.
 
Kwa kweli kuhusu kujigawa naweza kujigawa coz siko peke angu tuko team, na kuhusu swala la hili la hii project nadhani ni project ambayo inataka kuichimba zaidi na kujua nini tunataka, mkishapata jibu niambieni nini mnataka kisha mimi nitatoa mchango wangu maana naona bado hamjaamua nini mfanye. na mnasubiri maideas tofautitofauti mkisha pata basi mimi nitajumuika kukamilisha . haya mambo ni mageni kwangu mi najua mnatoa mawazo kisha mnafunga mjadala kisha mnapandisha kitu maswala mingine kama mnaona kuna mapungufu mnayafanya baadae na wakati kitu tayari kiko hewani lakini hili swala la kitu hakiko hewani na kila siku mtu analala anawaza jipya kisha mnaanza kupanga tena upya mimi kwangu geni ila nitajitahidi kujifunza.
 
Tatizo linakuja constraints zilizopo. tulianza vizuri but kila mtu ana majukumu matokeo yake mambo yakaelekwa kusimama. It was going that way form scratch mpaka tulivyobadilisha. Anyway ngoja tusikie wajumbe watasemaje but nadhni hata tukitumia CMS tutajifunza japo sio sana. i trough customisation and creating our templates and pages si kazi ndogo. Na may be tunaweza kuhitajika kufanya changes kwenye database.

Atleast CMS zitatutengezea base ya database ambayo ni muhimu na ngumu sana vile vile. kama nilivyosema past two week nilikuwa kilaza wa joomla but so far naona kwa proect hii inaweza kutusaidia. na ni sababu tu y extension yake ya sobipro.
 
Mkuu malengo ya hii kitu among the thing ni kujifunza. But tuko serious sana.lakini sio kwa pace unayotaka. So mapendekezo mapya yanaruhusiwe na yanajadilike. Hata wewe ulikuja na mapendekezo mapya tukayajadili. X paster anaweza kuona kitu kipya akaja kupendekeza. So tusijifunge sana kama vile tuna real customer anasubiri product.

Haya ni maoni tu

BTN
@issam
Alafu mkuu mkuu utaweza kushiriki vizuri huku na kule kwenye project yako nyingine. usije ukagawa efficiency yako huku na huku ukapata ubora nusu nusu kila sehemu mbili badala ya ubora kamili sehemu moja

Kwa kweli kuhusu kujigawa naweza kujigawa coz siko peke angu tuko team, na kuhusu swala la hili la hii project nadhani ni project ambayo inataka kuichimba zaidi na kujua nini tunataka, mkishapata jibu niambieni nini mnataka kisha mimi nitatoa mchango wangu maana naona bado hamjaamua nini mfanye. na mnasubiri maideas tofautitofauti mkisha pata basi mimi nitajumuika kukamilisha . haya mambo ni mageni kwangu mi najua mnatoa mawazo kisha mnafunga mjadala kisha mnapandisha kitu maswala mingine kama mnaona kuna mapungufu mnayafanya baadae na wakati kitu tayari kiko hewani lakini hili swala la kitu hakiko hewani na kila siku mtu analala anawaza jipya kisha mnaanza kupanga tena upya mimi kwangu geni ila nitajitahidi kujifunza.
 
Mimi naona 2kitumia hizo CMS tunakuwa limited kuzincintrol source code na jinsi gani 2nataka sisi zifanye kazi hasa.

Kama nakumbuka mtazamaji ulikua unasoma java, basi php pia inaruhusu OOP. Na pia tukitumia framework katika hizo ziliotajwa na Kang. Au zend framework tutatengeze project in short time.

Muhimu tuwe flexible "code". Uenekano si tunae X-paster atapitia kila siku design.

CORE + OUTER DESIGN = APP

au?
 
U re right but wth only one three or four member and distant apart na hii ni kama part time project. Majukumu ya kazi yanayo mpatia mtu mlo yakiizidi basi inabidi hii aweke pembeni. Sasa flexibilty yetu ku cover diiffferent responsibility ndio mtihani mkubwa.

To me constraints ndio zinatufanya tuchgue CMS. na sidhani kama CMS ni the easy solution.may be kwa vile sikuwa najua joomla before.

Otherwise can u come with a deatiled tasks execution plan according to your point of view. NItajaribu kuweka doc ya how tasks execution zitakwenda tukitumia the CMS
 
yaan kuna jamaa alitoa kapicha ka mfano cha jins site yenu inatakiwa iwe,ilikua fresh sana,hamwez kuchange layout?
 
jamani nadhani hapa ndo "kinara" wa project ndo anapofanya maamuzi yasiopingika kama 2livyokubaliana awali...
 
Wajumbe kwa anyejua

napenda kujua kama PHp tool nzuri inayoweza kufanya kazi kama ya profiling script. Na kama ipo ni ipi.

yaani tool ambayo kama kuna error kwenye script inakuonyesha ni mstari gani na ni argument, fuctuiton au statement gani inasababisha. wakati una run webpage.

Kwenye database server niliwahi kutumia SQl server profiler. So if anyone know php version of sql server profiler.

Or Dondosha hapa advice any php tool for debugging
 
fungua php.ini ambayo inakua c:/php

halafu nenda sehemu imeandikwa "display_errors=off" eka on.

Halafu seti error gani wataka kudisplay, hapa eka hivi:

error_reporting = E_ALL & E_STRICT
 
Ok nimekupata
 
Jamani sasa mpaka now sijajua tumeamua vipi? tunasubiri michango ya mawazo mipya ama mjadala ndio unafungwa na ideas zilizopo ndio zianze kufanyiwa kazi ama bado tusubiri mawazo ama? maana sielewi elewi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom