Kaka kusema kweli unajua sana kujitetea sikia ndugu yangu usione nakukwaza ama najifanya najua sana la ghasha, ila najaribu kuchangia mawazo yangu amavyo mimi najua, hii project nilivyoiona mnavyoiongelea sikutarajia na mlivyoifanya mimi nilitarajia mtafanya kitu kama hichi cheki hii picha uone mawazo yangu yalikua yanafikiria mnataka kufanya kitu gani . kama swala kuhusu kutest web ili kujua kama watu wataisapot ama vipi inabidi uweke aidea nzima online yaani web yote uitengeneze na uiweke online kisha lipia mwaka moja . ukiona watu wamerespond utaongeza miaka ukiona hakuna aliyesapot hulipii tena na si kuihost kwenye free sever project kubwa km hio.
Issam ebu tuwekane sawa. Kabla ya implimentation ya IT project genarally inapitia stage gani.????
MImi ninavyoelwa hata maofisni kuna server zinatumika kama
development au
test server. Once kitu kikiwa tested na na kuonekana kina faa ndio kinakuwa
implimented.
Kwa hiyo bado sielwei upinzani wako wa kutumia free server katika development.It does not mean tutatumia free server katika implimentation. hata kama ni project kubwa lazima iwe developed na iwe tested in an
efficient way.
Tatizo nililoliona kwenye hii kitu nia IT proffesional wengi wako interested na coding na implimentation. Wich is too bad. Tuna wataalam wazuri na wengi lakini nasema we are very
poor in documentation part. We are very behind in best practice za IT project development process.
Tulianza watu zaidi ya kumi na wengi walidhani tutakuwa na webage in few days. Project leader akasema tuandike
risk analysis . walichangia wachache. Ikaja task ta
Requirement specification document wakachangia wachache.. Hii ni big problem
kuna mambo ya project
scope,
objective project
planning. Haya ni muhimu lakini sababu IT proffesiona wengi tuna alergey na document tunadharau.Matkoeo yake unashangaa muhindi anatupiga bado wapi kumbe ni vitu vidogo tu..
Sasa regsitering domain sio muhimu mwazoni kuzidi planing for
schedule,
task, na
activity na
deadline. In fact its trough activity sheduling utajua ni lini hasa unatakiwa kufanya domain registration
Hii project ingekuwa sucessfull kuna uwezekano wa kupata financier hata kwenye mashiria ya kimataifa makubwa au hata serikali .Just kwa kuwa na project document nzuri. Sababu one of the obective ni kurahisisha uwajibikaji na utoaji wa habari na kero kwa wahusika.
haya ni mawazo yangu tuu. kama utayaafik mimi mtaniongeza kwenye team yenu tufanya mambomakubwa maana aidea yenu japokua ipo tayari watu washafanya lakini hakuna kitu cha peke ako dunia hii kila mtu anajaribu kuonyesha mawazo yake na ujuzi wake. icheki picha hio kisha toa maoni
Unajua through challenge tunaelimishana na nafuraahi kupata challenge kutoka kwako
unakaribishwa kujinga. Na machngo wako na wetu ukiwa combined tunaweza kua chive something.
Ni kweli kuna watu washafanya kitu kama hiki lakini tume adress problem zilizpo kwenye prevoius project kama hizi. We aimed this service to be
free.
Mfano hii database drived website inatakiwa ijubu maswali kama haya amabyo system zilizopo hazina majibu yake
- Mtu akizidiwa ghafla mbagala kataka kujua kama kuna dakatari karibu wa kumpa japo ushauri atapata wapi taarifa?
- Mtu gari yake imepata tatizo ghalfa kawe atajuaje fundi fulani au garage iliyo mitaa hiyo?
- Mzazi anataka mwanaye asome tution karibu na nyumbani atajuaje kuna mwalimu xyz wa physics mitaa ya karibu.?
- Unataka kujua mkulima maarufu wa matunda lushoto ili ukachukue matunda moja kwa moja utamjuaje?
- Niko mkwajuni ndani ndani nataka kupata taxi driver maeneo ya karibu anipeleke mwenge.
- Prof BBB computer yake imegoma ghalfa upta network ataka kujua kama mitaa anayoihsi kuna mtaalam wa ICT aweze kuja kumtatulia tatizo.
- mfanyabiashatra ccc anauza nguo karikoo anataka watu wafamu business yake
- Mwananchi wa jimbo la NNN anataka mbunge au diwani, au DC au RC ajue kero yao . Ni wanagpi wanajua number za kiofisi za wabunge u ofisi ya mkuu wa wilaya au Mkoa.
- Mwananchi kaombwa rushwa na nesi au dkatari anataka kuwafamisha takukuru wilaya issue yake.
hakuna proeject niliyoona inayojibu maswali kama haya hapo juu . Tovuti kama hii
Tanzania's only comprehensive business directory naona ni useless kwa watanzania. Na iko kibiashara zaidi.
So kimsingi official number za public isntitutions tutaziingiza wenyewe. watu wataweza kuingiza na kutoa official info zao. But prject inachechemea teh teh teh So karibu may be utatupa nguvu.