IT project kwa vitendo v 2.0

redSilverDog

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
470
76
Baada ya kufungwa ile ya mwanzo, project bado inaendelea. Kwa mwendo ule ule wa kobe. Ukitaka kushiriki, si vibaya. Ila kunzia sasa mpaka ikae sawa, ni mwendo wa kidikteta dikteta.

project web hii: Saraka letu

Ikimalizika tunaninunulie host..
 
Kama wanafanya plan fulani ila nimeshindwa kuona kilichoandikwa kwenye hiyo karatasi waliyoshikilia na hawasikiki kabisa mheshimiwa Dikteta, teh
 
Baada ya kufungwa ile ya mwanzo, project bado inaendelea. Kwa mwendo ule ule wa kobe. Ukitaka kushiriki, si vibaya. Ila kunzia sasa mpaka ikae sawa, ni mwendo wa kidikteta dikteta.

project web hii: Saraka letu

Ikimalizika tunaninunulie host..

Pamoja sana, hii naahidi kushiriki nikiwa kama Mwanafunzi
 
Baada ya kufungwa ile ya mwanzo, project bado inaendelea. Kwa mwendo ule ule wa kobe. Ukitaka kushiriki, si vibaya. Ila kunzia sasa mpaka ikae sawa, ni mwendo wa kidikteta dikteta.

project web hii: Saraka letu

Ikimalizika tunaninunulie host..

Safi hope experince ya ile ya mwanzo imetegeneza base nzuri na utaiwezesha hii ifanikiwe na kufika mbali zaidi.
 
It's a shame kuwa first take imesitishwa lakini yote ni shule. Project yaweza kupoteza kasi inayohitajika kuhakikisha kuwa priority yake katika kuitimiza ipo juu.
Napendekeza tu another direction for this.

Website ya Elimu (Mikopo) imetajwa a few times kuwa haikidhi mahitaji ya solution. Kwa nini basi isitengenezwe "kioo" website ambayo inaashiria kutekeleza requirements ambazo zinaeleweka kuwa zimetimizwa, na ziada kutengeneza solutions ambazo zinahitajika katika website au web application kama hiyo. Hapo pengine baadae hii solution inaweza kuwa na tangible value iwe ni monetary value kuwa HESLB watainunua au tu kioo kuonyesha ufahamu wa web techniques ambazo watakaoitengeneza wanaweza kuuza ujuzi wao hapo HESLB au sehemu nyingine hapa bongo.

First to Thank Mtazamaji na wote kwa first take of this project.
 
Back
Top Bottom