It manager anahitajika - arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It manager anahitajika - arusha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by salosalo, Jun 28, 2012.

 1. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  kWA WALE WENYE PROFESSIONAL YA IT/COMP SC, IT - manager mwenye bachelor na uzoefu usiopungua miaka 3, hasa kwenye hospitality industry (Hotelini) anahitajika pale Snow crest Hotel mjini Arusha. hoteli iko Kwangulelo barabara ya kwenda Moshi. Maombi yapelekwe kwa mkono hapo hotelini au kwa njia ya posta kwa anuani ifuatayo kabla ya tar 15 July 2012.

  General Manager
  Snow crest Hotel & Wild life Safaris
  P.O.Box 341
  Arusha
   
 2. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa hiyo watu wa Arusha changamkeni acheni kulalamika vijana tufanyeni kazi. Hii nchi kwa sasa ni kila mtu ajipiganie mwenyewe hakuna mtu wa kukusaidia so ukiona tangazo changamka usitoe udhuru eti wana mtu tayari, yawezekana mtu mwenyewe ni wewe.
  Thanks
   
Loading...