nawashanga hata mie shemeji. ah mie nimeweka tu lisentensi nimeliokota humu kwenye movie sasa naona linanigeukia!!
....MTM hizo za kufukuziana khaaa?...labda tuangalie 'kibiashara' zaidi, present value na future worth...
klorokwini ushaanza maswali yako ya kipolisi, ...Objection Sustained!...
Kaka, its very confusing especailly kama hujui the six dimensions around you, maana hata TV huishia 3 dimensions only
....MTM hizo za kufukuziana khaaa?...labda tuangalie 'kibiashara' zaidi, present value na future worth...
klorokwini ushaanza maswali yako ya kipolisi, ...Objection Sustained!...
Huyu MJ1 hata sijui anelekewa wapi....Labda kapata kibarua NASA na sasa anatuaga!!
Ama kweli nimeamini kwamba kadri mtu anavyozeeka ndivyo anavyokuwa kama toddler!!
Mstaafu, isome hii sredi kwa kituo utagundua kitu, usimkaripie sana MJ1.
Ukiona hujaelewa basi na wewe rembea mapicha tu lol
Mkuu that principle is never there ukiona unazungushwa ujue ww sio first choice... Akitokea tu hata kwa konyezo kazi kwishaha ha ha mimi nakubaliana na MJ1 bana, cross indirect psychological assesment inafafanua kwamba mwanamke akiwa mgumu kwako kumpata basi the probability is there kwamba ata apply the same rule kwa mwanaume atakae interfere your relationship in the future na hii inamdefine moja kwa moja mwanamke kwamba yuko strong na reliable at least to be a good partner.
there u go ma brother... Naver turns green, it jist blinks tha greem
...umeona ee?..........ati, "cross at your own risk...!" balaaaa...
Nzuri,naona upo fit kama speed ya light.Mungu ni mwemaDada kumbe upo! Leo ilibidi nikuulizie hapa jamvini................. habari za siku lakini!
Endelea kufikiria tu ila ujue kuwa nitakuzungusha hadi pale CCM itakapoondoka madarakani
Mkuu that principle is never there ukiona unazungushwa ujue ww sio first choice... Akitokea tu hata kwa konyezo kazi kwisha
hahaha! Usikate tamaa kwa yule desh desh unayemfukuzia.
Energy can neither be created nor destroyed .....
Kama penzi halipo halipo tu hata ufukuzie mpaka kiama kisimame!
Hmmm...we mhandisi? :tongue:
Mwalimu wa chekechea .....vipi kwani?