Isumba Lounge chini ya DJ JD ndio habari ya mjini

Isumba Lounge chini ya DJ JD ndio habari ya mjini

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Habari
Kwa mtazamo wangu naona isumba lounge chini ya DJ JD na fast Eddie ndio ina rock hapa town kwa vijana wa zamani.the place ni super classic
 
Ila hawa jamaai wameibadili..ile Jolly kabla haijafa ilikuwa hatare sana mjini hapa. Ni shidaaah
 
Hakika ni sehemu ya kistarabu. Kwa maana ya starehe
 
Bata Batani
Ukipita Nje Hutaelewa Lolote Kuhusu Humo Ndani
 
Sikh hizi kahamia nyumbani lounge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom