IST inakula sana mafuta, sijui tatizo

IST inakula sana mafuta, sijui tatizo

USA mimba hiyo jitaj
Hdi upate mwana jf atokusumbua HATA likiwa bovu zaidi
 
Pole sana Mkuu. Hiyo gari nina wasiwasi MKubwa ulinunua ikiwa tayari mbovu na ilipigwa service tu. Wabongo wengi wanaangalia klm ilizotembea badala la engine. Ni ngumu saana kuwa na gari uliyotembea klm hizo na kuwa na matumizi ya mafuta kiasi hcho. Mi nilinunua IST cc 1500, ikiwa na klm 174,000 from japan, nimesafiri nayo Dar_Mbeya, Dar-Arusha, Dar-.kahama. Achana na route za kawaida na fuel consuption ni 16.4km/ltr. Hiyo tafuta mteja uza ishakuwa kimeo.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Mkuu chacha KAMA UJAFIKA MIAKA 32
MUNGU AKUFIKISHW ASIANGALIE DHAMBI ZAKO BALI WEMA WAKO KWA JF
 
Pole sana Mkuu. Hiyo gari nina wasiwasi MKubwa ulinunua ikiwa tayari mbovu na ilipigwa service tu. Wabongo wengi wanaangalia klm ilizotembea badala la engine. Ni ngumu saana kuwa na gari uliyotembea klm hizo na kuwa na matumizi ya mafuta kiasi hcho. Mi nilinunua IST cc 1500, ikiwa na klm 174,000 from japan, nimesafiri nayo Dar_Mbeya, Dar-Arusha, Dar-.kahama. Achana na route za kawaida na fuel consuption ni 16.4km/ltr. Hiyo tafuta mteja uza ishakuwa kimeo.

Mi pia niliagiza toka japan last yr, we hujafanya service yoyote kubwa? Ukiacha hii tuliozoea ya oil,gearbox na filters?
 
Ilipokuja nilitembelea wiki 2 nikamwaga oil na kubadili oil filter Baaasi. Uliagiza campuni gani?
 
Kama itaendelea kusumbua baada ya kufanya aliyokushauri Chacha Kisiri achana nalo,uza nunua jingine.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ushirombo, kashughulikie yafuatayo:-

1. Angalia tenki la mafuta kama lina unyevunyevu. Kama linao basi linavujisha mafuta.

2. Angalia mfuniko wa tenki? Unafunga vizuri? Ni vizuri ubadilishe au badilisha seal zake

3. Kagulia pipes za mafuta kutoka kwenye tenki na kurudi kwenye tenki pamoja na fuel rail. Hakikisha hazina unyevunyevu wa kuvujisha mafuta

4. Angalia 'Charcoal Canister' kama inafanya vizuri

5. Cheki pipe ya kutoka kwenye 'Charcoal Canister' to intake manifold kama imechomekwa vizuri

6. Nozzles kama zina muda mrefu zibadilishe. Kusafisha haisaidii na zenyewe huwa zinachoka

7. Hakikisha spark plugs zako zote zinachoma

8. Badilisha Oxygen sensors

9. Safisha throttle body yote kwa sababu carbon deposits huwa inajaa ndani yake hivyo kuziba hewa kuingia kwenye combustion chambers

10. Hakikisha Overdrive button ipo 'ON'

11. Hakikisha Crankase ventilation System inafanya kazi vizuri (PCV pipes na PCV valve hazijaziba)

Ukishayafanya hayo rudi utupe maendeleo Mkuu.

kama alivyosema mkuu hapo juu lakini hapo cha mhim cha kuanza nancho ni namaba 8 oxygen sensor na namba 9 hapo kwenye namaba 9 kuna sensor inaitwa idle sensor hiyo ukitaka kujua kama inafanya kazi vizuri gari ukiwasha asubuhi huwa inakuwa sailensa juu jinsi inavyopata moto taratibu inashuka mpaka kwenye normal. hiyo ndio huwa inakula sana mafuta kama ikiwa chafu?? kama upo dar na hauto jari nitafute nikufanyie hiyo kazi na ukitaka tukupimie nitakupimia mashine ninayo. phone 0717228064.

tatizo wabongo ni wabishi sana na wengi tumeathirika na used kuna spea zingine hazitakiwi used mfano oxygen sensor ww huwezi jua imetumika kiasi gani ww unanunua unaweka ilimladi tu taa ta check engine izime
 
Mkuu fanya full service tu mambo yatakaa sawa.
 
Mkuu Chacha Kisiri, hii Nadhani Ina apply hata kwa Spacio, maana ya kwangu pia Ina the same problem
 
Ipeleke kwa fundi akupe diagnosis sawasawa.
wana jf,nina ist cc 1490,mileage 89000km,nilisafiri toka mza to dar,ikaanza tatizo la kutumia mafuta zaidi ya kawaida yake,ilikua inatumia 16km/litre lakini saiv inaenda hadi 8km/litre nimefanya yafuatayo lakin bado tatizo nimebadili engine oil na gearbox oil,nimetoa plugs nikaweka mpya,nimesafisha nozels,air filter na oil filter.Nisaidieni jamani nifanye nini zaidi ili irudi kama zamani? Nafirisika mie.
 
Mkuu Ushirombo, kashughulikie yafuatayo:-

1. Angalia tenki la mafuta kama lina unyevunyevu. Kama linao basi linavujisha mafuta.

2. Angalia mfuniko wa tenki? Unafunga vizuri? Ni vizuri ubadilishe au badilisha seal zake

3. Kagulia pipes za mafuta kutoka kwenye tenki na kurudi kwenye tenki pamoja na fuel rail. Hakikisha hazina unyevunyevu wa kuvujisha mafuta

4. Angalia 'Charcoal Canister' kama inafanya vizuri

5. Cheki pipe ya kutoka kwenye 'Charcoal Canister' to intake manifold kama imechomekwa vizuri

6. Nozzles kama zina muda mrefu zibadilishe. Kusafisha haisaidii na zenyewe huwa zinachoka

7. Hakikisha spark plugs zako zote zinachoma

8. Badilisha Oxygen sensors

9. Safisha throttle body yote kwa sababu carbon deposits huwa inajaa ndani yake hivyo kuziba hewa kuingia kwenye combustion chambers

10. Hakikisha Overdrive button ipo 'ON'

11. Hakikisha Crankase ventilation System inafanya kazi vizuri (PCV pipes na PCV valve hazijaziba)

Ukishayafanya hayo rudi utupe maendeleo Mkuu.

Hapa ni kulishana matango pori tu,sasa overdrive iwe ON tena? Unajua kazi ya over drive na nini kinafanyika kwenye gear box mara inapokua turned on?
 
Last edited by a moderator:
Hapa ni kulishana matango pori tu,sasa overdrive iwe ON tena? Unajua kazi ya over drive na nini kinafanyika kwenye gear box mara inapokua turned on?

Ok nimemlisha tango basi tufafanulie maana ya OVERDRIVE na side effect yake ikiwa 'ON' na 'OFF', then tuendelee.
 
wana jf,nina ist cc 1490,mileage 89000km,nilisafiri toka mza to dar,ikaanza tatizo la kutumia mafuta zaidi ya kawaida yake,ilikua inatumia 16km/litre lakini saiv inaenda hadi 8km/litre nimefanya yafuatayo lakin bado tatizo nimebadili engine oil na gearbox oil,nimetoa plugs nikaweka mpya,nimesafisha nozels,air filter na oil filter.Nisaidieni jamani nifanye nini zaidi ili irudi kama zamani? Nafirisika mie.

- Faulty mass air flow sensor
- Intake air leaks
- Dirty mass air flow sensor
- Dirty mass air filter
- Mass air flow sensor harness is open or shorted
- Mass air flow sensor circuit poor electrical connection
What does this mean?

Tech notes
Before replacing the mass air flow sensor, try replacing the air filter and cleaning the air flow sensor with low compress air or mass air flow sensor cleaner. Reset code and drive vehicle. If the code comes back, it may be necessary to replaced the mass air flow sensor.
What does this mean?

When is the code detected?
- A high voltage from the sensor is sent to Engine Control Module (ECM) under light load driving condition.
- A low voltage from the sensor is sent to ECM
Possible symptoms
- Engine Light ON (or Service Engine Soon Warning Light)
- Engine stall
- Engine running rough
- excessive fuel consumption
- Excessive smoke
P0101 Toyota Description
The Mass Air Flow (MAF) sensor is placed in the stream of intake air. It measures the intake flow rate by measuring a part of the entire intake flow. It consists of a hot film that is supplied with electric current from the Engine Control Module (ECM).
The temperature of the hot film is controlled by the ECM a certain amount. The heat generated by the hot film is reduced as the intake air flows around it. The more air, the greater the heat loss. Therefore, the ECM must supply more electric current to maintain the temperature of the hot film as air flow increases. The ECM detects the air flow by means of this current change.

WARRNING mkifika kwa fundi msiwe wabishi basi maana wengine ubishi au kubishana hatuja zoea ?
kwamfano kwa kesi kama hiyo hapo juu nikikwambia nunua air clearner /filter ukabisha na
kutaka nifungue shule juu yako ni vipi na kivipi ununue air filter. sikulazimishi ila usije lalamika
kuwa gari haijatenga maa.
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD]

[/TD]
[TD="align: right"]
comments.png
| Add Comment [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Possible causes
- Faulty Rear Heated Oxygen Sensor Bank 1
- Rear Heated Oxygen Sensor Bank 1 harness is open or shorted
- Rear Heated Oxygen Sensor Bank 1 circuit poor electrical connection
- Intake air leaks
- Exhaust gas leaks
- Inappropriate fuel pressure
- Faulty fuel injectors
What does this mean?

Tech notes
Replacing the Rear Heated Oxygen Sensor Bank 1 usually takes care of the problem.

What does this mean?

When is the code detected?
The P0138 code is set when the Engine Control Module (ECM) detects that the rear O2 sensor signal voltage remains excessively high for an extended period of time.
Possible symptoms
- Engine Light ON (or Service Engine Soon Warning Light)

- High Fuel Consumption

- Excessive Smoke from Exhaust

The Heated Oxygen Sensor 2 (HO2S) (Rear O2 Sensor), after three way catalyst (manifold), monitors the oxygen level in the exhaust gas on each bank. For optimum catalyst operation, the air fuel mixture (air-fuel ratio) must be maintained near the ideal stoichiometric ratio. The HO2S output voltage changes suddenly in the vicinity of the stoichiometric ratio. The Engine Control Module (ECM) adjusts the fuel injection time so that the air-fuel ratio is nearly stoichiometric. The HO2S generates a voltage between 0.1 and 0.9 V in response to oxygen in the exhaust gas. If the oxygen in the exhaust gas increases, the air-fuel ratio becomes Lean. The ECM interprets Lean when the HO2S voltage is below 0.45 V. If the oxygen in the exhaust gas decreases, the air-fuel ratio becomes Rich. The ECM interprets Rich when the HO2S voltage is above 0.45 V.

WARNING? hapa wabongo wengi ndio huwatuna fanya mchezo wa kujitekenya na kucheka wenyewe.
fundi akimwambia bosi oxygen sensor mpya inauzwa dukani laki 1 anaruka na kudai mm nataka
unifungie used tene ya gari iliyo katwa screpa. yeye anachotaka tu taa ya check engine izime'

sio spea zote zinafaa kufunga used kwenye gari yako? yaani hapo ni sawa sawa ukanunue timing belt used ambayo ilishatembea mpaka kufika mda wake wa kubadilishwa ww ndio ununue na kuweka kwenye gari yako. sasa hapo kwenye spea mhim na nyeti kama oxygen sensor upeka sana umagumashi na kujidanganya mwenyewe hasa kama unasimamia ulaji mzuri wa mafuta.
 
WARNING? hapa wabongo wengi ndio huwatuna fanya mchezo wa kujitekenya na kucheka wenyewe.
fundi akimwambia bosi oxygen sensor mpya inauzwa dukani laki 1 anaruka na kudai mm nataka
unifungie used tene ya gari iliyo katwa screpa. yeye anachotaka tu taa ya check engine izime'

sio spea zote zinafaa kufunga used kwenye gari yako? yaani hapo ni sawa sawa ukanunue timing belt used ambayo ilishatembea mpaka kufika mda wake wa kubadilishwa ww ndio ununue na kuweka kwenye gari yako. sasa hapo kwenye spea mhim na nyeti kama oxygen sensor upeka sana umagumashi na kujidanganya mwenyewe hasa kama unasimamia ulaji mzuri wa mafuta.
 
kama alivyosema mkuu hapo juu lakini hapo cha mhim cha kuanza nancho ni namaba 8 oxygen sensor na namba 9 hapo kwenye namaba 9 kuna sensor inaitwa idle sensor hiyo ukitaka kujua kama inafanya kazi vizuri gari ukiwasha asubuhi huwa inakuwa sailensa juu jinsi inavyopata moto taratibu inashuka mpaka kwenye normal. hiyo ndio huwa inakula sana mafuta kama ikiwa chafu?? kama upo dar na hauto jari nitafute nikufanyie hiyo kazi na ukitaka tukupimie nitakupimia mashine ninayo. phone 0717228064.

tatizo wabongo ni wabishi sana na wengi tumeathirika na used kuna spea zingine hazitakiwi used mfano oxygen sensor ww huwezi jua imetumika kiasi gani ww unanunua unaweka ilimladi tu taa ta check engine izime

Je inapowaka na sailensa ya juu kisha kushuka to normal ndo kusema inatatizo?
 
Ipeleke breakppoint asbh ikawahi mchemsho kabla aujaisha
 
Unataka isile mafuta kwani gari inakula mchemsho? We gari umeikaangisha kutoka mwanza to dsm lazima ichoke na gari likichoka rate ya unywaji wa wese inakuwa kubwa fanya full service!
mkuu unaonekana unapenda kugegeda mchemsho!!!!
 
Back
Top Bottom