Thanks kwa ushauri Mkuu, naomba nisaidie aina ya mfuniko mzuri maana nimebadili mara mbili na kuna fundi alidai inasababishwa na thermostat akaitoa lakini tatizo likaendelea
Gari nilinunua 2017 haikuwa na hiyo tatizo ilianza gafla mwaka jana mwezi wa 7 na wala haichemshi. Kuondolewa kwa thermostat kuna athari yeyote?Ungeweka maelezo yenye kujitosheleza ili watu waweze kukusaidia.
Mfano, gari uliponunua ilo tatizo lilikuwepo ama la, na maelezo mengine.
Huyo fundi airudishe hiyo thermostat aliyoitoa.
Gari nilinunua 2017 haikuwa na hiyo tatizo ilianza gafla mwaka jana mwezi wa 7 na wala haichemshi. Kuondolewa kwa thermostat kuna athari yeyote?
Thanks MkuuThread zake zimo humu JF, pitia upate elimu.
Nataka kutoa Thermostat kwenye gari, naomba ushari wenu
Habari wanaJF, Naomba kujua kuna faida ipi na hasara ipi ukitoa thermostat kwenye gari yako hasa ikiwa iko maeneo ya Pwani. Maana kuna fundi alinishauri nitoe kutoka na hali ya joto kwa mikoa ya pwani. Nashukuru.www.jamiiforums.com
Belt na water pump ziko vizuri hata feni inafungukaUsifanye masihara na system ya kupoza engine...
Kama gari yako inarudisha maji Kwenye tank ya coolant inawezekana itakuwa WATER PUMP IMEKUFA,jaribu kuwasha Kwanza gari yako huku umefungua bonnet alafu kasikilize mlio wa water pump jinsi inavyozunguka na uangalie belts zote kama zipo tight au loose
Mwambie huyo fundi arudishie hiyo thermostat haraka sana...hapo utakuja kutengeneza tatizo lingine ambalo ni kubwa zaidi...Thanks kwa ushauri Mkuu, naomba nisaidie aina ya mfuniko mzuri maana nimebadili mara mbili na kuna fundi alidai inasababishwa na thermostat akaitoa lakini tatizo likaendelea
On another observation VANGUARD huwa hazina provission ya spare tire. Kuna maujanja ambayo wabongo wameshabuni ili kusolve hilo tatizo?
Tatizo ni mfuniko kama ulivyoelezwa apo juu. Nenda kwenye duka wanakouza original toyota radiator cup (bei yake imechangamka kidogo), au tafuta duka wanakouza rejeta used wakutolee mfuniko kwenye izo rejeta wanazouza utakua umetatua tatizo.Belt na water pump ziko vizuri hata feni inafunguka
Watu wengine wananunua mlango wa nyuma wa RAV miss Tz (2005-2011) wanaupachika, wenyewe una sehemu ya kuweka tairi la spareOn another observation VANGUARD huwa hazina provission ya spare tire. Kuna maujanja ambayo wabongo wameshabuni ili kusolve hilo tatizo?
Hajasema maji kasema coolant sijui mnashindwaga nini kuelewa kiswahili? Na kama na wewe ni mtu miongoni mwa wale wanaotumia maji badala ya coolant kupooza engine zao mnakosea na unaua gari bila kujijua kumbuka maji yanasababisha kutu kwenye rejeta! Naishia hapo ila hajasema maji kasema coolantUsifanye masihara na system ya kupoza engine...
Kama gari yako inarudisha maji Kwenye tank ya coolant inawezekana itakuwa WATER PUMP IMEKUFA,jaribu kuwasha Kwanza gari yako huku umefungua bonnet alafu kasikilize mlio wa water pump jinsi inavyozunguka na uangalie belts zote kama zipo tight au loose
Duuuu hii ya leo Kali jamani!Hajasema maji kasema coolant sijui mnashindwaga nini kuelewa kiswahili? Na kama na wewe ni mtu miongoni mwa wale wanaotumia maji badala ya coolant kupooza engine zao mnakosea na unaua gari bila kujijua kumbuka maji yanasababisha kutu kwenye rejeta! Naishia hapo ila hajasema maji kasema coolant
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa thermostat ni kuharibu gari yako kabisa,engine itakua inaoperate under minimum temp.Thanks kwa ushauri Mkuu, naomba nisaidie aina ya mfuniko mzuri maana nimebadili mara mbili na kuna fundi alidai inasababishwa na thermostat akaitoa lakini tatizo likaendelea
Watu wengine wananunua mlango wa nyuma wa RAV miss Tz (2005-2011) wanaupachika, wenyewe una sehemu ya kuweka tairi la spare