Call m3 Anwar
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 276
- 454
Habari zenu wakuu na wapenzi wa jukwaa hili. Niende kwenye mada, Kuna hii Toyota IST 2005 ambayo ni 4wd ama AWD model code NCP 65, 1.5L. Hii gar ilifanikiwa kufanyiwa usajili mwaka jana mwezi wa Pili mpaka sasa ina mwaka naa hapa bongo. Ilikuja ikiwa na km 150,000+ hv na mpaka sasa zimeongezeka km 20,000 Kwenye odometer inasoma 170,000+.
Kilichonifanya kuandika uzi huu ni kuuliza wazoefu wa hivi vyombo je gari ya aina hii inakuwaga na fuel consumption ipi kwa matumizi ya mjini tu. Kwa maana hii gari matumizi yake imekuwa tofaut na nadharia yetu kwamba hii gar huwa na consumption nzuri kwa mjini. Hii kitu ikiwekwa full tank (nadhani ni kati ya lita 40 - 45) ambapo kudrive kwa safari za mjini tu huwa inatoa umbali wa Km 350 maximux, yaani kwa maana lita 1 inatoa umbal wa wastani wa km 8. Huwa najiulizaga mbona ni kama inapoteza ila sifa yake ya kutumia mafuta vizur hata kama ni AWD mbona consumption yake inazikaribia gari zenye 2.5L. Je ndio kawaida ya hizi gari ama kuna tatizo mahala, kama kuhusu service huwa inazingatiwa sana na gar haina safar ndefu kabisa Full tank inaweza kaa wiki hata zaid. Je pia wamiliki wa gar zenye cc above to 2.5L kama kina crown huwa mnapata fuel consumption ipi?
Pichani ni mfanano wa gari ninayoiongelea