Issue ya IPTL mchezo unachezwa hapa kuwakanganya watu:

Serikalini wizi umezidi, wizi wa kutisha unapata baraka zote za wanasiasa, hata ule wizi wa fedha za EPA walisema kuwa zile pesa sio za serikali ati kwa kuwa ni za Makampuni ya nje yaliyokuwa yanatudai.

Wizi huu wa fedha zw Escrow account, wametoa madai kama ya EPA, yaani wanasiasa wa CCM wanatufanya sisi wajinga, pesa yoyote inayochukuliwa bila kufuata utaratibu stahili ni wizi, kama sio wizi, kwa nini wakwepe kufuata taratibu?

Hizi pesa kutoka Escrow account zimechotwa ili kuisaidia CCM kwenye uchaguzi wa mwakani, maana lzm kuna mgao umeenda nje ya IPTL/ PAP.

Yaani kati ya mwaka huu na mwakani, tutaibiwa sana; na watakaoiba ni wanasiasa ili kukisaidia CCM kushinda uchaguzi mkuu 2015. Watapata wapi pesa za kuwahonga wapiga kura Tshirt, Kofia, Khanga nk? Ni kwa kuiba kwa kutumia njia kama hizi.

Vv
 
Binafsi nimekuwa nikifuatilia issue ya IPTL ambapo nimekuwa nikijiuliza sana wanaosema PESA si za UMMA wanatumia kigezo gani na hivyo hivyo wanaosema pesa ni za UMMA wanatumia kigezo gani? Nimepitia vizuri baadhi ya documents na barua zinazotembea hapa jamvini yangu sakata hili lianze na kujiridhisha kuwa mchezo unachezwa au umeanzia kuchezwa hapa.

Wapigaji wa fedha hizi kwanza kabisa waliamua kubadilisha tafsiri ya malengo ya kufungua Escrow account: Tafsiri sahihi kwa uelewa wangu ni kwamba, Escrow account ilifunguliwa baada ya kutokea mgogoro kati ya Tanesco na IPTL. Hapa ieleweke vizuri ni kati ya Tanesco na IPTL na si kati ya wamiliki yaani shareholders wa IPTL.

Mgogoro ulikuwa ni kwamba, Tanesco waligundua ongezeko kwenye ukokotoaji wa capacity charge tofauti na gharama halisi kwenye mkataba hivyo kuamua kufungua Escrow account kwa madhumuni ya kuhifadhi hilo ongezeko TU wakati mgogoro dhidi ya ongeko hilo unashughulikiwa. Hapa pia ieleweke kwamba escrow account ilifunguliwa na Tanesco kwa kuweka fedha za ongezeko la capacity charge tu na si malipo halisi ya matumizi ya umeme wa IPTL

Kinachoonekana, baadaye wabia wa IPTL yaani Melchimal na VIP Engineering nao walikuja kutofautiana hasa kwenye kugawana Mapato (shares) kutokana na mauzo ya umeme Tanesco, hivyo basi kuamua fedha za mauzo ziende Escrow account mpaka watakaporidhiana. Hapa maana yake nini: Maana yake ikawa kwamba account hii ikawa na pesa za aina mbili Yaani ile pesa ya ongezeko inayolalamikiwa na Tanesco na pesa halisi ya mauzo ya umeme ambayo iliwekwa baada ya wabia kutofautiana.

Baada ya PAP kudai kununua hisa za wabia wote waliokuwa wanagombana yaani VIP Engineering (30%) and Melchimal (70%) na kupeleka shauri la kufuta kesi mahakamani hivyo kuwa na mamlaka ya kumiliki mali na madeni ya IPTL. Hapa ndipo wajanja hawa wakabadili tafsiri nzima ya kufungua account ya escrow kwa kutaka kuuonesha UMMA kuwa account hii ilifunguliwa kwa sababu ya ugomvi wa wabia wa IPTL yaani VIP na Melchimal hizo kwa kuwa hisa zote kwa sasa zipo chini ya PAP basi automatically fedha zote za Escrow pia ni za PAP

Kumbe uhalisia ni kwamba ndani ya fedha hizo kulikuwa na fedha nyingi sana za Tanesco ambayo ilikuwa inalalamika kuibiwa na IPTL baada ya kuona kuna ongezeko la kniyemela katika kukokotoa capacity charge. Uhalisia ni kwamba ilitakiwa fedha hizi zisitolewe ili kusubili uamuzi wa mahakama dhidi ya malalamiko ya Tanesco kuhusu ongezeko hilo ili kama Tanesco ikionekana ndio ilikuwa inapunjwa basi ichukue pesa zake. Hapa ieleweke kwamba uamuzi wa mahakama haimaanishi uamuzi wa mahakama kati ya wabia wa IPTL (Melchimal na VIP) bali ni uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL dhidi ya ongezeko linalolalamikiwa na Tanesco

Inasemekana uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL umekuja kutoka katika kipindi ambacho wajanja wameshavuta hela tayari na zaidi taarifa za mitandao zinasema madai ya Tanesco yalikuwa ni genuine hivyo ilitakiwa calculation ya capacity charge ifanyike upya na kulikuwa na uwezekano fedha karibu zote za kwenye account hiyo kama zingekuwa hazijachotwa zingetakiwa kukabidhiwa Tanesco achana na fedha zingine za kodi kutokana na mauzo ya HISA na uamisho wa mkataba kwenda kwa mbia mpya.

Maelezo mauri sana lkn mimi shida yangu ama kitu ambacho sielewi ni kwamba Wazungu (Waingereza) wanaingiaje hapa kwenye hii kesi? Yaani ktk haya yoote kuna fedha ambayo wanapaswa kulipwa lkn sielewi kwa nini, sijui una ufahamu wa hili?
 
Hilo la kuwa escrow ni pesa za ONGEZEKO TU na sio capacity charges zote ni muhimu mno,if it's true.
 
Asante mkuu! Mimi nachanganyikiwa zaidi ninapoona viongozi na watendaji waandamizi wa serikali na chama wakikiri wazi kupokea fedha taslim Kutoka IPTL, lakini wakijitetea kwamba ni misaada tu. Mfano ni Mh. ANNA TIBAIJUKA, sasa najiuliza, hii IPTL ilionekana kuwa na hali mbaya kifedha hadi kuamua kuuza hisa kwa MELCHMAL na VIP, inapata wapi hayo mabilioni ya kuwapa viongozi wetu wa chama na serikali?

Ni kweli mheshimiwa kaelezea vizuri sana ila mkanganyiko ndo huo. Ipo siri kubwa sana ambayo ikifichuka yaweza kuiangusha serikali. Ndo maana danadana nyingi.
 
Asante mkuu! Mimi nachanganyikiwa zaidi ninapoona viongozi na watendaji waandamizi wa serikali na chama wakikiri wazi kupokea fedha taslim Kutoka IPTL, lakini wakijitetea kwamba ni misaada tu. Mfano ni Mh. ANNA TIBAIJUKA, sasa najiuliza, hii IPTL ilionekana kuwa na hali mbaya kifedha hadi kuamua kuuza hisa kwa MELCHMAL na VIP, inapata wapi hayo mabilioni ya kuwapa viongozi wetu wa chama na serikali?
Hapa JF kuna watu ambao hawajasoma hata darasa la kwanza, kuna wenye PhD za juu kwa juu, kuna maprofesa, matapeli,wanazuoni waliotukuka na wavuvi wasiowahi kuona ubao mweusi kama sisi. Kikubwa ni kuwa haya ndio makundi yanayotengeneza jamii yetu, mwisho wa yote ni kuwa wengi watu wana busara na wanaipenda nchi yetu.
Walioanza kwa kuwaita wenzao tumbili kwa jeuli ya kiasi kikubwa cha pesa walichokuwa wamepta hawakutarajia kama ukweli huu utakuja kufika ulipofikia!
asante jf, asante movichboy kwa ufafanuzi mzuri ili nasi wenye IQ ndogo tuelewe!
 
Maelezo mauri sana lkn mimi shida yangu ama kitu ambacho sielewi ni kwamba Wazungu (Waingereza) wanaingiaje hapa kwenye hii kesi? Yaani ktk haya yoote kuna fedha ambayo wanapaswa kulipwa lkn sielewi kwa nini, sijui una ufahamu wa hili?
Issue Waingereza wanaitetea Benki ya ya Standard Chartered iliyongizwa Mkenge na Merchar ya Malaysia... Ukidhani wanatetea hela zenu ujue ni changa la macho.
 
Serikalini wizi umezidi, wizi wa kutisha unapata baraka zote za wanasiasa, hata ule wizi wa fedha za EPA walisema kuwa zile pesa sio za serikali ati kwa kuwa ni za Makampuni ya nje yaliyokuwa yanatudai.

Wizi huu wa fedha zw Escrow account, wametoa madai kama ya EPA, yaani wanasiasa wa CCM wanatufanya sisi wajinga, pesa yoyote inayochukuliwa bila kufuata utaratibu stahili ni wizi, kama sio wizi, kwa nini wakwepe kufuata taratibu?

Hizi pesa kutoka Escrow account zimechotwa ili kuisaidia CCM kwenye uchaguzi wa mwakani, maana lzm kuna mgao umeenda nje ya IPTL/ PAP.

Yaani kati ya mwaka huu na mwakani, tutaibiwa sana; na watakaoiba ni wanasiasa ili kukisaidia CCM kushinda uchaguzi mkuu 2015. Watapata wapi pesa za kuwahonga wapiga kura Tshirt, Kofia, Khanga nk? Ni kwa kuiba kwa kutumia njia kama hizi.

Vv

mkuu ata zile T-shirt zilizoandikwa 2 zatosha 3 za nini?inawezekana kabisa ikawa ni sehemu ya mgao huo.
 
Maelezo mauri sana lkn mimi shida yangu ama kitu ambacho sielewi ni kwamba Wazungu (Waingereza) wanaingiaje hapa kwenye hii kesi? Yaani ktk haya yoote kuna fedha ambayo wanapaswa kulipwa lkn sielewi kwa nini, sijui una ufahamu wa hili?

Ninavyoelewa ni kwamba iptl ikiwa chini ya mechmar na VIP walichukua mkopo kwenye benki fulani za Malaysia na ndio huo wakautumia kuanzishia Tegeta plant.

Baadae zile benki ziliuzwa kwa benki ya Uingereza(Standard Charted) na madeni yote yakahamia Starn Chart ila kulikuwa na kasoro katika kuhamisha deni la Iptl,na hiyo ni mojawapo ya chanzo cha mitafaruku mikubwa kati ya iptl na Stan Chart.
Pili,inasemekana Mechmar walimuuzia PAP hisa zao bila kuhusisha deni la benki,hivyo PAP chini ya Iptl ilikuwa haina legal grounds kutambua deni hilo,huo nao ukawa utata mwingine.
Sasa Stan Chart kuona wamefanyiwa uhuni na Mechmar,ndio wakaamua kutumia mkataba wa uuzaji umeme kati ya serikali yetu,Tanesco na Iptl unaoitwa PPA(power purchase agreement) kudai fedha zao kupitia serikali yao ya Uingereza,kwa kuona mkataba huo ndio unawapa the only legal grounds available,maana humo kuna guarantee toka kwa serikali yetu,na fedha iliyokuwa ikitazamwa ili kulipa hilo deni ni hiyo ya escrow,Stan Chart walitaka fedha hizo zitumike kulipa deni,halafu wabongo wakapiga hapo hapo,ndio mtitu ukalipukia hapo.
Kuna mengi ya kuelezea hapo ila kwa ufupi hiyo ni skeleton ya uhusika wa Uingereza kwenye sakata hili.
 
Hii ishu hapo juu aliielezea Pasco kwenye mjadala ule wa "Tuache too much sensionalism kwenye mambo ya escrow" aliouanzisha yeye mwenyewe.Upo humu jukwaani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Upo vizuri sana,yani umeeleweka mnoo

Swali kwa mimi nisiyejua sheria za mikataba na Biashara za kimataifa

Hivi IPTL si kampuni Binafsi Sasa iweje ugomvi wao wa Ndani baina ya wabia uhusishe BOT? Inakubalika kwa kampuni binafsi kuhifadhi hela zake BOT?

Na kama inakubalika kwanini wasinge fungua account yao ya escrow Badala Yake wakaweka hela kwenye account ileile ambayo TANESCO pia walikuwa wanaweka zao?

Naomba kupewa elimu katika hili

Ukiona hivyo ujue kampuni zote hizo ni za watu haohao waliopo katika mfumo wa serikali ndio maana hawakuwa na shida kuweka fedha huko.
 
Binafsi nimekuwa nikifuatilia issue ya IPTL ambapo nimekuwa nikijiuliza sana wanaosema PESA si za UMMA wanatumia kigezo gani na hivyo hivyo wanaosema pesa ni za UMMA wanatumia kigezo gani? Nimepitia vizuri baadhi ya documents na barua zinazotembea hapa jamvini yangu sakata hili lianze na kujiridhisha kuwa mchezo unachezwa au umeanzia kuchezwa hapa.

Wapigaji wa fedha hizi kwanza kabisa waliamua kubadilisha tafsiri ya malengo ya kufungua Escrow account: Tafsiri sahihi kwa uelewa wangu ni kwamba, Escrow account ilifunguliwa baada ya kutokea mgogoro kati ya Tanesco na IPTL. Hapa ieleweke vizuri ni kati ya Tanesco na IPTL na si kati ya wamiliki yaani shareholders wa IPTL.

Mgogoro ulikuwa ni kwamba, Tanesco waligundua ongezeko kwenye ukokotoaji wa capacity charge tofauti na gharama halisi kwenye mkataba hivyo kuamua kufungua Escrow account kwa madhumuni ya kuhifadhi hilo ongezeko TU wakati mgogoro dhidi ya ongeko hilo unashughulikiwa. Hapa pia ieleweke kwamba escrow account ilifunguliwa na Tanesco kwa kuweka fedha za ongezeko la capacity charge tu na si malipo halisi ya matumizi ya umeme wa IPTL

Kinachoonekana, baadaye wabia wa IPTL yaani Melchimal na VIP Engineering nao walikuja kutofautiana hasa kwenye kugawana Mapato (shares) kutokana na mauzo ya umeme Tanesco, hivyo basi kuamua fedha za mauzo ziende Escrow account mpaka watakaporidhiana. Hapa maana yake nini: Maana yake ikawa kwamba account hii ikawa na pesa za aina mbili Yaani ile pesa ya ongezeko inayolalamikiwa na Tanesco na pesa halisi ya mauzo ya umeme ambayo iliwekwa baada ya wabia kutofautiana.

Baada ya PAP kudai kununua hisa za wabia wote waliokuwa wanagombana yaani VIP Engineering (30%) and Melchimal (70%) na kupeleka shauri la kufuta kesi mahakamani hivyo kuwa na mamlaka ya kumiliki mali na madeni ya IPTL. Hapa ndipo wajanja hawa wakabadili tafsiri nzima ya kufungua account ya escrow kwa kutaka kuuonesha UMMA kuwa account hii ilifunguliwa kwa sababu ya ugomvi wa wabia wa IPTL yaani VIP na Melchimal hizo kwa kuwa hisa zote kwa sasa zipo chini ya PAP basi automatically fedha zote za Escrow pia ni za PAP

Kumbe uhalisia ni kwamba ndani ya fedha hizo kulikuwa na fedha nyingi sana za Tanesco ambayo ilikuwa inalalamika kuibiwa na IPTL baada ya kuona kuna ongezeko la kniyemela katika kukokotoa capacity charge. Uhalisia ni kwamba ilitakiwa fedha hizi zisitolewe ili kusubili uamuzi wa mahakama dhidi ya malalamiko ya Tanesco kuhusu ongezeko hilo ili kama Tanesco ikionekana ndio ilikuwa inapunjwa basi ichukue pesa zake. Hapa ieleweke kwamba uamuzi wa mahakama haimaanishi uamuzi wa mahakama kati ya wabia wa IPTL (Melchimal na VIP) bali ni uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL dhidi ya ongezeko linalolalamikiwa na Tanesco

Inasemekana uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL umekuja kutoka katika kipindi ambacho wajanja wameshavuta hela tayari na zaidi taarifa za mitandao zinasema madai ya Tanesco yalikuwa ni genuine hivyo ilitakiwa calculation ya capacity charge ifanyike upya na kulikuwa na uwezekano fedha karibu zote za kwenye account hiyo kama zingekuwa hazijachotwa zingetakiwa kukabidhiwa Tanesco achana na fedha zingine za kodi kutokana na mauzo ya HISA na uamisho wa mkataba kwenda kwa mbia mpya.
toa ujinga wako hapa bichwa maji mkubwa wewe hunakuja kutuongopea hapa kwanza ujui chochote kuhusu escrow unakurupuka tu
 
Hapo umeniongezea mwanga.

Kwa kweli bwana Movich boy wewe ndio umetupa uhalisia wa swala hili kwa kina na kutufumbua macho watz wengi tuliokua tunaelezwa juu juu kuwa taifa tumeibiwa huku hawatuonyeshi wala kutupa historia ya ukweli wenyewe. Sio washikilia bango kina Kafulila wala Zitto wake. Kama ni kufuzu umechuana na yule binti wa AAna B.plus kibao udsm. Wengine wote waliotoa mabandiko yao kuhusu wizi kwenye account hii wanabaki kuwa wababaishaji tu. Sasa tujiulize hapa tanesco ilikubali vipi malipo ya umeme yaingizwe kwenye acc. ya escrow huku wakielewa acc. hiyo ilikusudiwa capacity charge pekee? Inaonyesha mchongo ulikusudiwa na wakashiriki.Mwanasheria mkuu wa serikali, Waziri wa nishati na katibu wa wizara hiyo waliruhusu vipi hela kuchukuliwa na PAP huku wakijua hukumu ya kesi ya tanesco iliyopo mahakama ya nje ikilalamikia tozo zaidi la capacity charges ilikua haijatoka? Hii ni dhahiri kuwa wote walikuwa wanaujua mchongo mzima na kwamba kwenye acc. ya escrow zipo fedha za malipo halali ya umeme uliouzwa tanesco na fedha za capacity charges zinazosubiri hukumu mahakama ya nje ya nchi na iliyofunguliwa na tanesco. Hivyo hivyo kwa judge alietoa amri ya PAP kuchota hela hizo toka b.o.t.Lazima alielezwa na alitakiwa ajue historia ya kufunguliwa acc. hiyo benki kuu na vivyo hivyo alielewa hela iliyopa kwenye acc. hiyo ni ya mgogoro wa capacity charge na malipo ya umeme ulioendelea kuuzwa tanesco na lazima alijua tanesco walishafungua kesi dhidi ya IPTL na hukumu haikuwa imetoka. Hata ingebidi kuruhusu angeruhusu zilipwe tu za malipo ya umeme na sio za capacity charges zenye mgogoro. Hayo hayo yanamfika Beno wa benki kuu alieelewa wazi kuwa acc. ya escrow ina fedha mafungu mawili hivyo isingekuwa sahihi kwake kukabidhi hela halali na zenye mgogoro na uamuzi wa hela yenye mgogoro iliyofunguliwa na tanesco uamuzi ukuwa bado na mbaya zaidi IPTL ikiwa imeshauza hisa zake zote kwa PAP. Waziri mkuu wetu alie mlinzi wa maslahi ya taifa hili historia yoye na mchezo wote uliochezwa na taifa kupata hasara nae ni mshirika tu na haepuki kwa vyoyote. Kwa wote hao haraka zote hizo zilikuwa hela ichotwe na wapewe mgao wao kabla hukumu ya tanesco haijaja na ushindi. Sasa hukumu imerudi na kuamriwa mahesabu yafanyike na tanesco warudiahiwe hela walizolipia zaidi kama capacity charge. Hela imeshachotwa na kugawanwa. PAP hapa haihusiki ni watu wenu wenyewe tena wenye chama chao.
 
Binafsi nimekuwa nikifuatilia issue ya IPTL ambapo nimekuwa nikijiuliza sana wanaosema PESA si za UMMA wanatumia kigezo gani na hivyo hivyo wanaosema pesa ni za UMMA wanatumia kigezo gani? Nimepitia vizuri baadhi ya documents na barua zinazotembea hapa jamvini yangu sakata hili lianze na kujiridhisha kuwa mchezo unachezwa au umeanzia kuchezwa hapa.

Wapigaji wa fedha hizi kwanza kabisa waliamua kubadilisha tafsiri ya malengo ya kufungua Escrow account: Tafsiri sahihi kwa uelewa wangu ni kwamba, Escrow account ilifunguliwa baada ya kutokea mgogoro kati ya Tanesco na IPTL. Hapa ieleweke vizuri ni kati ya Tanesco na IPTL na si kati ya wamiliki yaani shareholders wa IPTL.

Mgogoro ulikuwa ni kwamba, Tanesco waligundua ongezeko kwenye ukokotoaji wa capacity charge tofauti na gharama halisi kwenye mkataba hivyo kuamua kufungua Escrow account kwa madhumuni ya kuhifadhi hilo ongezeko TU wakati mgogoro dhidi ya ongeko hilo unashughulikiwa. Hapa pia ieleweke kwamba escrow account ilifunguliwa na Tanesco kwa kuweka fedha za ongezeko la capacity charge tu na si malipo halisi ya matumizi ya umeme wa IPTL

Kinachoonekana, baadaye wabia wa IPTL yaani Melchimal na VIP Engineering nao walikuja kutofautiana hasa kwenye kugawana Mapato (shares) kutokana na mauzo ya umeme Tanesco, hivyo basi kuamua fedha za mauzo ziende Escrow account mpaka watakaporidhiana. Hapa maana yake nini: Maana yake ikawa kwamba account hii ikawa na pesa za aina mbili Yaani ile pesa ya ongezeko inayolalamikiwa na Tanesco na pesa halisi ya mauzo ya umeme ambayo iliwekwa baada ya wabia kutofautiana.

Baada ya PAP kudai kununua hisa za wabia wote waliokuwa wanagombana yaani VIP Engineering (30%) and Melchimal (70%) na kupeleka shauri la kufuta kesi mahakamani hivyo kuwa na mamlaka ya kumiliki mali na madeni ya IPTL. Hapa ndipo wajanja hawa wakabadili tafsiri nzima ya kufungua account ya escrow kwa kutaka kuuonesha UMMA kuwa account hii ilifunguliwa kwa sababu ya ugomvi wa wabia wa IPTL yaani VIP na Melchimal hizo kwa kuwa hisa zote kwa sasa zipo chini ya PAP basi automatically fedha zote za Escrow pia ni za PAP

Kumbe uhalisia ni kwamba ndani ya fedha hizo kulikuwa na fedha nyingi sana za Tanesco ambayo ilikuwa inalalamika kuibiwa na IPTL baada ya kuona kuna ongezeko la kniyemela katika kukokotoa capacity charge. Uhalisia ni kwamba ilitakiwa fedha hizi zisitolewe ili kusubili uamuzi wa mahakama dhidi ya malalamiko ya Tanesco kuhusu ongezeko hilo ili kama Tanesco ikionekana ndio ilikuwa inapunjwa basi ichukue pesa zake. Hapa ieleweke kwamba uamuzi wa mahakama haimaanishi uamuzi wa mahakama kati ya wabia wa IPTL (Melchimal na VIP) bali ni uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL dhidi ya ongezeko linalolalamikiwa na Tanesco

Inasemekana uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL umekuja kutoka katika kipindi ambacho wajanja wameshavuta hela tayari na zaidi taarifa za mitandao zinasema madai ya Tanesco yalikuwa ni genuine hivyo ilitakiwa calculation ya capacity charge ifanyike upya na kulikuwa na uwezekano fedha karibu zote za kwenye account hiyo kama zingekuwa hazijachotwa zingetakiwa kukabidhiwa Tanesco achana na fedha zingine za kodi kutokana na mauzo ya HISA na uamisho wa mkataba kwenda kwa mbia mpya.

in summary we call it DISGUISED DEBT.
 
toa ujinga wako hapa bichwa maji mkubwa wewe hunakuja kutuongopea hapa kwanza ujui chochote kuhusu escrow unakurupuka tu

Dada Pendo Lyimo. Naomba unipe ukweli maana umeonyesha kana kwamba kakutaja wewe au ndugu yako au rafiki yako kuwa anahusika. Na kwa hasira hizi inaonesha wewe una data za jikoni na unajua kila kitu. Embu tupe dads
 
Back
Top Bottom