Issue ya IPTL mchezo unachezwa hapa kuwakanganya watu:

Issue ya IPTL mchezo unachezwa hapa kuwakanganya watu:

movichboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
289
Reaction score
346
Binafsi nimekuwa nikifuatilia issue ya IPTL ambapo nimekuwa nikijiuliza sana wanaosema PESA si za UMMA wanatumia kigezo gani na hivyo hivyo wanaosema pesa ni za UMMA wanatumia kigezo gani? Nimepitia vizuri baadhi ya documents na barua zinazotembea hapa jamvini yangu sakata hili lianze na kujiridhisha kuwa mchezo unachezwa au umeanzia kuchezwa hapa.

Wapigaji wa fedha hizi kwanza kabisa waliamua kubadilisha tafsiri ya malengo ya kufungua Escrow account: Tafsiri sahihi kwa uelewa wangu ni kwamba, Escrow account ilifunguliwa baada ya kutokea mgogoro kati ya Tanesco na IPTL. Hapa ieleweke vizuri ni kati ya Tanesco na IPTL na si kati ya wamiliki yaani shareholders wa IPTL.

Mgogoro ulikuwa ni kwamba, Tanesco waligundua ongezeko kwenye ukokotoaji wa capacity charge tofauti na gharama halisi kwenye mkataba hivyo kuamua kufungua Escrow account kwa madhumuni ya kuhifadhi hilo ongezeko TU wakati mgogoro dhidi ya ongeko hilo unashughulikiwa. Hapa pia ieleweke kwamba escrow account ilifunguliwa na Tanesco kwa kuweka fedha za ongezeko la capacity charge tu na si malipo halisi ya matumizi ya umeme wa IPTL

Kinachoonekana, baadaye wabia wa IPTL yaani Melchimal na VIP Engineering nao walikuja kutofautiana hasa kwenye kugawana Mapato (shares) kutokana na mauzo ya umeme Tanesco, hivyo basi kuamua fedha za mauzo ziende Escrow account mpaka watakaporidhiana. Hapa maana yake nini: Maana yake ikawa kwamba account hii ikawa na pesa za aina mbili Yaani ile pesa ya ongezeko inayolalamikiwa na Tanesco na pesa halisi ya mauzo ya umeme ambayo iliwekwa baada ya wabia kutofautiana.

Baada ya PAP kudai kununua hisa za wabia wote waliokuwa wanagombana yaani VIP Engineering (30%) and Melchimal (70%) na kupeleka shauri la kufuta kesi mahakamani hivyo kuwa na mamlaka ya kumiliki mali na madeni ya IPTL. Hapa ndipo wajanja hawa wakabadili tafsiri nzima ya kufungua account ya escrow kwa kutaka kuuonesha UMMA kuwa account hii ilifunguliwa kwa sababu ya ugomvi wa wabia wa IPTL yaani VIP na Melchimal hizo kwa kuwa hisa zote kwa sasa zipo chini ya PAP basi automatically fedha zote za Escrow pia ni za PAP

Kumbe uhalisia ni kwamba ndani ya fedha hizo kulikuwa na fedha nyingi sana za Tanesco ambayo ilikuwa inalalamika kuibiwa na IPTL baada ya kuona kuna ongezeko la kniyemela katika kukokotoa capacity charge. Uhalisia ni kwamba ilitakiwa fedha hizi zisitolewe ili kusubili uamuzi wa mahakama dhidi ya malalamiko ya Tanesco kuhusu ongezeko hilo ili kama Tanesco ikionekana ndio ilikuwa inapunjwa basi ichukue pesa zake. Hapa ieleweke kwamba uamuzi wa mahakama haimaanishi uamuzi wa mahakama kati ya wabia wa IPTL (Melchimal na VIP) bali ni uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL dhidi ya ongezeko linalolalamikiwa na Tanesco

Inasemekana uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL umekuja kutoka katika kipindi ambacho wajanja wameshavuta hela tayari na zaidi taarifa za mitandao zinasema madai ya Tanesco yalikuwa ni genuine hivyo ilitakiwa calculation ya capacity charge ifanyike upya na kulikuwa na uwezekano fedha karibu zote za kwenye account hiyo kama zingekuwa hazijachotwa zingetakiwa kukabidhiwa Tanesco achana na fedha zingine za kodi kutokana na mauzo ya HISA na uamisho wa mkataba kwenda kwa mbia mpya.
 
uzuri wa ukweli unapanda ngazi na uongo unapanda ARAVETA,Ukweli ni kama nyota gizani
 
Mkuu Upo vizuri sana,yani umeeleweka mnoo

Swali kwa mimi nisiyejua sheria za mikataba na Biashara za kimataifa

Hivi IPTL si kampuni Binafsi Sasa iweje ugomvi wao wa Ndani baina ya wabia uhusishe BOT? Inakubalika kwa kampuni binafsi kuhifadhi hela zake BOT?

Na kama inakubalika kwanini wasinge fungua account yao ya escrow Badala Yake wakaweka hela kwenye account ileile ambayo TANESCO pia walikuwa wanaweka zao?

Naomba kupewa elimu katika hili
 
Mkuu nilikuwa silielewi hili sakata sasa nimeelewa vizuri sana. Wabheja sana. Ninaisubscribe hii thread
 
binafsi nimekuwa nikifuatilia issue ya iptl ambapo nimekuwa nikijiuliza sana wanaosema pesa si za umma wanatumia kigezo gani na hivyo hivyo wanaosema pesa ni za umma wanatumia kigezo gani? Nimepitia vizuri baadhi ya documents na barua zinazotembea hapa jamvini yangu sakata hili lianze na kujiridhisha kuwa mchezo unachezwa au umeanzia kuchezwa hapa.

Wapigaji wa fedha hizi kwanza kabisa waliamua kubadilisha tafsiri ya malengo ya kufungua escrow account: Tafsiri sahihi kwa uelewa wangu ni kwamba, escrow account ilifunguliwa baada ya kutokea mgogoro kati ya tanesco na iptl. Hapa ieleweke vizuri ni kati ya tanesco na iptl na si kati ya wamiliki yaani shareholders wa iptl.

Mgogoro ulikuwa ni kwamba, tanesco waligundua ongezeko kwenye ukokotoaji wa capacity charge tofauti na gharama halisi kwenye mkataba hivyo kuamua kufungua escrow account kwa madhumuni ya kuhifadhi hilo ongezeko tu wakati mgogoro dhidi ya ongeko hilo unashughulikiwa. Hapa pia ieleweke kwamba escrow account ilifunguliwa na tanesco kwa kuweka fedha za ongezeko la capacity charge tu na si malipo halisi ya matumizi ya umeme wa iptl

kinachoonekana, baadaye wabia wa iptl yaani melchimal na vip engineering nao walikuja kutofautiana hasa kwenye kugawana mapato (shares) kutokana na mauzo ya umeme tanesco, hivyo basi kuamua fedha za mauzo ziende escrow account mpaka watakaporidhiana. Hapa maana yake nini: Maana yake ikawa kwamba account hii ikawa na pesa za aina mbili yaani ile pesa ya ongezeko inayolalamikiwa na tanesco na pesa halisi ya mauzo ya umeme ambayo iliwekwa baada ya wabia kutofautiana.

Baada ya pap kudai kununua hisa za wabia wote waliokuwa wanagombana yaani vip engineering (30%) and melchimal (70%) na kupeleka shauri la kufuta kesi mahakamani hivyo kuwa na mamlaka ya kumiliki mali na madeni ya iptl. Hapa ndipo wajanja hawa wakabadili tafsiri nzima ya kufungua account ya escrow kwa kutaka kuuonesha umma kuwa account hii ilifunguliwa kwa sababu ya ugomvi wa wabia wa iptl yaani vip na melchimal hizo kwa kuwa hisa zote kwa sasa zipo chini ya pap basi automatically fedha zote za escrow pia ni za pap

kumbe uhalisia ni kwamba ndani ya fedha hizo kulikuwa na fedha nyingi sana za tanesco ambayo ilikuwa inalalamika kuibiwa na iptl baada ya kuona kuna ongezeko la kniyemela katika kukokotoa capacity charge. Uhalisia ni kwamba ilitakiwa fedha hizi zisitolewe ili kusubili uamuzi wa mahakama dhidi ya malalamiko ya tanesco kuhusu ongezeko hilo ili kama tanesco ikionekana ndio ilikuwa inapunjwa basi ichukue pesa zake. Hapa ieleweke kwamba uamuzi wa mahakama haimaanishi uamuzi wa mahakama kati ya wabia wa iptl (melchimal na vip) bali ni uamuzi wa mahakama kati ya tanesco na iptl dhidi ya ongezeko linalolalamikiwa na tanesco

inasemekana uamuzi wa mahakama kati ya tanesco na iptl umekuja kutoka katika kipindi ambacho wajanja wameshavuta hela tayari na zaidi taarifa za mitandao zinasema madai ya tanesco yalikuwa ni genuine hivyo ilitakiwa calculation ya capacity charge ifanyike upya na kulikuwa na uwezekano fedha karibu zote za kwenye account hiyo kama zingekuwa hazijachotwa zingetakiwa kukabidhiwa tanesco achana na fedha zingine za kodi kutokana na mauzo ya hisa na uamisho wa mkataba kwenda kwa mbia mpya.

mkuu wewe utakuwa umesoma udsm zaman si hivi karibuni. Good flow of info.leo ndiyo nimeelewa maana watu walikuwa wanatupiamo nusu nusu
 
Asante mkuu! Mimi nachanganyikiwa zaidi ninapoona viongozi na watendaji waandamizi wa serikali na chama wakikiri wazi kupokea fedha taslim Kutoka IPTL, lakini wakijitetea kwamba ni misaada tu. Mfano ni Mh. ANNA TIBAIJUKA, sasa najiuliza, hii IPTL ilionekana kuwa na hali mbaya kifedha hadi kuamua kuuza hisa kwa MELCHMAL na VIP, inapata wapi hayo mabilioni ya kuwapa viongozi wetu wa chama na serikali?
 
Mkuu Upo vizuri sana,yani umeeleweka mnoo

Swali kwa mimi nisiyejua sheria za mikataba na Biashara za kimataifa

Hivi IPTL si kampuni Binafsi Sasa iweje ugomvi wao wa Ndani baina ya wabia uhusishe BOT? Inakubalika kwa kampuni binafsi kuhifadhi hela zake BOT?

Na kama inakubalika kwanini wasinge fungua account yao ya escrow Badala Yake wakaweka hela kwenye account ileile ambayo TANESCO pia walikuwa wanaweka zao?

Naomba kupewa elimu katika hili

tatizo liko hapo, kwanini hizi fedha zilichanganywa?
 
Mkuu umeeleweka vizuri sana,hapo jamaa walitumia hiyo advantage ya kuziiba hizo hela na suala sasa liko hapo.
Mkuu xfactor hapo kwa uelewa wangu ni kwamba Tanesco ndo walifungua account ya kuhifadhi pesa ambayo walipaswa kuwalipa IPTL mpaka kesi itakapoisha ya IPTL kuidai Tanesco iilipe pesa lakini kabla kesi haijaisha ukaanza mgogoro kati ya Mechmal a Iptl kuhusu nani mmiliki wa kuweza kulipwa hizo pesa.Kwa uelewa wangu nadhani ndio hivyo kama nitakuwa nimekosea naweza sahihishwa pia.
 
Last edited by a moderator:
Ukisoma vizuri utagundua hi kitu ilipangwa.kwa nini tanesco hawakufungua account tofauti
 
Ukisoma vizuri utagundua hi kitu ilipangwa.kwa nini tanesco hawakufungua account tofauti

Nadhani wale VIP na mwenzake ndo wangefungua account tofauti...kwani tayari hii ya mgogoro wa Tanesco na IPTL ilikuwepo tayari. Labda cha kujiuliza ni kwa nini BOT iliruhusu hawa jamaa kuweka ela zao kwenye account hii badala ya kuwafungulia account nyingine? Kama nitakuwa nimemuelewa mleta mada.
 
...kwanini wasinge fungua account yao ya escrow Badala Yake wakaweka hela kwenye account ileile ambayo TANESCO pia walikuwa wanaweka zao?

Mwenyewe nasubiria ufafanuzi juu ya hili.

Binafsi nimekuwa nikifuatilia issue ya IPTL ambapo nimekuwa nikijiuliza sana wanaosema PESA si za UMMA wanatumia kigezo gani na hivyo hivyo wanaosema pesa ni za UMMA wanatumia kigezo gani? Nimepitia vizuri baadhi ya documents na barua zinazotembea hapa jamvini yangu sakata hili lianze na kujiridhisha kuwa mchezo unachezwa au umeanzia kuchezwa hapa.

Wapigaji wa fedha hizi kwanza kabisa waliamua kubadilisha tafsiri ya malengo ya kufungua Escrow account: Tafsiri sahihi kwa uelewa wangu ni kwamba, Escrow account ilifunguliwa baada ya kutokea mgogoro kati ya Tanesco na IPTL. Hapa ieleweke vizuri ni kati ya Tanesco na IPTL na si kati ya wamiliki yaani shareholders wa IPTL.

Mgogoro ulikuwa ni kwamba, Tanesco waligundua ongezeko kwenye ukokotoaji wa capacity charge tofauti na gharama halisi kwenye mkataba hivyo kuamua kufungua Escrow account kwa madhumuni ya kuhifadhi hilo ongezeko TU wakati mgogoro dhidi ya ongeko hilo unashughulikiwa. Hapa pia ieleweke kwamba escrow account ilifunguliwa na Tanesco kwa kuweka fedha za ongezeko la capacity charge tu na si malipo halisi ya matumizi ya umeme wa IPTL

Kinachoonekana, baadaye wabia wa IPTL yaani Melchimal na VIP Engineering nao walikuja kutofautiana hasa kwenye kugawana Mapato (shares) kutokana na mauzo ya umeme Tanesco, hivyo basi kuamua fedha za mauzo ziende Escrow account mpaka watakaporidhiana. Hapa maana yake nini: Maana yake ikawa kwamba account hii ikawa na pesa za aina mbili Yaani ile pesa ya ongezeko inayolalamikiwa na Tanesco na pesa halisi ya mauzo ya umeme ambayo iliwekwa baada ya wabia kutofautiana.

Baada ya PAP kudai kununua hisa za wabia wote waliokuwa wanagombana yaani VIP Engineering (30%) and Melchimal (70%) na kupeleka shauri la kufuta kesi mahakamani hivyo kuwa na mamlaka ya kumiliki mali na madeni ya IPTL. Hapa ndipo wajanja hawa wakabadili tafsiri nzima ya kufungua account ya escrow kwa kutaka kuuonesha UMMA kuwa account hii ilifunguliwa kwa sababu ya ugomvi wa wabia wa IPTL yaani VIP na Melchimal hizo kwa kuwa hisa zote kwa sasa zipo chini ya PAP basi automatically fedha zote za Escrow pia ni za PAP

Kumbe uhalisia ni kwamba ndani ya fedha hizo kulikuwa na fedha nyingi sana za Tanesco ambayo ilikuwa inalalamika kuibiwa na IPTL baada ya kuona kuna ongezeko la kniyemela katika kukokotoa capacity charge. Uhalisia ni kwamba ilitakiwa fedha hizi zisitolewe ili kusubili uamuzi wa mahakama dhidi ya malalamiko ya Tanesco kuhusu ongezeko hilo ili kama Tanesco ikionekana ndio ilikuwa inapunjwa basi ichukue pesa zake. Hapa ieleweke kwamba uamuzi wa mahakama haimaanishi uamuzi wa mahakama kati ya wabia wa IPTL (Melchimal na VIP) bali ni uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL dhidi ya ongezeko linalolalamikiwa na Tanesco

Inasemekana uamuzi wa mahakama kati ya Tanesco na IPTL umekuja kutoka katika kipindi ambacho wajanja wameshavuta hela tayari na zaidi taarifa za mitandao zinasema madai ya Tanesco yalikuwa ni genuine hivyo ilitakiwa calculation ya capacity charge ifanyike upya na kulikuwa na uwezekano fedha karibu zote za kwenye account hiyo kama zingekuwa hazijachotwa zingetakiwa kukabidhiwa Tanesco achana na fedha zingine za kodi kutokana na mauzo ya HISA na uamisho wa mkataba kwenda kwa mbia mpya.

Mmh kila siku yanaibuka mapya
 
Mkuu umeeleweka vizuri sana,hapo jamaa walitumia hiyo advantage ya kuziiba hizo hela na suala sasa liko hapo.
Mkuu xfactor hapo kwa uelewa wangu ni kwamba Tanesco ndo walifungua account ya kuhifadhi pesa ambayo walipaswa kuwalipa IPTL mpaka kesi itakapoisha ya IPTL kuidai Tanesco iilipe pesa lakini kabla kesi haijaisha ukaanza mgogoro kati ya Mechmal a Iptl kuhusu nani mmiliki wa kuweza kulipwa hizo pesa.Kwa uelewa wangu nadhani ndio hivyo kama nitakuwa nimekosea naweza sahihishwa pia.

Hata mimi nimeelewa Hivyo ila Ishu ni kwamba kwanini hela za mgogoro wa ndani ya Kampuni binafsi(IPTL) iwekwe BOT? Na kwanini hiyo hela ichanganywe na ile ya mgogoro wao na TANESCO?

Mgogoro wa IPTL na TANESCO ni tofauti na mgogoro wa ndani baina ya wabia hivyo Hizo hela hazi kupaswa kuwekwa kwenye account moja.

Hii Ishu ilipikwa kiufundi sana,hata Huo mgogoro wa wabia wa IPTL ni wa kutengeneza ili wazichanganye hela pamoja huko BOT baadae wazichote.

Kwa hela ambayo IPTL ilikuwa inaingiza isingewezekana iweze kufilisika na hiyo sababu iliyotolewa juu ya mgogoro baina ya shareholders haina mashiko. Iweje wabia mgombane kuhusu mgao wa fedha wakati documents za umiliki wa kampuni zinaonyesha wazi asilimia ya hisa zinazo milikiwa na kila mmoja(30% VIP na 70% Hao wapuuzi wengine). Mnaanzaje kugombana kuhusu mgao ilihali kila kitu kipo stated?

Huu ni mchongo ulipangwa ili watu wapige hela za uchaguzi 2015
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom