Issue ya IPTL mchezo unachezwa hapa kuwakanganya watu:

Issue ya IPTL mchezo unachezwa hapa kuwakanganya watu:

toa ujinga wako hapa bichwa maji mkubwa wewe hunakuja kutuongopea hapa kwanza ujui chochote kuhusu escrow unakurupuka tu

there is a miss in the kitchen, nani kakutoa jikoni kuja kuchangia kwenye mijadala ya kiume, kaa jikoni mpikie mumeo ashibe kisha uliwe.
 
Hizi fedha, kimahesabu bado zinaweza kutenganishwa tena kirahisi sana. Ngapi ziliwekwa na Tanesco kama suspense wakisuribiri mahakama iamue uhalali wa malipo hayo, ili pindi ingebainika ni malipo halali basi walipe moja kwa moja, lakini kama ingebainika siyo, maana yake fedha zile zilitakiwa zirudi tanesco na si mafisadi wazigawane.

Vivyo hiyvo na zile ziliwekwa na upande wa pili zinafahamika tu kama kutakuwa na audit sahihi.

Swali linakuja, kila upande ulideposit kiasi gani kwenye ile account? Na zimetoka BOT zimeenda wapi? Kila kitu kinaweza kuwa bayana tena ndani ya muda mfupi sana.

Watanzania tunahitaji kukataa majibu mepesi kwa masuala magumu. Tunahitaji chombo huru cha kimataifa kufanya uchunguzi wa maufisadi yote ambayo yamekuwa yakifanyika hapa tz, hadi ujenzi wa bomba la gas. Haiwezekani ccm na serikali yake wakaanza tu kuwa fair kwenye kujichunguza wakiwa kama watuhumiwa wakati siku zote hawajawahi kuwa waungwana hata kwa masuala mepesi.
 
Hii ishu hapo juu aliielezea Pasco kwenye mjadala ule wa "Tuache too much sensionalism kwenye mambo ya escrow" aliouanzisha yeye mwenyewe.Upo humu jukwaani

Pasco nae mbabaishaji tuu hana uelewa wa kutosha kuhusu mgogoro huu.
 
Last edited by a moderator:
Masilahi ya uma yanaonekana pale ambapo IPTL ilidanganya na kulipwa zaidi ya walichostahili, hivyo kilitakiwa kirudishwe kwa urahisi kutoka kwenye account ya escrow. Watu waliopewa dhamana ya kulinda mali ya uma wakashiki kupanga mbinu na mwishowe kuiba mali hiyo!
Hawa viongozi ni maadui wa uma na wabaya kuliko hata wezi wengine walioshirikiana nao ambao siyo watumishi wa serikali.
 
we kicheche pendo wanaume wanapo discuss mambo ya msingi watengee chai kisha kaoshe iyo kitu ukalale
 
sioni IPTL wakidangaya walipwe zaidi maana kabla ya kutoa huduma walishakuwa na makubaliano. na TANESCO walikubali bei ya waliyocharge IPTL , baada ya kupata huduma kwenye malipo TANESCO wanageuka eti tunalipa bei kubwa why TANESCO wasikatae bei kabla ya huduma?
 
Hata mimi nimeelewa Hivyo ila Ishu ni kwamba kwanini hela za mgogoro wa ndani ya Kampuni binafsi(IPTL) iwekwe BOT? Na kwanini hiyo hela ichanganywe na ile ya mgogoro wao na TANESCO?

Mgogoro wa IPTL na TANESCO ni tofauti na mgogoro wa ndani baina ya wabia hivyo Hizo hela hazi kupaswa kuwekwa kwenye account moja.

Hii Ishu ilipikwa kiufundi sana,hata Huo mgogoro wa wabia wa IPTL ni wa kutengeneza ili wazichanganye hela pamoja huko BOT baadae wazichote.

Kwa hela ambayo IPTL ilikuwa inaingiza isingewezekana iweze kufilisika na hiyo sababu iliyotolewa juu ya mgogoro baina ya shareholders haina mashiko. Iweje wabia mgombane kuhusu mgao wa fedha wakati documents za umiliki wa kampuni zinaonyesha wazi asilimia ya hisa zinazo milikiwa na kila mmoja(30% VIP na 70% Hao wapuuzi wengine). Mnaanzaje kugombana kuhusu mgao ilihali kila kitu kipo stated?

Huu ni mchongo ulipangwa ili watu wapige hela za uchaguzi 2015

Hapo nimekuelewa,hapo inabidi wenye waje watueleze kwa nini pawe na kuchanganya pesa sehemu moja?
 
Back
Top Bottom