Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,469
Wayahudi wamemuua Yesu Kristu They must not laugh. Yesu aliishi miaka 33 tu,wasingemuua,angeishi zaidi na angefundisha zaidi.
Wayahudi wamemuua Yesu Kristu They must not laugh. Yesu aliishi miaka 33 tu,wasingemuua,angeishi zaidi na angefundisha zaidi.
ngoja niachane naye huyu-atapoteza tyme yangu tundiye babake Malaria Sugu kwa taarifa yako.
ngoja niachane naye huyu-atapoteza tyme yangu tu
Huyu mwenye hii thread anajitahidi kutushawishi tuwatazame wayahudi kwa jicho la huruma wakati kila kiungo chao kimejaa damu isiyo na hatia. Hivi Iran inawanyima usingizi. WAENDELEE TU HAKUNA MAKALI YASIYO NA NCHA
Iran blew up the Isreali Embassy and a Jewish community center in Argentina. Iran funds the crackdown in Syria, Hamas and Hezbollah.You are the weakest link.
Why do you want us to discuss Israel? Go and discuss it with Netanyahu. You want us to forget 1948/49, 6 days war, Palestinians woes, the bombing of Nuclear facilities of Arab countries, your misadventure in Lebanon. You simly stink
israel proves that anything is possible in this world.
the state of israel, its people and the jewish people around the world are the ultimate survivors in a world filled with jew hatred. No group of people in the history of mankind have faced inquisitors, ghettos, pogroms, the holocaust, quota systems, and various restrictions, etc. Despite every attempt to eradicate the jewish people and the state of israel, our people have survived and made extraordinary contributions to mankind.
That is why i want to discuss about israel.
Now when you plagiarize you should at least reveal your source. You have taken the above piece ad verbatim from here! (#40). You want us to believe that it was you who wrote it?
Israel proves that anything is possible in this world.
The State of Israel, its people and the Jewish people around the world are the ultimate survivors in a world filled with Jew hatred. No group of people in the history of mankind have faced Inquisitors, ghettos, pogroms, the Holocaust, quota systems, and various restrictions, etc. Despite every attempt to eradicate the Jewish people and the State of Israel, our people have survived and made extraordinary contributions to mankind.
That is why I want to discuss about Israel.
israel apartheid regime is the most cruel regime the 21 century world has seen so far!- you make me sick with your "only us victim" mentality while not so many years ago, this despicable regime bombed the innocent palestinians women and children indiscrimnately with illegal phosphorus bombs!. Even those civilians who were seeking safe shelters in the UN compounds were even not spared by this rogue regime!.
Everyday, stealing land in the west bank, killing, harrassing, and treating palestinians like animals!. How dare you cheer this kind of indescribable cruelty? Are you one of them?.
Dont tell me about hamas shooting rockets to israel!- palestinians are militarily weak compared to israel which has nuclear weapons, tanks, planes, ec, Palestinians have every right to fight this 60 years occupation and enslavement by this zionist inhumane regime.
Mimi nta andika kiswahili hili watu waelewe mambo fulani ambayo huwa hayasemwi na western media, ambazo idadi kubwa ya media hizo ni mali ya Wayaudi. Wakati mwingine huwa najiuliza hivi wa Israel wangekubali ku-settle Uganda kama walivyo kuwa wameshauliwa na Word Community (league of nation), nini kingetokea kwa sisi tunaotoka kanda ya ziwa - tungekuwa tumekwisha fukuziwa mbali. Mtu huwezi kuamini kwamba watu walio onewa huruma dunia nzima baada ya vita kuu ya pili ya dunia wangekuwa na ubavu wa kuwageuka binadamu wenzao kwa kuwachinja kama kuku, kuwanyanganya aridhi yao bila simile na hawajali chochote wala kushaulika; watasema lolote kudanganya dunia hili mradi watimize malengo yao, niliwahi kusoma Historia ya Hitler tangu yuko mtoto mdogo mpaka anaigia jeshini na baadae kuwa Mkuu wa nchi kwa kupigiwa kura, kuna mambo alikuwa anaelezea kuhusu wenzetu hawa, na wala sikushangaa kilichokuja tokea baadae.
Wakati wa vita kuu ya pili ya dunia binadamu waliokufa wengi walikuwa ni WARUSI karibu millioni 25, na askali walio vunja uti wa mgongo wa jeshi la wajerumani na kuhokoa dunia kotoka kwa makucha ya Manazi wa Kijerumani walikuwa ni Warussi - lakini hilo huwa alisemwi, utasikia eti Wamerikani na Uingereza ndiyo walio fanikisha kazi hiyo - Uongo mtupu!
Nchini Ujerumani wakati wa utawala wa Hitler watu walio uwawa au kupelekwa kwenye Concentration Camps hawakuwa Wayahudi peke yao, walikuwepo pia kabila la Gipps, Wajerumani ambao walikuwa na vilema/mental problems, Warusi walio shikwa mateka nk; mbona hao huwa hawasemwi. Nakubali Hitler alikuwa Dikteita lakini wakati mwingine alikuwa na element ya ubinadamu-kuna kisanga kiliwahi kutokea: Wanasayansi wa Kijerumani wakati wa utawala wa kinazi waliwahi kugundua sumu kali sana ya maangamizi ilikuwa na uwezo wa kuhua in seconds, walipo omba kibali ili ianze kutumika Hitler alikataa akasema isitengenezwe tena na wa angamize iliyokwisha tengenezwa! Kama Hitler angekuwa na nia ya dhati ya kuangamiza binadamu emass kwa nini hawakuipeleka war front na kwenye Concentration Camps; nakubali watu wengi waliangamia vitani na kwenye concentration camps, lakini nadhani idadi kamili huwa inatiwa chumvi mno hasa kwenye makambi haya.
Vita ilikwisha takribani miaka 67 iliyopita mahasimu wakasamehana, Merikani ikapatana na Japan na Ujerumani; na ni mara chache kusikia wanarudia rudia rudia masahibu ya vita kuu hiyo; lakini wenzetu hawa huwa hawajuhi kusamehe watazungumza mambo ya Concentration Camp miaka nenda rudi-wataua watu ovyo ovyo, watapora aridhi za watu, watatumia hata phosphorous (incidiary Bombs) kuhunguza defenceless CHILDREN, ukatili husiyo kifani na dunia inawatazama tu bila ya kuwachukulia hatua yoyote, juzi juzi waliwaua wanasayansi wa Nuclear wa KIRAN wanzao walipo jibu mapigo kwa kujaribu kuwaua mabarozi wao, wakaja JUU eti WaIRAN ni ma-terrorist dunia iwatenge.
Hivi kweli Wapalestina walihusika kivipi katika mahangamizi ya Wayaudi kwenye concentrations camps wakati wa vita ya pili ya Dunia to DESERVE ukatili husiyo kifani wanao fanyiwa almost kila siku - we wasikilize muda wote wanapo fanya mambo yasiyo faa watakumbushia mateso ya enzi za nazi ya Kijerumani. Nasema haya siyo kwa nia mbaya nawaomba wabadilike dunia imechoshwa na mbinu zao - siku moja niliwahi kumsikia mcheza senema maarufu wa Merikani Bwana Mel Gibbson, ingawa alipokuwa anatoa matamshi hayo alikuwa amelewa kidogo, all the same he drove point HOME.
Thubutuu!!! Israel iko on alert na ina monitor kila move ambayo Ahmedinajad anafanya katika mradi wake wa urutubishaji wa nuklia. Kabla hajarusha makombora yake itayateketeza kama ilvyofanya Misri mwaka 1967.
sisi tunakaa hapa kubishana juu ya watu ambao kwao si ajabu hatuna thamani.
Nianze kwa waisrael (wayahudi). Kwanza walishasema hatuna umuhimu kwao hivyo basi hawatuthamini na wala hatuna mchango kwao.
Nirudi kwa wapalestina. Hapa nitatoaa mfano. Wakumbuka kipindi cha Libya na harakati za kumwwondoa gadafi watu tulibishana humu wengine tukiwa upande wa gadaf na wengne wa wale waliojiita wanamapinduzi. Lakini jambo la kusikitisha kuna video zmezagaa youtube zikionesha hao walibya wakiwa wanawatesa waafrika ngozi nyeusi kwa mateso makali sana.
Hata hivyo mimi mwenyewe niliwahi kwenda Libya mwaka 2006 nakumbuka tulipanda bus wanawake wote waliokuwa kwenye lile bus wakawa wanaziba pua zao tukabaki tukishangaa kumbe kisa sisi weusi wao waarabu kwa hiyo eti tunanuka sisi maskini.
Tukawa tunapita mitaa flani ndani ya jiji la Tripoli mara tukaanza rushiwa mawe kisa tu sisi weusi.
Ebu fanyeni uchunguzi wa waafrika wenzetu wanaofanya kazi huko mashariki ya kati jinsi wanavyo nyanyaswa?
Halafu nirudi kwa wanaodai israel ni taifa la Mungu, mbona wao hawamwamini Yesu na wao wanasali tofauti na nyinyi? Sasa kwanini msifuate imani yao kama mnaamini wao ndo waliochaguliwa na Mungu kwa kuwa kila watakachokuwa wanafanya kitakuwa sahihi.
mimi si mwislamu ni mkristo lakini nauliza tu maana kuna mambo uwa yananichanganya.
Ushauri: tuache kushabikia na kubishana juu ya hawa watu weupe wawe wazungu au waarabu maana hawatuthamini wote wanafiki.
Ngozi nyeusi itaokolewa na weusi wenzao sisi hata rukichinjana kama kuku hakuna wa kutuuamua