Lakini Iran ndiyo walio apa kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia, au nayo ni propaganda za western media? Kwa hiyo tuseme Israel wao hawana haki ya kujilinda?
Unataka kutuambia Warusi ndio waliokuwa wanapigana Australia, Indonesia, Burma, France, Misri (kumbuka vita kuu ya pili ilipiganiwa pia kwenye nchi hizo ukiachilia mbali Uingereza USA na Urusi kwenyewe)? Warusi walipigana kulinda nchi yao tu na eneo la Ulaya mashariki, huko kwingine wala hawakwenda. Sasa utasemaje kuwa Warusi ndio waliompiga Hitler?
Mkuu nakuomba usome nilicho andika kwa makini, hapa tunazungumzia kuhusu Israel na kilicho tokea kwenye concentrations camps huko Ujerumani. World Community ilibidi kuwatafutia Wayaudi nchi ya kuishi baada ya vita kuu ya pili hili kuepusha mambo kama hayo kuwatokea tena. Mimi sijazungumzia chochote kuhusu mapigano katika bahari ya Pacific na wala sijasema kwamba vita ya pili ya dunia ilipiganiwa Ulaya tu, soma kwa makini nilicho andika sikusema Warusi pekee ndiyo walimpiga Hitler, nilisema majeshi yaliyo fanikiwa kuvunja uti wa mgongo wa jeshi la Kijerumani ni Warusi! Topic hapa ni kilijo jili kati ya Wayaudi na Wajerumani (Hitler) na kuhundwa kwa dora la Israel usifikili sijuhi kilicho kuwa kinaendelea kati ya Wajapan na Wamerikani, Wamerikani walijiuna/ingia vitani baada ya kuchokozwa na Wajapani, lakini hawakuwa na mpango wa kujiunga na vita vya ULAYA,walikuwa wanatoa misaada tu mpaka walipo chokuzwa. Na wala sikuwahi kusoma popote kwamba Wajerumani waliwahi kwende kupigana PACIFIC kwa hiyo ni obvious kwamba Mataifa mengine yalihusika, sasa tatizo liko wapi; tunazungumzia mapigano ya Ulaya.
Nimesema nguvu kubwa ya jeshi la Wajerumani ilimalizwa na Warusi, na siyo kweli kwamba Warusi shida yao ilikuwa ni kukomboa nchi yao na Ulaya ya Mashariki, nia yao ilikuwa kukomboa Ulaya nzima majeshi yao ndiyo yalikuwa ya kwanza kukanyaga aridhi ya Ujerumani na kuteka makao makuu ya Hitler, nguvu walizo kuwa nazo Warusi wakati huo walikuwa hawaitaji msaada wowote kuikomboa Ulaya NZIMA, Wamerikani na Waingereza waliweza kuingia Continental Europe kirahisi baada ya jeshi la Wajerumani kuhishiwa nguvu kwa sababu ya kupeleka resources nyingi kwenye war front ya Urusi na kupigwa kweli kweli na Warusi, tuwe wakweli katika hili. Pili ikumbukwe kwamba Urusi ilikwisha tayarisha majeshi yake kuivamia Japan ili kuilazimisha Japan kuachana na vita, Wamerikani walipata taharifa kuhusu mpango huo ndiyo maana walifanya haraka haraka kuangusha mabomu ya Nuclear Japan hili Warusi wasiende huko, ingawa Wamerikani wanasemaga adithi nyingine lakini ukweli nikwamba walitaka kuwadhitibi Warusi.
Haya mambo ya Rommel na Montigommary kufukuza kama paka na panya Misri na Libya (Sahara desert) hiyo ilikuwa danganya toto tu, huwezi kulinganisha na kasheshe iliyokuwa inaendela kati ya Majeshi ya Wajerumani na Warusi huko Ulaya na vile vile majeshi ya Merikani na Japan kwenye bahari ya Pacific.
Mwisho labda niseme kwamba sijasema kwamba Isreal haina haki ya kujilinda, kila nchi ina haki ya kujilinda lakini awana haki ya kupora aridhi ya watu wanyonge na kuwafanya wawe wakimbizi katika nchi yao ya kuzaliwa na kuleta vurugu tu duniani, wanashindwa nini kukaa chini na wanzao wakamaliza matatizo yao kidiplomasia bila ya kuwa obsssed na VITA. Labda nikuhulize swali, kwani wewe hujui kwamba majority ya news MEDIA za West wamiliki wao wakubwa ni Wayaundi - mtu utategemea nini katika hilo, mimi siamini kwamba Adamdejjan ana nia thabiti ya eti kuimaliza Israel, hizo ni propoganda za kuikumbusha dunia kwamba Wapalestina walifurumishwa kwenye nchi yao bila huruma, wengi wao wamezaliwa kwenye kambi za wakimbizi, kwani hao si binadamu - kwa nini Israel haikubali kuishi na wenzao side by side hili kuifanya DUNIA ipumue kidogo na AMANI, kama wange kuwa serious kuelewana na wa ARABU haya mambo ya terrorism yangepungua sana, kwani wao hilo awalioni-the World needs Joe, Joe, Joe not war, war,war.