Israelis laugh about Iran nukes, government threat

And One Thing which you dont get is! AFRICA IS NOT EXCLUSIVELY FOR BLACKS!- WE HAVE WHITES IN SOUTH AFRICA, THEY CALL AFRICA HOME, WE HAVE ARABS IN AFRICA( LIBYA, EGYPT, MOROCCO, ALGERIA) AFRICA CONTINENT IS THEIR HOME!, ALL THESE PEOPLE MIGRATED FROM THE OTHER PARTS OF THE WORLD, BUT SO LONG AS THEY ARE HUMAN BEINGS THEY HAVE THE RIGHT TO DIGNITY, IDENTITY, JUSTICE AND PURSUIT OF HAPPINESS.
PALESTINIANS HAVE BEEN IN PALESTINE MORE THAN 2000 YEARS, IF THAT CAN'T MAKE OTHER HUMAN BEINGS ACCEPT THAT PALESTINES IS THEIR LAND THEN I DONT SEE HOW THE WORLD CAN ACCEPT WHITE SOUTH AFRICANS TO BE A PART OF SOUTH AFRICA. NO MORE APARTHEID!

You just assumed that. I can call assumption 101. Furthermore, Libyans are Africans and not Arabian Africans. Egyptians are Africans and Not Arabian Africans, et al. Unachanganya mambo ya Waafrica wa USA, Wachina wa USA na ukweli wa Africa. Africans are Africnas haijalishi rangi. Lakini wale wa Palestines ni squatters katika nchi ya watu.

I don't see why you don't get it. If your claims are truly true, then, why are they (Palestines) not free, while the same world which accept those whites in SA is there?
 
Schneider huko mahili sana kuwatetea jamaa zako, kitu ambacho nataka uelewe ni kwamba hakuna ambaye anawachukia JEWS, wana haki ya kuishi kama binadamu wengine na kusema kweli wana moyo wa kusaidia sana binadamu wengine, mimi binafsi nimeishi nao bila mikwala yoyote. Hivi Mr. Schneider unajua kwamba majority wa JEWS hawapendi mambo ya kuwa bellicose kama wakina Sharon, Begin na sasa huyu Netanyahu. Labda nikuhulize swali, hivi ni kwa nini Natanyahu na wenzake huwa hawapendi kukaa chini na viongozi wa Kipalestina wakamaliza migogoro hii hisiyo kwisha Mashariki ya kati.

Kwa mawazo yangu naona Natanyahu na chama chake hawako commited na amani ya kudumu Mashariki ya kati na dunia nzima maanake mchezo wao unahatarisha amani kila pembe ya dunia; anagilia kilicho tokea Ufaransa not forgeting September the 11th, Madrid and London bombing the list goes on all these sad events boils down to Palestinian issue.

Wakina Natanyahu na kudi lake wanachofanya ni ku-buy time wana-burry vichwa vyao kwenye sand kama mbuni hoping the problem will go away eventuary-they're dead wrong, Palestinian problem will haunt them relentlessly and indefinitly mpaka limalizwe na mazungumzo ya kuheshimiana kila upande na siyo vita.

Raisi wa Merikani OBAMA mama yake mzazi alikuwa Myahudi Mmerikani mwenye asili ya Ireland, licha ya
OBAMA kuwa na Undugu nao kuna wakati Obama alifikia hatua ya kum-snub NATANYAHU, hakutaka kukutana naye kabisa alipo wasili White House, hii ilitokana na msimamo ya Natanyahu kuwa jeuri; na kuonyesha kutomjali OBAMA licha ya Merikani kuibeba Israel kwa muda mrefu, sasa mtu kama huyu ambaye anaweza kuwa na ubavu wa kutomjali Raisi wa Merikani ndiyo atajali maoni ya International Community?

Mwisho umenishangaza unaposema kwamba eti "wa Palestines ni squatters katika nchi ya watu" una maana gani nchi ya watu, ebu tueleze Wayahudi waliyokuwa wanaishi Palestina kuanzia miaka ya zamani sana mpaka 1946 hivi nao tuseme walikuwa ni squatters katika nchi ya watu yaani Palestina, mbona walikuwa wanaishi na Warabu bila mikwala.

Mimi ningekushauri kwamba juhudi unazofanya za kuwatetea Wayahudi ungezitumia kuwa shauri wakina Natanyahu wakae chini na wenzao hili wamalize tatizo sugu la AMANI la Mashariki ya kati., hakuna short cut katika hili.
 
you just assumed that. I can call assumption 101. Furthermore, libyans are africans and not arabian africans. Egyptians are africans and not arabian africans, et al. Unachanganya mambo ya waafrica wa usa, wachina wa usa na ukweli wa africa. Africans are africnas haijalishi rangi. lakini wale wa palestines ni squatters katika nchi ya watu.

i don't see why you don't get it. If your claims are truly true, then, why are they (palestines) not free, while the same world which accept those whites in sa is there?

wapalestina ni squatters katika nchi ya watu! Sijaona kituko kama hiki- as if palestinians siyo watu, na as if hawana historia na ile nchi!, tuambie bwana shneider mtu aliyekaa katika ardhi miaka 1000 hana connection na hiyo ardhi?.

Nimekupa mfano wa nchi za kiarabu kama libya ili kukuelewesha kwamba originally zile nchi wakazi wake walikuwa ni watu weusi, then waarabu wakahamia miaka maelfu yaliyopitana kuwadrive out watu weusi na leo hii zimegeuka nchi za kiarabu ndani ya bara la afrika. Waliyoyafanya waarabu kwa afrika haina tofauti na warumi na wababeli waliyoyafanya kwa wana wa israel, lakini kwa leo hii waafrika weusi wakianza kudai ardhi ya ancestors wao kutoka mikononi mwa waarabu wa libya algeria etc dunia haiwezi kukubali.

The same applies kwa wayahudi (assume kama kweli hawa ni uzao wa israel wa ukweli na siyo converts kama khazars jews etc), hawana haki ya kuwaondoa wakazi wa nchi ambao wameishajiestablish katika ardhi miaka maelfu yaliyopita!.

Atleast wangecoexist basi, wakaunda nchi moja! Basi ningewaona waungwana!
 
Mimi ningekushauri kwamba juhudi unazofanya za kuwatetea Wayahudi ungezitumia kuwa shauri wakina Natanyahu wakae chini na wenzao hili wamalize tatizo sugu la AMANI la Mashariki ya kati., hakuna short cut katika hili.
Benjamin Netanyahu is for Israel 100% not only in matters of defending and protecting Israel, but all other issues as well. The problem is, the Palestinians are demanding and not negotiating, that is a problem, unapo ishi kwa mtu, shurti uombe na sio kutoa amri kama hao Palestines wanavyo fanya. Benjamin anaijua vizuri Nchi yake, na sidhani anaitaji watu wamshauri nini afanye ili kulinda maslahi ya Israel. Israel is getting threats every single day. Hao palestines unao jaribu kuwapigia debe, wanatupa maroketi kila kukicha, but no one is saying anything, lakini Israel ikijibu mapigo, utasikia kelele zinavyo pigwa na hawa squatters kama vile pale ni kwao. Kazi moja iliyo bakia sasa ni kusafisha Iran ndio ngebe za watu wa kati zitatulia. Vuta subira, muda si mrefu utaona mwenyewe kuwa ile 6 day war ili kuwa tisa kumi ni kumtyoa Muhamadinajad kwa masaa kadhaa.Maamuzi yote anayo fanya Mheshimiwa Benjamin Nentanyahu na Ehud Barak nayaunga mkono kwa asilimia 100%.
 
wapalestina ni squatters katika nchi ya watu! Sijaona kituko kama hiki- as if palestinians siyo watu, na as if hawana historia na ile nchi!, tuambie bwana shneider mtu aliyekaa katika ardhi miaka 1000 hana connection na hiyo ardhi?.Nimekupa mfano wa nchi za kiarabu kama libya ili kukuelewesha kwamba originally zile nchi wakazi wake walikuwa ni watu weusi, then waarabu wakahamia miaka maelfu yaliyopitana kuwadrive out watu weusi na leo hii zimegeuka nchi za kiarabu ndani ya bara la afrika. Waliyoyafanya waarabu kwa afrika haina tofauti na warumi na wababeli waliyoyafanya kwa wana wa israel, lakini kwa leo hii waafrika weusi wakianza kudai ardhi ya ancestors wao kutoka mikononi mwa waarabu wa libya algeria etc dunia haiwezi kukubali.The same applies kwa wayahudi (assume kama kweli hawa ni uzao wa israel wa ukweli na siyo converts kama khazars jews etc), hawana haki ya kuwaondoa wakazi wa nchi ambao wameishajiestablish katika ardhi miaka maelfu yaliyopita!.Atleast wangecoexist basi, wakaunda nchi moja! Basi ningewaona waungwana!
Labda tujiulize swali moja; Kwanini vitengo kama UN et al, vimekaa kimyaa. I mean, shouldn't the UN as UN do something? Maana kama mtu kuingia kwa mtu na akaa miaka 1000 na kujisahau kama vile pale ni kwake unamfanya awe owner wa hiyo ardhi basi UN should have known that. Squatter has certain rights, but when the owners comes back, can either evict the squatter or give certain legal rights fro said squatter to remain, lakini jamaa wa Kipalestina wanatumia mabavu na si kuomba radhi kwa kukaa kwa mtu bila ya ruhusa yake.The whole Arab is quiet except Iran. Hivi ni kwanini hata Jordan wawafukuze hawa Palestines? Mwaka fula hawa Palestines walikatiza mpaka wa Misri, kama unakumbuka walifukuzwa, now, why only Palestinians? Surprise 70% of Palestinians prefer Israel rule No Surprise: 70% of Palestinians Prefer Israeli Rule That’s because–despite the hype and overwhelming anti-Israel media and propaganda–they know the truth: their lifestyle, quality of living, degree of freedom, and ability to remain alive and in one piece are all infinitely greater under the Western, civilized Jews who run Israel than the barbarians who run every single Arab and Muslim nation, especially the savages who run HAMAS and Fatah and would be their leaders, as they are in HAMASastan/Gaza and FATAHstan/the so-called “West Bank.”
 
labda tujiulize swali moja; kwanini vitengo kama un et al, vimekaa kimyaa. I mean, shouldn't the un as un do something? maana kama mtu kuingia kwa mtu na akaa miaka 1000 na kujisahau kama vile pale ni kwake unamfanya awe owner wa hiyo ardhi basi un should have known that. squatter has certain rights, but when the owners comes back, can either evict the squatter or give certain legal rights fro said squatter to remain, lakini jamaa wa kipalestina wanatumia mabavu na si kuomba radhi kwa kukaa kwa mtu bila ya ruhusa yake.the whole arab is quiet except iran. Hivi ni kwanini hata jordan wawafukuze hawa palestines? Mwaka fula hawa palestines walikatiza mpaka wa misri, kama unakumbuka walifukuzwa, now, why only palestinians? Surprise 70% of palestinians prefer israel rule no surprise: 70% of palestinians prefer israeli rule that’s because–despite the hype and overwhelming anti-israel media and propaganda–they know the truth: Their lifestyle, quality of living, degree of freedom, and ability to remain alive and in one piece are all infinitely greater under the western, civilized jews who run israel than the barbarians who run every single arab and muslim nation, especially the savages who run hamas and fatah and would be their leaders, as they are in hamasastan/gaza and fatahstan/the so-called “west bank.”
.

Wewe naona unaleta ushabiki na hutaki kuelewa sijui ni religion fundamentalism au ni kitu gani- leo australia imegeuka nchi ya wazungu wakati miaka 300 tu iliyopita ilikuwa ni nchi ya waboriginal. Halafu unaleta habari za un, chombo cha ukoloni mamboleo.

Un inaweza kuwasema wamarekani kwa kuiba ardhi ya native americans?
Marekani na west ndiyo wameshika mpini katika un, na hao ndiyo wanaongoza kwa kupora ardhi za watu kama waisrael.
 
Labda tujiulize swali moja; Kwanini vitengo kama UN et al, vimekaa kimyaa. I mean, shouldn't the UN as UN do something? Maana kama mtu kuingia kwa mtu na akaa miaka 1000 na kujisahau kama vile pale ni kwake unamfanya awe owner wa hiyo ardhi basi UN should have known that. Squatter has certain rights, but when the owners comes back, can either evict the squatter or give certain legal rights fro said squatter to remain, lakini jamaa wa Kipalestina wanatumia mabavu na si kuomba radhi kwa kukaa kwa mtu bila ya ruhusa yake.The whole Arab is quiet except Iran. Hivi ni kwanini hata Jordan wawafukuze hawa Palestines? Mwaka fula hawa Palestines walikatiza mpaka wa Misri, kama unakumbuka walifukuzwa, now, why only Palestinians? Surprise 70% of Palestinians prefer Israel rule No Surprise: 70% of Palestinians Prefer Israeli Rule That's because–despite the hype and overwhelming anti-Israel media and propaganda–they know the truth: their lifestyle, quality of living, degree of freedom, and ability to remain alive and in one piece are all infinitely greater under the Western, civilized Jews who run Israel than the barbarians who run every single Arab and Muslim nation, especially the savages who run HAMAS and Fatah and would be their leaders, as they are in HAMASastan/Gaza and FATAHstan/the so-called "West Bank."

Mkuu, leo hii unawita wenzako barbarian mara savages, lugha ya chuki hisiyo kifani - leo hii nikimkuta mtoto mdogo wa Kipalestina barabarani nakamuhuliza hivi hawa jirani zako Wa Israel ni binadamu wa aina gani? wewe katika akili zako unafikili watajibu NINI?

Hivi wa Israel wanaweza kutishwa kweli na home made katyusha with a negligible payload that can't even harm a fly! Tell me, a person in his/her right mind wakes up one morning and starts trail brazing like a drunken comet unleashing countless phosphorous bombs, cruster bombs full of tiny bomblets to maim small children and eldery not only that he/she uses depleted uranium to rain down radio active substances whose half life is interms of million of years, which will result into children born mutant and all kinds of genetic disorders.

May I ask you a question ukiweka maanani niliyo eleza hapo juu-tukipiga kura kwa kuhuliza international community, yaani watu ambao wako level headed wasiyo kuwa na chembe ya ungoverned/burning HATRED; tell me - between the two of YOU who is the most BARBARIAN and SAVAGE per excellency?

Niliwahi kukwambia kwamba wakati fulani Hitler aliwahi kuletewa sumu kali ya kuhua emass in no time - pamoja na ukatiri wake alikataa kuitumia! Nyinyi kwa nini wakati mwingine mnashindwa kuheshimu binadamu wenzenu, mnatumia kila lugha under the SUN ku-justify kukalia na kupora nchi ya wengine, mnawaita eti squatters kwani nyinyi miaka ya nyuma mpaka 1946 hivi Wa Palestina wangewaita ma-squatters mgejitetea vipi, na kweli mlikuwa masqutters! Kwani mlukuwa na NCHI per se - achana na mambo ya Biblical rhetoric maanake kila binadamu duniani atakuwa na haki ya kusema uzao wao uli-originate Palestina, msitumie mambo ya biblia kuwakandamiza wenzenu - nyinyi mlipatiwa Israel na International Community baada ya kuwaonea HURUMA, bila dunia kuwateteheni mgekuwa wapi? Dunia hiyo hiyo ikiwashauri mkaeni na wenzenu muyamalize kwa amani mnakuwa MBOGO na jeuri mnamdhalau mpaka Raisi OBAMA, Natanyahu anakimbilia kwenye JEWISH COMMUNITY Merikani kutoa hotuba kumdhalilisha Raisi OBAMA- mnasahau mlikotoka.

Dunia imechoshwa kusikia mambo yenu miaka nenda miaka rudi, watu tunakosa AMANI dunia nzima kwa sababu yenu. Nimekushauri uwashauri Natanyahu na wenzake ma-radicals wakae chini na Wa Palestina wamalize matatizo yao kwa kuheshimiana wahachane na ubabe wao usiyo kuwa na tija, Dunia inahitaji AMANI BWANA. Watu tushindwe kupanda ndege za Ulaya na Merikani kwa kuwa hatujuhi kunaweza kukatokea nini, tusipande undergroung METRO nk nini hii!
 
The term "
Palestine" is believed to be derived from the Philistines, an Aegean people who, in the 12th Century B.C., settled along the Mediterranean coastal plain of what are now Israel and the Gaza Strip. In the second century C.E., after crushing the last Jewish revolt, the Romans first applied the name Palaestina to Judea (the southern portion of what is now called the West Bank) in an attempt to minimize Jewish identification with the land of Israel. The Arabic word "Filastin" is derived from this Latin name.

The Hebrews entered the Land of Israel about 1300 B.C, living under a tribal confederation until being united under the first monarch, King Saul. The second king, David, established Jerusalem as the capital around 1000 B.C. David's son, Solomon built the Temple soon thereafter and consolidated the military, administrative and religious functions of the kingdom. The nation was divided under Solomon's son, with the northern kingdom (Israel) lasting until 722 B.C., when the Assyrians destroyed it, and the southern kingdom (Judah) surviving until the Babylonian conquest in 586 B.C. The Jewish people enjoyed brief periods of sovereignty afterward before most Jews were finally driven from their homeland in 135 A.D.

Jewish independence in the Land of Israel lasted for more than 400 years. This is much longer than Americans have enjoyed independence in what has become known as the United States.In fact, if not for foreign conquerors, Israel would be 3,000 years old today.

Palestine was never an exclusively Arab country, although Arabic gradually became the language of most the population after the Muslim invasions of the seventh century. No independent Arab or Palestinian state ever existed in Palestine. When the distinguished Arab-American historian, Princeton University Prof. Philip Hitti, testified against partition before the Anglo-American Committee in 1946, he said: "There is no such thing as 'Palestine' in history, absolutely not."

Prior to partition, Palestinian Arabs did not view themselves as having a separate identity. When the First Congress of Muslim-Christian Associations met in Jerusalem in February 1919 to choose Palestinian representatives for the Paris Peace Conference, the following resolution was adopted:

We consider Palestine as part of Arab Syria, as it has never been separated from it at any time. We are connected with it by national, religious, linguistic, natural, economic and geographical bonds.

In 1937, a local Arab leader, Auni Bey Abdul-Hadi, told the Peel Commission, which ultimately suggested the partition of Palestine: "There is no such country [as Palestine]! 'Palestine' is a term the Zionists invented! There is no Palestine in the Bible. Our country was for centuries part of Syria."

The representative of the Arab Higher Committee to the United Nations submitted a statement to the General Assembly in May 1947 that said "Palestine was part of the Province of Syria" and that, "politically, the Arabs of Palestine were not independent in the sense of forming a separate political entity." A few years later, Ahmed Shuqeiri, later the chairman of the PLO, told the Security Council: "It is common knowledge that Palestine is nothing but southern Syria."

Palestinian Arab nationalism is largely a post-World War I phenomenon that did not become a significant political movement until after the 1967 Six-Day War and Israel's capture of the West Bank.

Original by Dandy

Stop confusing people, who is the author of this article- Dandy (an assumed name)-sasa ya Ottaman Empire in coronogical order yamehisia wapi?
 
Mkuu, leo hii unawita wenzako barbarian mara savages, lugha ya chuki hisiyo kifani - leo hii nikimkuta mtoto mdogo wa Kipalestina barabarani nakamuhuliza hivi hawa jirani zako Wa Israel ni binadamu wa aina gani? wewe katika akili zako unafikili watajibu NINI?

Huwa inshangaza sana pale law inapokuwa double standard au labda umeamua tu kutosema mabaya ya Palestine ambayo wanafanya kila kukicha. Jewish Law*: One Israeli Soldier Worth More Than 1,000 Palestinians | loonwatch.com unaoja jinsi Israeli walivyo wakarimu. Wnaruhu 1000 kwa Muisrael 1. Wapi unawepa pata ukarimu wa namna hii?

Hivi wa Israel wanaweza kutishwa kweli na home made katyusha with a negligible payload that can't even harm a fly! Tell me, a person in his/her right mind wakes up one morning and starts trail brazing like a drunken comet unleashing countless phosphorous bombs, cruster bombs full of tiny bomblets to maim small children and eldery not only that he/she uses depleted uranium to rain down radio active substances whose half life is interms of million of years, which will result into children born mutant and all kinds of genetic disorders.

Hebu tuangali huu ushaidi, ni nani kila akiamka anachofanya kwanza ni kupa rocket kwa mwenzake. Daily Kos: "200 Rockets Hit Israel, 23 Gazans Killed in Return" Hivi, kama Israel ingetupa hizo rocket 200 kila siku, kungebakia hata chembe moja ya Mpalestina? http://gma.yahoo.com/200-rockets-hit-israel-23-gazans-killed-return-145000964--abc-news.html

May I ask you a question ukiweka maanani niliyo eleza hapo juu-tukipiga kura kwa kuhuliza international community, yaani watu ambao wako level headed wasiyo kuwa na chembe ya ungoverned/burning HATRED; tell me - between the two of YOU who is the most BARBARIAN and SAVAGE per excellency?

Who is you? Jon Voight: Palestinian Terrorists are Barbarians

Niliwahi kukwambia kwamba wakati fulani Hitler aliwahi kuletewa sumu kali ya kuhua emass in no time - pamoja na ukatiri wake alikataa kuitumia! Nyinyi kwa nini wakati mwingine mnashindwa kuheshimu binadamu wenzenu, mnatumia kila lugha under the SUN ku-justify kukalia na kupora nchi ya wengine, mnawaita eti squatters kwani nyinyi miaka ya nyuma mpaka 1946 hivi Wa Palestina wangewaita ma-squatters mgejitetea vipi, na kweli mlikuwa masqutters! Kwani mlukuwa na NCHI per se - achana na mambo ya Biblical rhetoric maanake kila binadamu duniani atakuwa na haki ya kusema uzao wao uli-originate Palestina, msitumie mambo ya biblia kuwakandamiza wenzenu - nyinyi mlipatiwa Israel na International Community baada ya kuwaonea HURUMA, bila dunia kuwateteheni mgekuwa wapi? Dunia hiyo hiyo ikiwashauri mkaeni na wenzenu muyamalize kwa amani mnakuwa MBOGO na jeuri mnamdhalau mpaka Raisi OBAMA, Natanyahu anakimbilia kwenye JEWISH COMMUNITY Merikani kutoa hotuba kumdhalilisha Raisi OBAMA- mnasahau mlikotoka.

Sasa kama international community ilituonea huruma, kivipi wasiwaonee huruma Palestine? Huoni kuwa kunatatizo hapo? Palestinians in the Arab World: Why the Silence? :: Gatestone Institute Soma hii link upate ukwelu kuhu Palestine, jamaa unao wapigia debe. Hawapendwi kila kona. Hivi ni kwa nini?

Dunia imechoshwa kusikia mambo yenu miaka nenda miaka rudi, watu tunakosa AMANI dunia nzima kwa sababu yenu. Nimekushauri uwashauri Natanyahu na wenzake ma-radicals wakae chini na Wa Palestina wamalize matatizo yao kwa kuheshimiana wahachane na ubabe wao usiyo kuwa na tija, Dunia inahitaji AMANI BWANA. Watu tushindwe kupanda ndege za Ulaya na Merikani kwa kuwa hatujuhi kunaweza kukatokea nini, tusipande undergroung METRO nk nini hii!

Let us look in the other angle, even if the Israeli's child wanted to share the pie with the Palestinian child without any prejudice, you know what I mean, but The big Arab mama(Arab league) will slap the hand of the Palestinian kid "don't take it"...instead of "say thank you". This is what I keep on telling you.
 
.

Wewe naona unaleta ushabiki na hutaki kuelewa sijui ni religion fundamentalism au ni kitu gani- leo australia imegeuka nchi ya wazungu wakati miaka 300 tu iliyopita ilikuwa ni nchi ya waboriginal. Halafu unaleta habari za un, chombo cha ukoloni mamboleo.

Un inaweza kuwasema wamarekani kwa kuiba ardhi ya native americans?
Marekani na west ndiyo wameshika mpini katika un, na hao ndiyo wanaongoza kwa kupora ardhi za watu kama waisrael.

UN bado itabakia kuwa UN, ndio maana hao hao Palestines walienda UN kuomba. Lakini mambo yakaenda kombo. Habari za Israel - Palestine zinabakia kwa Israel ambaye anaongza jahazi na si mtoto-Palestine ambaye hata kujilisha bado hawezi Israel: Tax Pay Transfers To Palestinian Authority Suspended.

Wapalestina watakapo acha mambo ya ushari, labda Israel inaweza kuwafikiria, jambo ambalo Palestine hawezi kuliacha, shari, ukiwa nyumbani kwa mtu. Hivi wewe ukupata mgeni halafu anaanza kukupa masharti, hivi kutakalika?

Historia ya Israel-Palestine is unique, sidhani kama unaweza linganisha na USA, et al, kama ulivyo fanya hapo juu. Ukiulizwa kwanini hao Red Indians wawe Indians in America utaweza nijibu?
 
Stop confusing people, who is the author of this clap - Dandy (an assumed name)-sasa ya Ottaman Empire in coronogical order yamehisia wapi?

Ndio maana haya mambo tumwachie Benjamin Netanyahu, anayajuwa kiundani na anashughulikia kwa hekma yote.

First of all, Arafat is wrong. Jerusalem is Israel's capital, will never be divided, and will remain the capital of the State of Israel, the capital of the Jewish people, for ever and ever.
Benjamin Netanyahu

Read more:Benjamin Netanyahu Quotes - BrainyQuote
 
un bado itabakia kuwa un, ndio maana hao hao palestines walienda un kuomba. Lakini mambo yakaenda kombo. Habari za israel - palestine zinabakia kwa israel ambaye anaongza jahazi na si mtoto-palestine ambaye hata kujilisha bado hawezi israel: Tax pay transfers to palestinian authority suspended.

Wapalestina watakapo acha mambo ya ushari, labda israel inaweza kuwafikiria, jambo ambalo palestine hawezi kuliacha, shari, ukiwa nyumbani kwa mtu. hivi wewe ukupata mgeni halafu anaanza kukupa masharti, hivi kutakalika?

Historia ya israel-palestine is unique, sidhani kama unaweza linganisha na usa, et al, kama ulivyo fanya hapo juu. Ukiulizwa kwanini hao red indians wawe indians in america utaweza nijibu?

madai yako kwamba palestine(israel ya leo) siyo ya wapalestina, ni kujidanganya!. Kwa mtutu wa bunduki, utawala dhalimu wa israel unaweza kuwaclensen wapalestina kwa kuwaua n.k ,lakini kamwe hawawezi kufuta historia kwamba wamewapora ardhi kwa kutumia bunduki na vifaru.

Wapalestina walioko palestine(israel) wako kwao, na wale walioko kwenye kambi za ukimbizi palestine ni ya kwao pia.
Wayahudi waliocoexist na wapalestina ndani ya palestine kwa miaka maelfu, palestine pia ni ya kwao.

Isipokuwa wayahudi hawa wanaokuja palestine kutoka russia, ukraine, iran, marekani n.k ni bora wangestick na nationality ya nchi zao,kama kuna ubaguzi dhidi yao katika nchi hizo basi wapiganie haki zao huko, siyo waje palestine and then ili wapate ardhi inabidi iporwe ardhi ya wapalestina wapewe wao, hiyo ni dhulma na unyang'anyi.
 
GLN, mtu yeyote yule ana haki ya kurudi kwao. Hata kama alizaliwa USA au Rassia, bado anayo haki ya kurudi kwao kama anataka. Hivyo, kuwanyima haki ya utaifa wao katika damu na kulazimisha utaifa wa kuzalia, hiyo si haki kwa mzaliwa mwenye damu ya Kiisrael.

Madai ya kupora ardhi kwa Wapalestina hayana nguvu, kwasababu wale Jamaa wapo pale kimabavu and not the vice versa. Mbona hatusikii Waplestina wakililia haki ya ya ardhi kule Jordan?
 
Mimi mngoni nina haki ya kurudi South Africa na kunyang'anya ardhi ya wazulu?

Watu weusi walioko america waliouzwa utumwa wana haki ya kurudi africa wote na kuwanyang'anya wafrica wengine ardhi?

Wewe sema Huwapendi wapelastina huna zaidi ya hilo..kama humpendi mtu mpe haki yake kwani hayo ni maumbile ya mwenye Mungu mwenyewe
 
Can you prove that, au ndio zile alfu lela ulela za kibongo, kulilia nchi za watu? teh teh teh te

Build your country bro.
 
Na hii post yako inahusiana vipi katika hii mada? Au ndio chuki kama kawa??!!!
Mkuu 1080 P
Mkuu usiye na chuki kama kawa unaelewa tofauti ya uzayuni na uyahudi?
Kama unaelewa tofauti ya maneno hayo mawili utaelewa hiyo chuki kama kawa inawatatiza wengi bila kujifahamu.

Katika michango ya mwishoni mwa thread kuna michango ya schneider na Gamba la Nyoka ambayo inagusa nani ana haki ya "nchji"/ ardhi ya eneo hilo.
Leo hii ndani ya Israel(nchi/taifa) kuna arab Israelis na jews Israelis... kama hilo halitoshi kuna jews Iran, Morroco, France,USA,South Africa,Iraq nk. hawa ni jews lakini sio waesrael/ wengine wana dual nationality.

Video niliyoweka inaeleza kwa nini Israel iliundwa/ilizaliwa. Ni harakati za zionists(extremist jews).
Ndio nimetanabahisha watu watafautishe uzayuni na uyahudi. Chuki kama kawa ipo wapi hapo mkuu 1080 P?

Kama binadamu ni ndugu, basi wayahudi na waarabu ni ndugu wa karibu zaidi.
 
The removal of Palestinians from Gaza is long overdue, and it is only Isreal is lacking an ally. I know when obama leaves office in november or december, we will be talking about a different issue
 
Back
Top Bottom