Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,128
- 1,225
Mwaka 1967 katika vita Israel vs Egypt. Israel ilkuwa kila ikiteka askari wengi wa misri ilikuwa inawachiaga wengi tuu warudi kwao. Basi misri ikawa inatamba kuwa , Israel inawaachia Majenerali , mabrigadi na askari wengi wa vyeo vya juu bila kujua. Kwa sabau skari wa misri walikuwa wanajidisguise katika unifomu za makuruta.
Basi Israel kwa uwezo wao wa kufiki, ilkuwa kila ikiwakama askari wa ki misri ilikuwa inawavua nguo zao zote na kuwaacha wabakie na chupi tuu. sasa wale wote waliokuwa na chupi za polyista walikuwa ni maofisa wa ngazi za juu hivyo walikuwa wanawekwa pembeni. Na wale wote wenye chupi za cotton walikuwa makuruta hivyo walikuwa wanachiwa warudi kwao! Unaona jinsi jamaa walivyo kuwa wanajua kufikiri katika mazingira magumu!