ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,418
- 9,599
Mmmmh sidhani...Hao mataila IS yatachagua kiongoz mwingine tu. Ila Dah nawaonea huruma sana Wasyria.ila mambo yatakua poa tu c nackia al baghdad amekufa tayari!!
Mmmmh sidhani...Hao mataila IS yatachagua kiongoz mwingine tu. Ila Dah nawaonea huruma sana Wasyria.ila mambo yatakua poa tu c nackia al baghdad amekufa tayari!!
Haija tajwa dini ya mtu hapo, nlikua namaanisha life style ya mtu tuTuacheni udini jaman ..tafadhal.tuheshimu dini za wengine
Hahahah... Thubutu.. Wakat Israel kashapokea F-35 anaifanyia majaribio tu ss hv. Ngoja aifunge software's zake km alivyofanya kwa F-16 na F-15 uone shughuli yake.ngoja sasa afuate S-500 wataisoma shughuli yake hata ungo hauto katiza kwe syria airspace
Hahah... Ila Israel nae ana roho mbaya sana yani wenzake wanapigana bado tena anaenda kuwashushia kipondo.
putin kamfunda assad, amekuwa rais shupavu
ngoja sasa afuate S-500 wataisoma shughuli yake hata ungo hauto katiza kwe syria airspace
Hahahah... Thubutu.. Wakat Israel kashapokea F-35 anaifanyia majaribio tu ss hv. Ngoja aifunge software's zake km alivyofanya kwa F-16 na F-15 uone shughuli yake.
ayo madude mna ya exaggerate saaana kias kwamba mpaka naona ufanisi wake chenga iv izo upgraded S-300 zilizo wekwa apo Syria hua zina kazi gani??ngoja sasa afuate S-500 wataisoma shughuli yake hata ungo hauto katiza kwe syria airspace
hatari mkuuHata ungo haukatizi...lol!
Kumbe huwa wanaongeza mahanjumati shughuli ikolee vizuri?
Sipati picha F-35 ilivyo tayari, halafu iongezewa manjonjo..!
hizo za syria hazioni mkuu ndio maana tunupgrade mkuu S-500 ndo mwsho wa matatizo yoteayo madude mna ya exaggerate saaana kias kwamba mpaka naona ufanisi wake chenga iv izo upgraded S-300 zilizo wekwa apo Syria hua zina kazi gani??
maana Israel wana ingia Syria na kujipigia tuu na F-15 zao hapo bado hawaja anza tumia zile F 35 zilizo toka Us..
Israel ndo zake kuongeza madude yake kwenye vifaa inavyonunua US.Hata hyo F-35 ni yeye tu ndiye karuhusiwa na US kuifunga mitambo yake bila ruhusa toka Pentagon.Hata ungo haukatizi...lol!
Kumbe huwa wanaongeza mahanjumati shughuli ikolee vizuri?
Sipati picha F-35 ilivyo tayari, halafu iongezewa manjonjo..!
hizo za syria hazioni mkuu ndio maana tunupgrade mkuu S-500 ndo mwsho wa matatizo yote
Israel ndo zake kuongeza madude yake kwenye vifaa inavyonunua US.Hata hyo F-35 ni yeye tu ndiye karuhusiwa na US kuifunga mitambo yake bila ruhusa toka Pentagon.
Hao ni mtu na mchepuko wake wanajuana wenyewe wakt mwingine mara wagombaneKumbe wanashare mpaka huko. Hawa ni baba mmoja mama tofauti.
Hahah!, mtu na mchepuko wake.Hao ni mtu na mchepuko wake wanajuana wenyewe wakt mwingine mara wagombane
hizo za syria hazioni mkuu ndio maana tunupgrade mkuu S-500 ndo mwsho wa matatizo yote
Bibi jeuri sana yule km Trump huyohuyo.Hahah!, mtu na mchepuko wake.
Ndo hapo sasa hata wagombane vipi lakini wako tu pamoja. Umenikumbusha safari ya Trump Israel kukawa na issue halafu kuna wale maofisa wakataka kugoma kuhudhuria lakini nadhani BiBi akawapiga mkwala and I think walihudhuria. Wanajuana vizuri kwa kweli..
Bibi jeuri sana yule km Trump huyohuyo.