Israel yashambulia Syria kwa mara nyingine tena

Apeleke mara ngapi wakati unasikia jana kaingia sebleni kachapa katembea....na hizo sijui mnasemaga s200 , s300 na s400 zote zipo na hazikuona mimi nashindwa kuelewa akili za voda zilipoishia
Makomunisti kwa propaganda huyawezi Mkuu. Yanaweza kupiga propaganda kuaminisha watu kwamba Jua linachomozeaga Kusini. They never accept the reality easily ila uongo wao ndio uaminiwe na watu.
 
Kwani zile Radar za Syria hazifanyi kazi hadi F 15 ziruke na kupiga tanks?

Vita dhidi ya Israel haijawahi kumuacha mtu salama!

Hao jamaa (Israel), wanafanya modification of weapons whenever invented then, you will suffer the consequences of your ignorance for purchasing items which are already out of date before the eyes of Israelites.
 
Israel ni nchi yenye kiburi sana hamna nchi yoyote inayo dhubutu kuiambia kitu israel...

Israel inaweza kuishambulia nchi yoyote na umoja wa mataifa ukapiga kimya...

Hapo Russia atapiga makelele na maisha yanaendelea
Haiwezi kuishambulia nchi yeyote mkuu anabagua anaweza kuishambulia Urusi,China,Uingereza,Usa??
 
Na hapa waisrael Wana kitu kipya kinaitwa David 's Sling (kombeo la David)

Imani yao ya dini haina kusamehe, wao ni jino kwa jino tu

God bless Israel
Dah! Mkuu umenikumbusha mbali sana; yule mtoto akili kubwa Daudi alivyopasua fuvu la jitu kubwa akili kiduchu Goliath; dah! ha ha ha! Anyway, statement fupi ya PM Netanyahu kuhusiana na hiyo kitu hii hapa:

Netanyahu said the “cutting-edge technology” of David’s Sling will help protect Israel against its enemies.

“Whoever seeks to hit us will be hit. Whoever threatens our existence places himself in existential danger,” the prime minister said.

Israel will continue to follow in the footsteps of King David who protected the Jewish people 3,000 years ago, said Netanyahu.

Source: Jerusalem Post - David's Sling comes online as latest component to Israel’s air defense shield
 
Haiwezi kuishambulia nchi yeyote mkuu anabagua anaweza kuishambulia Urusi,China,Uingereza,Usa??
Israel haishambulii; ni taifa la amani sana; ila ukimjaribu majibu yake utayapata sawia tena bila kukawia. Kote huko anakopiga Syria ni baada ya ama Syria au vibaraka wake, Hizbollah, et. al. kurusha viroketi vyao uelekeo wa Israel. Soma post ya kwanza inajieleza vizuri kwanini Israel imeamua kupiga. Anamtamani sana Iran amrushie japo "kokoto" tushuhudie mapigano ya kisasa kabisa kuwahi kushuhudiwa duniani; atamfanyia "show" tamu hadi mtaipenda.
 
Warusi pumbafu tu kila siku Mkwara askari wao wanauwawa hawafanyi lolote...Balozi wao hawafanyi lolote sasa watasaidia Syria kweli?? Jinha kabisa hawa
Tuambie Askari wangapi wa Urusi wameuwawa huko Syria na nani amewaua.
 
Israel haishambulii; ni taifa la amani sana; ila ukimjaribu majibu yake utayapata sawia tena bila kukawia. Kote huko anakopiga Syria ni baada ya ama Syria au vibaraka wake, Hizbollah, et. al. kurusha viroketi vyao uelekeo wa Israel. Soma post ya kwanza inajieleza vizuri kwanini Israel imeamua kupiga. Anamtamani sana Iran amrushie japo "kokoto" tushuhudie mapigano ya kisasa kabisa kuwahi kushuhudiwa duniani; atamfanyia "show" tamu hadi mtaipenda.
Hahahaaa,,,,,,sasa hao hizbolah si ndio wanaungwa mkono na Iran kwanini asiipige tu irani moja kwa moja ili isiiunge mkono hizbolah
 
Dah! Mkuu umenikumbusha mbali sana; yule mtoto akili kubwa Daudi alivyopasua fuvu la jitu kubwa akili kiduchu Goliath; dah! ha ha ha! Anyway, statement fupi ya PM Netanyahu kuhusiana na hiyo kitu hii hapa:

Netanyahu said the “cutting-edge technology” of David’s Sling will help protect Israel against its enemies.

“Whoever seeks to hit us will be hit. Whoever threatens our existence places himself in existential danger,” the prime minister said.

Israel will continue to follow in the footsteps of King David who protected the Jewish people 3,000 years ago, said Netanyahu.

Source: Jerusalem Post - David's Sling comes online as latest component to Israel’s air defense shield
Nasikia huu mtambo mmoja tu unaweza kuilinda Israel nzimaaa. Sasa sijui watatengeneza mingapi.
 
Back
Top Bottom