Israel yashambulia Syria kwa mara nyingine tena

ngoja sasa afuate S-500 wataisoma shughuli yake hata ungo hauto katiza kwe syria airspace

Hata ungo haukatizi...lol!

Hahahah... Thubutu.. Wakat Israel kashapokea F-35 anaifanyia majaribio tu ss hv. Ngoja aifunge software's zake km alivyofanya kwa F-16 na F-15 uone shughuli yake.

Kumbe huwa wanaongeza mahanjumati shughuli ikolee vizuri?
Sipati picha F-35 ilivyo tayari, halafu iongezewa manjonjo..!
 
ngoja sasa afuate S-500 wataisoma shughuli yake hata ungo hauto katiza kwe syria airspace
ayo madude mna ya exaggerate saaana kias kwamba mpaka naona ufanisi wake chenga iv izo upgraded S-300 zilizo wekwa apo Syria hua zina kazi gani??

maana Israel wana ingia Syria na kujipigia tuu na F-15 zao hapo bado hawaja anza tumia zile F 35 zilizo toka Us..
 
hizo za syria hazioni mkuu ndio maana tunupgrade mkuu S-500 ndo mwsho wa matatizo yote
 
Hao ni mtu na mchepuko wake wanajuana wenyewe wakt mwingine mara wagombane
Hahah!, mtu na mchepuko wake.

Ndo hapo sasa hata wagombane vipi lakini wako tu pamoja. Umenikumbusha safari ya Trump Israel kukawa na issue halafu kuna wale maofisa wakataka kugoma kuhudhuria lakini nadhani BiBi akawapiga mkwara and I think walihudhuria. Wanajuana vizuri kwa kweli..
 
Israel ni nchi yenye kiburi sana hamna nchi yoyote inayo dhubutu kuiambia kitu israel...

Israel inaweza kuishambulia nchi yoyote na umoja wa mataifa ukapiga kimya...

Hapo Russia atapiga makelele na maisha yanaendelea
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom