Israel yashambulia Syria kwa mara nyingine tena

Israel huwa haichokozi ila ikichokozwa madhara yake kwa adui huwa ni makubwa. Thamani ya myahudi mmoja ni makumi ya mafilisti na waarabu wenzie. Jamaa katulia kwake kwa upumbavu wenu mnampelekea maroketi mkipigwa mnaanza kulialia kutafuta huruma za kijinga.
Naunga mkono hoja
 
Hivi US hawaizi zile B2 spirit zao? Na vpi zilishawahi kwenda kushambulia mahali? Maana nasikia ni danger.
Zile na F-22 Raptor haziuzwi. Tena Raptor US alimyima had Israel na Japan ili kulinda technology iliyotumika mle.

Yah.. B-2 ishafanya mashambulizi kwenye vita kadhaa kama ile Kosovo war, pia imeenda Iraq, Afghanistan na pia Libya.
 
Bwege ni mbunge wa kilwa.Sioni umuhimu wa kutukana mtu kwa uzi ambao ni free mind..nilichochangia kama hakikufai .changia kinachokufaaa. Kurukiarukia watu utadinywa ...
Ndo mchezo wako au?
Maana naona unautamani,
Ukihitaji kuzibuliwa sema wazi wazi Tu utasaidiwa,
Jamvini utasaidiwa Tu.
Punga weee
 
Back
Top Bottom