Israel yashambulia Syria kwa mara nyingine tena

Hahahaaa,,,,,,sasa hao hizbolah si ndio wanaungwa mkono na Iran kwanini asiipige tu irani moja kwa moja ili isiiunge mkono hizbolah
Mkuu hata Taleban inaungwa mkono na Russia lkn umewahi sikia US kaipiga Russia kisa inaunga mkono Taleban. Pia IS kuna wakati inaungwa mkono na US lkn sijawahi sikia Russia eti anamdunda US kisa anaunga mkono magaidi ila yeye anawaponda hao magaidi pekee na si anayewafadhili.
 
Israel haishambulii; ni taifa la amani sana; ila ukimjaribu majibu yake utayapata sawia tena bila kukawia. Kote huko anakopiga Syria ni baada ya ama Syria au vibaraka wake, Hizbollah, et. al. kurusha viroketi vyao uelekeo wa Israel. Soma post ya kwanza inajieleza vizuri kwanini Israel imeamua kupiga. Anamtamani sana Iran amrushie japo "kokoto" tushuhudie mapigano ya kisasa kabisa kuwahi kushuhudiwa duniani; atamfanyia "show" tamu hadi mtaipenda.
Israel ni Taifa ambalo ili liwepo lazima lipigane na lijilinde. Ni Taifa ambalo hutumia zaidi ya asilimia arobaini( 40% ) ya pato lake la Taifa kwenye shughuli za kijeshi ikiwa ni pamoja na uundaji wa silaha, mafunzo ya kijeshi , mafunzo ya kijasusi , intelijensia na ushirika wa kiteknologia wa uundaji wa silaha kutoka nchi zilizoendelea kwenye nyanja hizo. Baada ya hapo hutengeneza version ambayo ni bora kuliko. Ndiyo maana Israel ni lazima ijilinde ili iwepo.
 
Hujui medani za kivita wewe. By the way, madhara ya Hizbollah kwa Israel ni negligible; wanamsubiria huyo mlezi wake aingie mwenyewe kichwa kichwa wamfanyie "show" ya nguvu.
 
Hahaha! Umenifurahisha sana, eti amrushie japo 'kokoto'
 
Israel huwa haichokozi ila ikichokozwa madhara yake kwa adui huwa ni makubwa. Thamani ya myahudi mmoja ni makumi ya mafilisti na waarabu wenzie. Jamaa katulia kwake kwa upumbavu wenu mnampelekea maroketi mkipigwa mnaanza kulialia kutafuta huruma za kijinga.
muwe mnajisumbua kutafuta ukweli,alokwambia israel katulia kwake nani!?..tatizo mlifaulu kwa tuition na hata madhabahuni mnachaguliwa vifungu,huyo israel akapige iran,syria ni bondia aliechakaa kwa kipigo
 
Hujui medani za kivita wewe. By the way, madhara ya Hizbollah kwa Israel ni negligible; wanamsubiria huyo mlezi wake aingie mwenyewe kichwa kichwa wamfanyie "show" ya nguvu.
walivotandikwa 2006 ni neglijibo..bila hizbollah israel angeingia lebanon
 
Israel ni Taifa ambalo ili liwepo lazima lipigane na lijilinde. Ni Taifa ambalo hutumia zaidi ya asilimia arobaini( 40% ) ya pato lake la Taifa kwenye shughuli za kijeshi ikiwa ni pamoja na uundaji wa silaha, mafunzo ya kijeshi , mafunzo ya kijasusi , intelijensia na ushirika wa kiteknologia wa uundaji wa silaha kutoka nchi zilizoendelea kwenye nyanja hizo. Baada ya hapo hutengeneza version ambayo ni bora kuliko. Ndiyo maana Israel ni lazima ijilinde ili iwepo.
acha mboyoyo wewe,analindwa na marekani,alivoleta ashk za kumpiga iran mjaluo akagoma,waisrael wakamchukia mjaluo,israel ni malaya mgomvi anaemtegemea bwana yake U.S
 
Hujui medani za kivita wewe. By the way, madhara ya Hizbollah kwa Israel ni negligible; wanamsubiria huyo mlezi wake aingie mwenyewe kichwa kichwa wamfanyie "show" ya nguvu.
Nikwambie kitu kuwa sio Israel wala Iran anayependa vita kati yao na ikitokea vita hakuna kitachobaki salama tuache ushabiki kadri siku zinavyokwenda Iran anakwenda katika point ya kutopigwa kwa silaha za kawaida labda apigwe kwa Nuclear
 
Mkuu hata Taleban inaungwa mkono na Russia lkn umewahi sikia US kaipiga Russia kisa inaunga mkono Taleban. Pia IS kuna wakati inaungwa mkono na US lkn sijawahi sikia Russia eti anamdunda US kisa anaunga mkono magaidi ila yeye anawaponda hao magaidi pekee na si anayewafadhili.
Soma vizuri yule aliyeniquote alieleza nini na nikamjibu nini maana naona umeenda OPP
 
Back
Top Bottom