Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,061
- 136,424
Huo sasa ni uchokozi!
Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Nimecheka wao ndio wamekianzisha afu wana wasi wasi kweli na kipigo cha Iran. Wanajidai eti wamewauwa viongozi wa Iran wengi kweli hivi unamimini hayo hahahaNetanyahu atakuwa amekimbilia kujificha Gaza ajichanganye na Hamas kwa maana mvua inayokwenda kutokea hapo sio poa..
Lakini,mlisema Iran haiwezi kushambuliwa na myahudi.Ngoja tuone.Exactly, Iran itajibu kwa nguvu sana sana..
Trump ni ms3nge sana yule mzee... leo namsikia anasema kabisa kuna uwezekano vita kuu ya 3 ikatokea... sasa sielewi ...
😀 😀 😀Huo sasa ni uchokozi!
Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Kwanini WW3?Israel imevamia anga la Iran na kufanya mashambulizi dakika chache zilizopita.
Anayefanya haya si Israel ni US yupo nyuma, kwa kweli siamini kama tunaenda kuingia WW3...
Yaani Mji mkuu unapigwa kama BeirutIla Waarabu na hao Waajemi ni mafala sana.
Ni sahihi. Hawa nao wanachosema. Wao ni kugombana na wenzao kila siku bila sababu.Huo sasa ni uchokozi!
Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Tatizo si kuanzisha vita kuimaliza hio vita tuone ka a Israel atakuwa na pumzi ndefu yeye na US.Haya kuanzisha vita si hoja kuimaliza vita msije omba peace badaye huko UN. Kule Israel wameanzisha wao na wako na wasi wasi.
Wanaokimbiliaga UN wanajulikanaHaya kuanzisha vita si hoja kuimaliza vita msije omba peace badaye huko UN. Kule Israel wameanzisha wao na wako na wasi wasi.
Ni kweli, anayefanya haya ni USA.Lakini,mlisema Iran haiwezi kushambuliwa na myahudi.Ngoja tuone.
Hahaha kobazi hamna kitu kabisa. Bure kabisa yaani.😀 😀 😀
Hukusikia mikwara ya Kobazi...
Sasa issue ni Simple Ua viongozi wenye Kelele watu wataandamana
Hao wao huwa wanapiga majumba tusubiri Iran atakavyo yaporomosha hayo majumba ya Tela Aviv. Sababu Israel yeye ni kawaida kupiga kwrnye civilian area yeye hajawahi kupigiwa civilian area zao na uhakika Iran atapiga na yeye civilian area kule Tela Aviv tusubiri.Yaani Mji mkuu unapigwa kama Beirut
Bro natamani nikuone we na Ritz au yule mkenya MK254 mnaonekanaje maana ni mashabiki wa mauaji kwa mgongo wa kidini.Kuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
Dah! nilikuwa napitia maoni nikakumbuka. Leo ulisema ''Uelewa wa Watanzania ni wa chini sana'' .Huo sasa ni uchokozi!
Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuishambulia Iran.
Sasa,teke likupigalo unalitofautishaje na mwili utikisikao?Ni kweli, anayefanya haya ni USA.
Mlisema Israel hawezi,sasa mmegeuza maneno eti atamalizajeKuanzisha vita sio hoja je kuimaluza vita ndio hapo kazi sa tusubiri kipigo atakacho pokea kutoka Iran
🤣Yaani Mji mkuu unapigwa kama Beirut