Israel yacharuka, yasema imejiandaa kupiga sehemu yoyote nchi za mashariki ya kati

wavaa kobaz akili zenu za kukurupuka , hata kwa Gaza mlisema hv hv , shida hizbollah sio jeshi rasmi ya Lebanon , je Israel atawashambuliaje ? avamie Lebanon ? Israel sio Urusi isiyojali sheria za kimataifa , Lebanon italalamika kuvamiwa maana wanaoshambulia sio jeshi la lebanon bali ni kikundi cha kihuni cha Hizbollah , Hao Hizbollah waende pale Gaza halaf watawasimulia kwann kuku anaharisha kmmk...
Shida mkishabarikiwa hua akili kama zina waruka
Mwaka 2006 wakati wanaivamia Lebanon hakukua na sheria za kimataifa
Israhell anajua kama alichokutana nacho 2006 kitakua mara saba ya atakachoenda kukutana nacho mara hii ndio maana anaogopa
Mkipewa baraka pokeeni kwa akili msiwe kama mmekatwa vichwa
 
Back
Top Bottom