Israel inajiandaa kuivamia Lebanon muda wowote kuanzia sasa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,995
17,899
Muda wote kuanzia sasa kinaenda kunuka hali ni mbaya sana jamaa keshaanza kusogeza majeshi

BREAKING:

Israel is preparing to invade southern Lebanon

Reports are coming from Israel that Israel Defense Forces (IDF) is carrying out a 'massive transportation' of logistics towards the Israeli-Lebanese border.

I24 News announced: "If diplomatic efforts fail, Israel will invade southern Lebanon and force Hezbollah beyond the Litani River."

Hezbollah rejected a ceasefire more than a month ago and regularly targets military facilities in northern Israel.

The gradual withdrawal of the IDF from Gaza is also a clear sign that the second phase of the conflict, ie. war between Hezbollah and Israel will begin.

These days, the USA is delivering massive amounts of weapons to Israel, including F-16 and F-35 fighter jets.

️BREAKING

Israel will soon decide whether or not to go to war with Lebanon

Israel is currently deploying a large number of troops near the border with Lebanon, and the Lebanese newspaper Al Manar reports that Netanyahu will soon decide whether or not to invade Lebanon
20240127_185323.jpg
 
Haya mambo ya vita wakati mwengine yanaifanya dunia iwe na vurugu sana,kwanini wasifuate option ya kutatua changamoto zao bila kurushiana mabomu au kuchokozana?

Huo ukanda ni nini kinaufanya always ugubikwe na vita obviously ni watu hawataki kusikilizana jambo ambalo si zuri kwa dunia tuliyopo.
 
USA ndo chanzo cha ujinga wote huo.
 
Inabidi hao watu hapo Mashariki ya Kati wakae watulie wajue wanaoumia ni wao siyo hao merikan.

Amani ndiyo kila kitu kwenye maisha ya jamii inayojitambua.
Najiulizaga huwa,hao wanaojiita viongozi,hawaoni wanaumia wao? USA inaleta tu misiraha,kwa ajiri tu ya mauaji. Inalipwa,inasepa.

Naangaliaga picha za miji iliyodondoshwa,najiuliza,hawa hawanaga uchungu na nguvu iliyoweka mijengo hiyo hewani!? Ikiporomoshwa inajengwaje! USA haitamani kuona watu wengine wakiendelea na wao
 
Muda wote kuanzia sasa kinaenda kunuka hali ni mbaya sana jamaa keshaanza kusogeza majeshi

BREAKING:

Israel is preparing to invade southern Lebanon

Reports are coming from Israel that Israel Defense Forces (IDF) is carrying out a 'massive transportation' of logistics towards the Israeli-Lebanese border.

I24 News announced: "If diplomatic efforts fail, Israel will invade southern Lebanon and force Hezbollah beyond the Litani River."

Hezbollah rejected a ceasefire more than a month ago and regularly targets military facilities in northern Israel.

The gradual withdrawal of the IDF from Gaza is also a clear sign that the second phase of the conflict, ie. war between Hezbollah and Israel will begin.

These days, the USA is delivering massive amounts of weapons to Israel, including F-16 and F-35 fighter jets.

️BREAKING

Israel will soon decide whether or not to go to war with Lebanon

Israel is currently deploying a large number of troops near the border with Lebanon, and the Lebanese newspaper Al Manar reports that Netanyahu will soon decide whether or not to invade LebanonView attachment 2884711
Si mlisema wanajeshi wote wapo Gaza sasa huko Lebanon wanaenda vibarua ama.
 
Haya mambo ya vita wakati mwengine yanaifanya dunia iwe na vurugu sana,kwanini wasifuate option ya kutatua changamoto zao bila kurushiana mabomu au kuchokozana?

Huo ukanda ni nini kinaufanya always ugubikwe na vita obviously ni watu hawataki kusikilizana jambo ambalo si zuri kwa dunia tuliyopo.
Tatizo Netanyahu anajiiona ndo taifa pekee linalojua kupigan na lenyetech
 
Haya mambo ya vita wakati mwengine yanaifanya dunia iwe na vurugu sana,kwanini wasifuate option ya kutatua changamoto zao bila kurushiana mabomu au kuchokozana?

Huo ukanda ni nini kinaufanya always ugubikwe na vita obviously ni watu hawataki kusikilizana jambo ambalo si zuri kwa dunia tuliyopo.
Tatizo la hapo mashariki ya kati ni Israel kuminya hakj za wapalestina. Haitaki palestina iwe taifa huru
 
Haya mambo ya vita wakati mwengine yanaifanya dunia iwe na vurugu sana,kwanini wasifuate option ya kutatua changamoto zao bila kurushiana mabomu au kuchokozana?

Huo ukanda ni nini kinaufanya always ugubikwe na vita obviously ni watu hawataki kusikilizana jambo ambalo si zuri kwa dunia tuliyopo.
inatakiwa ujue Hapa duniani sio sehemu salama ni wanja wa vita, vita kibao zimepiganwa na zitaendelea kupiganwa
 
Unakumbuka 1967 alipigana na nchi za Kiarabu zote kwa wakati mmoja na akashinda (Israel-Arabs Six Days War).Mpaka leo Golan heights bado anaishikilia.
Hv bado unaamini hzo story zako za six days war? sijui nchi sita wakati sasa hv ndio ana technology bora zaidi anapgana na mkoa mmoja wanamgambo hata elf 30 hawafiki huu mwezi wa 4 unaenda tuliaminishwa israel ina jeshi bora duniani sasa hv kila kitu kipo hadharani hakuna kitu mavi matupu.
 
Israel hana uwezo wa kuivamia Lebanon sema wanapigana unadhani Lebanon ni Gaza ataishambulia Lebanan na yeye salamu atazipata wameishapigana mara mbili hawa Israel anakimbia.
Wakiingia lebanon ndo utakua mwisho wao forever
 
Back
Top Bottom