Israel wagundua handaki la silaha chini ya hospitali ya watoto Gaza

Jifunze kufungua links sio unaletewa kila kitu

A tunnel shaft found by IDF forces underneath Gaza City’s Rantisi Hospital, in a photo released by the military on November 13, 2023. (Israel Defense Forces)

View: https://twitter.com/i/status/1724150219028176957

WhatsApp_Image_2023-11-13_at_21.21.42_3.jpeg

Kuna uhakika gani hilo shimo lipo nchini ya hiyo hospital? Kwasababu mimi naona picha ya shimo tu, linawezekana limepigwa picha masaki Tz maana siku hizi kwenye mitandao kuna udanganyifu mwingi
 
Mi nimwananchi huru mzee, sina ndugu yeyote ama rafiki huko israel wala palestina.

Nachokwambia mimi hiyo video watu kwenye comments wametoa analysis zao zenye mantiki hiyo video haijaprove chochote, hata raia wa kimagharibi wameitilia shaka.

Hamna cha mwananchi huru, nawajua sana mazombi yanayoshabikia HAMAS humu....
halafu msivyokua na aibu, jamaa wameshikilia Watanganyika na bado mnawaona kama mashujaa..
 
Kuna uhakika gani hilo shimo lipo nchini ya hiyo hospital? Kwasababu mimi naona picha ya shimo tu, linawezekana limepigwa picha masaki Tz maana siku hizi kwenye mitandao kuna udanganyifu mwingi

Wewe endelea kuona picha tu ila shughuli inaendelea kuchimbua na kuwaua....
 
Hamna cha mwananchi huru, nawajua sana mazombi yanayoshabikia HAMAS humu....
halafu msivyokua na aibu, jamaa wameshikilia Watanganyika na bado mnawaona kama mashujaa..
mbussi Unamuona huyu jamaa🤣
 
Magaidi wanaendelea kupata haki yao kikatiba safi sana Israel.
 
Back
Top Bottom