Puyugu 01
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 573
- 455
Mkuu umekunywa BALIMI Shingo nene au Shingo ndogo?Wapigwe miaka 10 hadi 15 jela iwe fundisho.
Mkuu umekunywa BALIMI Shingo nene au Shingo ndogo?Wapigwe miaka 10 hadi 15 jela iwe fundisho.
Wewe ndio hujasoma maandikoBaba moja ki vipi, waafrika hawana connection yoyote na wayahudi, labda haujasoma Bible wewe, mnapenda tu kukariri.
Hizo ukienda nazo Zimbabwe ni nyingi sana.Yaani dola 3500 tu, hiki ndicho kinawafanya wagome kurudi Africa, mtu anamali zaidi ya hiyo pesa unataka arudi afrika kweli, huu ni utapeli kwa million 7 utakuja uanzishe biashara gani huku Africa??
Huu ni utapeli wa wazi kabisa!
Mamlaka nchini Israel zimewapa machaguo mawili wakimbizi wa Kiafrika walioko nchini Israel. Waafrika hao wanatakiwa kukubali kupokea $3500 na kurudi Africa au laaah wafungwe jela.
Waafrika hao wamechagua kufungwa jela! Hawataki kurudishwa Africa kwa hoja kuwa hawana wanachoelewa kuhusu Africa wala jamaa.
Mamlaka za Israel hazijawa wazi kama waafrika hao watafungwa itakuwa kwa muda gani.
Chanzo: Morning magic na DW

hao waethiopia wanalalamika kila siku wanabaguliwa na waisraelWale walowezi wengi wao wanakujua kwao na walienda wakiwa wakubwa au wazazi wao walienda.
Tatizo sio watu wenye rangi nyeusi, kwani Israel imesha wachukua wenzao weusi kibao toka Ethiopia. Ni wale wanadaiwa uzao wa Mfalme Sulemani.
kwa hiyo waafrika ni magaidi?Wasiokuwa magaidi watapokea hizo dola, watakaozikataa wataswekwa lupango kwa uchunguzi zaidi.
Gaidi hapenyi
Wapigwe miaka 10 hadi 15 jela iwe fundisho.
mkuu mbona Israel taifa teule linatubaguwa Waafrika tena wakristo wenzao.....au Waafrika ni uzao wa shetani?Wakianzisha mashindano ya upumbavu, bila shaka hutakosa katika tatu bora.
Madhila yanayowapata "House Maids" wa kiafrika uarabuni hayafai kuandikwa humu, lkn watu, kwa unafiki, hawatayazungumzia!Mnavyoipigani Israel, ,,sokwe wenzenu wanatimuliwa huko,,,na wenyewe kwenye nchi zao ukiwakuta wanavyoinua midomo kama mabakuli kuitetea israel, , leo wanafukuzwa kama paka mwizi
Nasema, soma Bible, Genesis 10- uelewe the "origins and the classification of the mankind", acha ubishi wa kijiweni kijana.Kwa hiyo mungu aliumuumba Adam na Wayahudi?. Weww jamaa mbona kama msukule wa Wayahudi.