Israel: Waafrika wachagua Jela

Israel: Waafrika wachagua Jela

Hawapajui Jela Hao Na Wayaahudi Walivyo Makatili Watatumikishwa Mpaka Wakome Wanakimbia Afrika Kwenda Kwa Waliosota Kujenga Nchi Yao Wabaki Hapa Hapa Tupambane Kama Ni Madikteta Tupambane Nayo Hata Huko Ulaya Kulikuwa Na Midikteta Tena Iliyokubuhu Tena Mifashisti Ya Hatari Rudini Ndugu Mkigoma Wayahudi Watawaingika Msalabani
 
Waafrika waache upoyoyo kwa nini wasiende nchi zingine watakapo pata ruhusa ya ukimbizo na kama wanataka kuwa wakimbizi wa aina yoyote ile.

Israel wafungeni tu hamna namna.
 
Hao Africans walitokea wapi kabla ya kuzamia Israel? Tuanzie hapo, waache ushamba warudi kwao Afrika.

Mbona wenzao hawajakimbia kuja kuzamia huku Afrika. Waafrika waache kurukaruka kwenda kuzamia nchi za wengine, watengeneze nchi zao, ukiona vinaelea vimeundwa. No short cut to success kwani tumezidi kulea madikteta.

Wengi walitokea Ethiopia,na Chad
 
Mnavyoipigani Israel, ,,sokwe wenzenu wanatimuliwa huko,,,na wenyewe kwenye nchi zao ukiwakuta wanavyoinua midomo kama mabakuli kuitetea israel, , leo wanafukuzwa kama paka mwizi
Israeli ikiwafukuza waafrika,,,, Afrika Kusini iwafukuze Makaburu.
 
Waafrika waache upoyoyo kwa nini wasiende nchi zingine watakapo pata ruhusa ya ukimbizo na kama wanataka kuwa wakimbizi wa aina yoyote ile.

Israel wafungeni tu hamna namna.
Na Makaburu wafungwe pia.
 
Yaani dola 3500 tu, hiki ndicho kinawafanya wagome kurudi Africa, mtu anamali zaidi ya hiyo pesa unataka arudi afrika kweli, huu ni utapeli kwa million 7 utakuja uanzishe biashara gani huku Africa??

Huu ni utapeli wa wazi kabisa!
Hiyo million 7 ikitua Africa inakatwa kodi, kitabaki nini
 
Kwa manyanyaso haya tuamke sasa, tuanze kujitegemea badala ya u dependant usioisha. Watawala wetu hapa wajifunze kitu.
 
Na Makaburu wafungwe pia.

Mwakamajoka ,
Mkuu,
Sawa Sawa.au wafukuzwe ila.ni kama tunao ubavu wa kuwafunga au kuwafukuza.

Angalia, Mzee Mugabe na Zimbabwe walichomfanyia kwa vikwazo sababu tu ya kuwanyang'anya mashamba ambayo naturally hayakuwa yao bali ya waafrika weusi wazimbabwe.

Tatizo, tuliweka misingi mibovu tangia nyakati za Uhuru wa nchi zote za Africa hadi leo na hata hadi kesho.

Tuko nje ya muda.
 
Najiuliza tu mara nyingi

Inamaana huko wahamiaji ni waafrika tu

Hakuna wahamiaji wa ulaya wa America wa asia ?

Oh Damn it, mbona wanafukuzwa waafrika tu?
 
Soma Bible mwanzo 10- waafrika hawana connection na Ibrahim tofauti na waisrael. Huo ubora wa waisrael over other races mimi sijauongelea, nausikilizia tu kwako.
Using'ang'anie historia ya miaka 2000 iliyopita kwenye suala la uraia utachekwa. Hivi unajua miaka michache tu inatosha kukupatia uraia wa taifa furani, wewe bado unasoma vipande vya bibilia kwenye suala nyeti la kisheria?. Acha mambo ya kitoto kwenye masuala ya msingi. Hivi ni nani aliyekwambia kuwa taifa la Israel linatumia biblia kama katiba ya nchi?
 
Leo hii dunia ina msapoti muisrael.
SASA JAMBO HILO HILO AFANYE MWARABU.
 
Lengo ni kuwadhibiti magaidi waliojificha ndani ya wahamiaji haramu na sio kwamba hawawataki waafrika
 
Wasiokuwa magaidi watapokea hizo dola, watakaozikataa wataswekwa lupango kwa uchunguzi zaidi.
Gaidi hapenyi
 
hakuna watu wenye roho mbaya kama wayahudi wakuja. Israel lilikuwa taifa lenye upendo sana lakini tangu hao wakuletwa na marekani wamefika amani hamna. poooo
 
Back
Top Bottom