Israel Vs Tanzania

Israel Vs Tanzania

Hapa mkuu unachanganya GDP ( Gross domestic product) na Per capita income. GDP ndio uchumi wa nchi kwa ujumla wake. Lkn per capita ndio uchumi wa mtu mmoja mmoja. Mfano , Kwa Sasa China inaongoza kwa uchumi mkubwa dunian lkn per capita iko chin ukilinganisha na nchi Kama Norway etc. Kupima uchumi wa nchi angalia GDP na norminal na purchasing power parity. Kukokotoa kutapunguza Per capita kulingana na idadi ya raia wa nchi husika lkn Kama GDP iko juu baado nchi itakua juu kimaendeleo. Japan ni nchi ambayo ni ndogo lkn ipo juu Sana kimaendeleo kwahiyo kuzidi urusi sio shida. Urusi zmeshindwa kuendelea kwa sabb za kimfumo Kama zilivyo nchi za Africa
Upo sawa kabisa ndiyo maana nilimwambia hajui anachoongea
 
Mbona jibu rahisi hapa, easy yan huitaj kujiuliza kwanini
 
  • Ukubwa(kilomita za mraba)
Tanzania: 945,087 km²
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
  • Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Tanzania:$85.42billion
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
  • Idadi ya watu(population)
Tanzania: Watu million 61
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.

Copy right Beginning
✅👏
 
Back
Top Bottom