Israel Vs Tanzania

Israel Vs Tanzania

  • Ukubwa(kilomita za mraba)
Tanzania: 945,087 km²
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
  • Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Tanzania:$85.42billion
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
  • Idadi ya watu(population)
Tanzania: Watu million 61
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.

Copy right Beginning
tuambie Japan ni mara ngapi ya Russia, na Ujerumani je ni mara ngapi ya Russia, je kiuchumi ni nchi zipi zina uchumi mkubwa? Vitu vingine havina hata mantiki. Ni uvivu au ufinyu wa uelewa. Nchi ndogo inaweza ikawa na GDP kubwa kwasababu kihesabu denominator yake ni ndogo wakati wa kukokotoa GDP. Australia kieneo ni kubwa sana lakini kiuchumi imezidiwa na vinchi vidogo km Japan, Ujerumani, Uingereza, Ufaransa n.k. Hoja yako haina mantiki
 
😂😂😂😂😂 unajua ulichoandika?!! Acha kujidai mjanja kwenye hamna.
 
Jamaa wametushinda akili...sisi weusi akili hatuna, tunawaza ngono tu...
Israel wana program za kutufundisha kilimo
 
Mwl. Nyerere alisema ili inchi iendelee inahitaji:
1. Uongozi bora
2. Siasa safi
3. Ardhi na
4. Watu.

Mimi nasema ili nchi iweze kuendelea inahitaji vitu viwili tu;
1. Uongozi bora na
2. Technolojia

Kwasababu haiwezi kuitwa nchi kama haina watu au ardhi. Hivyo bila kujali idadi ya watu waliopo au ukubwa wa ardhi uliopo nchi ikiwa na hivi vitu viwili lazima iendelee tu.

Uongozi bora ndo kila kitu mnaweza msiwe hata na teknolojia lakini mnaweza kuendelea kwatumia resources chache hizo hizo mlizonazo kwa mfano waarabu wamefanikiwa kwasababu ya Uongozi bora tu, resources zao ni chache saana lakini wamezitumia vizuri.

Ukiwa na teknolojia regardless ya ardhi uliyokuwa nayo au idadi ya watu uliokuwa nao Uongozi bora utatumia technolojia mnayoimiliki na nchi itaendelea tu, aidha kama hamna hiyo teknolojia Uongozi bora utahakikisha inapatikana kwa njia yoyote ile; kwa kudukua a.k.a kuiba, reverse engineering, research, kununua e.t.c. Ndomana nimesema Uongozi bora ndo kila kitu katika dhana ya maendeleo. Mfano mzuri hapa ni Tiger countries wakiongozwa na China.

Sisi Tanzania tunakosa hivi vitu viwili muhimu UONGOZI BORA & TECHNOLOJIA. ndomana Israel wametupiga bao, pamoja na kuwa tumewazidi, rasilimali, ardhi, na watu.
 
WAbongo mnapenda kwa mpalange tatizo
 
tuambie Japan ni mara ngapi ya Russia, na Ujerumani je ni mara ngapi ya Russia, je kiuchumi ni nchi zipi zina uchumi mkubwa? Vitu vingine havina hata mantiki. Ni uvivu au ufinyu wa uelewa. Nchi ndogo inaweza ikawa na GDP kubwa kwasababu kihesabu denominator yake ni ndogo wakati wa kukokotoa GDP. Australia kieneo ni kubwa sana lakini kiuchumi imezidiwa na vinchi vidogo km Japan, Ujerumani, Uingereza, Ufaransa n.k. Hoja yako haina mantiki
Hapa mkuu unachanganya GDP ( Gross domestic product) na Per capita income. GDP ndio uchumi wa nchi kwa ujumla wake. Lkn per capita ndio uchumi wa mtu mmoja mmoja. Mfano , Kwa Sasa China inaongoza kwa uchumi mkubwa dunian lkn per capita iko chin ukilinganisha na nchi Kama Norway etc. Kupima uchumi wa nchi angalia GDP na norminal na purchasing power parity. Kukokotoa kutapunguza Per capita kulingana na idadi ya raia wa nchi husika lkn Kama GDP iko juu baado nchi itakua juu kimaendeleo. Japan ni nchi ambayo ni ndogo lkn ipo juu Sana kimaendeleo kwahiyo kuzidi urusi sio shida. Urusi zmeshindwa kuendelea kwa sabb za kimfumo Kama zilivyo nchi za Africa
 
Back
Top Bottom