Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu

Mkuu you have been brain washed, soma na fanya uchunguzi. Hakuna Israel bila Marekani. Israel ni mbwa wa marekani mashariki ya kati nothing more na si kweli kwamba anaweza kupigana na taifa lolote bila msaada wa Marekani.
Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Ndugu unayosema ni kweli kabisa. Israel waliweza kumsulubu "Mungu" na kumtoa roho na kumpa umauti kwa siku tatu, mpaka pale "Mungu" alipofanya uungu wake na kujifufua na kuwapa wauaji wake hadhi ya "taifa teule". Unafikiri kuna kiumbe kinachoweza (taifa lisilo teule) linaloweza kupigana na Taifa lililomwadhibu Mungu?
"Mungu" baada ya kuadhibiwa na wababe hawa(Taifa la Israel) ilibidi awape hadhi maalum, hadhi ya uteule!
Taifa la Mungu? Nikumbushe,Kabila la "Mungu" huyu ni kabila lipi vile?
Mkuu tafadhali usiharibu thread, mambo ya dini na Umungu usiingize hapa.
Iran kuna kipi kipya. Vita vikianza kupiganwa ndani ya mwezi tu mshindi kesha julikana. Hizi nchi za kiarabu kinachowaua ni technology ya mrusi ambayo wakipewa wanadhani wapo juu kumbe mrusi mwenyewe anawapa edition kiliyopitwa na wakati. Vita inamambo mengi sana. Ogopa sana sehemu ambayo mzungu anaweza kuingia na kuwagawa wananchi na serikali hapo utapigwa kiulaini tu. Vita ya Iran na Israel ndani ya mwezi tu inaisha then wanabaki waarabu wakiendelea kijilipua wenyewe kwa wenyewe tu.
Bila mnyamwezi pembeni, itakuwa Mission Impossible.
Ndugu unayosema ni kweli kabisa. Israel waliweza kumsulubu "Mungu" na kumtoa roho na kumpa umauti kwa siku tatu, mpaka pale "Mungu" alipofanya uungu wake na kujifufua na kuwapa wauaji wake hadhi ya "taifa teule". Unafikiri kuna kiumbe kinachoweza (taifa lisilo teule) linaloweza kupigana na Taifa lililomwadhibu Mungu?
"Mungu" baada ya kuadhibiwa na wababe hawa(Taifa la Israel) ilibidi awape hadhi maalum, hadhi ya uteule!
Taifa la Mungu? Nikumbushe,Kabila la "Mungu" huyu ni kabila lipi vile?
Nashukuru umezidi kunisaidia.