Kiongozi nani kakuambia mimi ni kobazi ndio maana nimeleta huu uzi..?Hii ni saudi arabia gays flag lgbtq
View attachment 3446619
Sasa unaniuliza mimi nina undugu naye?Huyu nae ni mhayudi?
View attachment 3446608
Wayahudi naowatambua mimi ni hawa 👇🏾,
View: https://youtube.com/shorts/SpuQsPwMOKQ?si=EplYjQFgE_6bKNBj
View: https://youtube.com/shorts/1ON6idvSNDo?si=01h4pZ7l7IFboTQO
Hawa ndio watakaomuitia Yesu kama isemavyo Mathayo 23.
Hao uliopost kwanza sidhani kama ni Wayahudi, pia wapo kuchafua jina la Waisraeli. Kama ambavyo kuna practicing homosexual pastors claiming to follow Christ, wanaolitia doa jina la Bwana wetu.
Hata kama ni Jerusalem Hakuna myahudi hapo.Hapo ni Tel Aviv kiongozi... na hao ni wayahudi...
Unakosa mibaraka shauri zako....Hata kama ni Jerusalem Hakuna myahudi hapo.
Usije kujidanganya kwenda kuwahubiria wayahudi masuala ya ukristo... kitakachokutokea ni juu yako..Plus, kuna tofauti kati ya wayahudi na waisraeli. Wayahudi ni moja ya makabila la waisraeli. Christians are part of Israel, we're the 10 lost tribes that were scattered to the nations. We as people of the nations have been grafted back into Israel.
Mbona wanahubiriwa kila siku.Usije kujidanganya kwenda kuwahubiria wayahudi masuala ya ukristo... kitakachokutokea ni juu yako..