Israel siyo taifa teule

Na kila mtume alikuwa na "Hawariyuun" wake kama alivyosema Shaykh Swaleh al Fawzaaniy (Allah amuhifadhi).


Ndiyo, Mahawayiruun wa Nabii Musa as ndiyo mayahudi na Wale wa Nabii Isa as ndiyo Answarullah (Manaswara), Mayahudi ndio huswali katika Sinagogi na kitabu chao ndio Taurati na Manaswara huswali katika makanisa na hufuata Injili.


Swali ni hili je unakubali kwamba Mayahudi nyumba yao ya ibada ni Sinagogi??
 
Hili nilishalijbu tangu zamani,laiti kama ungekuwa mtu wa kuelewa na kufata haki hii kadhia ingekuwa imeshapita. Ni wale ambao wameamini katika Mayahudi.


Kama ulishajibu, samahani nitakuwa nilighafilika, tafadhali naomba unijibu hapa kwa kifupi??
 
Sawa afande sele
 
Taifa teule lililoundwa na UN mwaka 1948?Hiki ni kichekesho cha karne
 
Haya ni maoni yako, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hivi huu uzi uliandika baada ya kumaliza kuvuta bangi
 
Iraq ya kusini ndiyo nchi gani??!,

Wewe unaangalia pumba za mwenzako wakati zako huzioni, kweli nyani haoni------.🤣
Yan ukidili na watu wajinga kama wewe ni kazi sana. Iraq ya kusini = kusini mwa Iraq
 
Yan ukidili na watu wajinga kama wewe ni kazi sana. Iraq ya kusini = kusini mwa Iraq


Wewe ni kilaza na inaonekana hujaenda shule ila unajifanya eti umeenda shule !!!, stupid.

Iraq ya kusini ni sawa na kusini mwa Iraq??.

Is South Iraq the same as Southern Iraq??!🤣

Wewe tongotongo zako hazipo machoni tu bali zipo mpaka ndani ya ubongo wako.
 
Kwani Iraq Kuna nchi ngapi mpaka ushadadie? Kwahiyo ukisikia kusini ya iraq au Iraq ya kusini, hapo key word ni kusini. Hakuna Iraq mbili. Wenye akili walishaelewa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…