Israel siyo taifa teule

Israel siyo taifa teule

Kwani Iraq Kuna nchi ngapi mpaka ushadadie? Kwahiyo ukisikia kusini ya iraq au Iraq ya kusini, hapo key word ni kusini. Hakuna Iraq mbili. Wenye akili walishaelewa haraka

Wewe umekosea wala usijifanye mjuvi kumbe huku umjinga.

Unaposema Iraq kusini maana yake ni sawa na kusema Korea kusini au Sudani kusini, ikiwa na maana kwamba kuna Korea kaskazini na Sudani ya kaskazini (Sudani ya Khartoum), yaani kunakuwepo na nchi mbili tofauti zenye jina moja ila zipo katika pande tofauti.

Kubali tu kwamba ulikosea na ulikuwa unataka kusema "kusini ya Iraq/ southern Iraq" na sio "Iraq kusini/South Iraq".

Mbona mimi nilikubali kuwa Ur ya kardayo ilikuwepo Iraq ya kale (Mesopotamia) na sio Uturuki kama nilivyokosea kuandika.

Na pia ujifunze kuwa kuna kukosoa na kukosolewa, usipende kukosoa wenzako na unapokosolewa unafura kama Cobra kwa hasira.🐍🤣
 
Jambo la msingi unajua Iraq ni moja na haipo sawa na Korea. Point taken!
 
Jambo la msingi unajua Iraq ni moja na haipo sawa na Korea. Point taken!

Iraq ni moja ila wewe ulitaka kutuaminisha kuwa Iraq zipo mbili, Iraq kusini na Iraq kaskazini.🤣--- point noted.
 
Kuna Jambo watu wengi hawajui kwamba hawa waisrael wa Sasa sio wale wa kwenye biblia ..Wala hawana uhusiano kabisa...Hawa ni wazungu kutoka urusi
 
Kuna Jambo watu wengi hawajui kwamba hawa waisrael wa Sasa sio wale wa kwenye biblia ..Wala hawana uhusiano kabisa...Hawa ni wazungu kutoka urusi

Inaonekana hujasoma Historia.
 
Hawa wanaitwa Ashkenazi Jews ...walikuwa converted to Judaism....real Jews sio wazungu ...hata yesu mwenyewe hakuwa mzungu ....ili taifa la Sasa la Israel liliundwa mwaka 1948 kwa nguvu marekani ...ushaidi upo wa kutosha...kuanzia kwenye biblia ...hata Richard Nieves 2001....aliprove kupitia utafiti wake kuwa yesu akuwa mzungu..watafiti wengi waliunga mkono utafiti wake .....lakini hata kiongozi wa palestina mahamoud abbass alishawahi kusema kwamba dunia ..ikitaka ukweli yeye anaweza kuprove kwamba hawa waisraeli wa Sasa sio wale wa kwenye biblia..
 
Ushaidi wa kibiblia unaonyesha kuwa jamii ya waisraeli wa kale ilikuwa ya watu weusi..uko hivi ..Musa alipo muua mmisri aliyekuwa anapigana na misrael alikimbilia nchi ya midiani ambako aliwakuta wasichana wakiteka maji kisimani ..akawasaidia kuteka maji wale wasichana walipofika nyumbani kwao baba yao aliwauliza mbona leo mmewahi kurudi ....wakasema hivi tumesaidiwa kuteka maji na kijana mmisri ...kwa hiyo wale wasichana walimtambulisha Musa Kama mmisri...na wamisri wanaotajwa hapa ni wale wa enzi ya farao ambao upo ushaidi wa kutosha kuwa walikuwa weusi....Hawa waarabu wa Leo wamekuja juzi tu Karne ya 7 kipindi Cha islamization movement..lakini pia hata mwanahistoria nguli wa Africa sheik anta diop mwaka 1966 kwenye mkutano w a UNESCO aliprove kuwa wamisri wa enzi ya farao kuwa walikuwa weusi...hivyo Basi Kama Musa alionekana mmisri Basi Musa alikuwa mweusi...na Kama Musa alikuwa mweusi Basi na jamii yake ya Israeli walikuwa weusi...
 
Kazi imeisha, ila wewe hutaki kukubali kwamba ulikosea uliposema " Iraq kusini" badala ya "kusini ya Iraq", unataka nyeusi iwe nyeupe, shida sana🤣.
Hata Sudan kusini kabla hata hawajatengana walikuwa wanaitwa south Sudan.. sijui ajabu ni nini kuiita south Iraq? Tatizo mnakariri. Hiyo sio formula ya hesabu, lugha ipo flexible
 
Hata Sudan kusini kabla hata hawajatengana walikuwa wanaitwa south Sudan.. sijui ajabu ni nini kuiita south Iraq? Tatizo mnakariri. Hiyo sio formula ya hesabu, lugha ipo flexible

Lugha ipo flexible nani kasema!!?, hiyo ni kanuni yako pekee ambayo kwayo unataka kuhalalisha huo upotofu wako.

South Sudan ilikuwepo kama nchi isiyokuwa na mamlaka hadi pale ilipopata mamlaka/uhuru baada ya Sudani yote kugawanywa, kabla ya hapo kulikuwepo na Sudani kaskazini (Sudani ya khartoum/Sudani ya waisilamu) na Sudani kusini (Sudani ya Juba/Sudani ya Wakristo), kipindi hicho mamlaka yote yalikuwepo Sudani kaskazini.

Kumbuka kabla ya vita kuu ya pili ya dunia kulikuwa na Ujerumani moja na baada ya vita Ujerumani ikagawanywa na zikapatikana Ujerumani mbili namely; Ujerumani Magharibi na ujerumani mashariki.

Chakujifunza hapo ni kwamba; unaposema Iraq kusini maana yake kuna nchi nyingine mkabala na hiyo ambayo obvious ingekuwa ni Iraq kaskazini katika namna ile ile ambapo kuna Korea kusini na korea kaskazini ni kwa namna hiyo hiyo Kulikuwepo na Ujerumani mashariki mkabala na Ujerumani mashariki pia kulikuwepo na North Rhodesia mkabala na South Rhodesia.

Wewe bila shaka ni Muha ndio maana ni mbishi sababu umeshiba Migebuka na dagaa.

Jifunze kukubali ukweli kwamba kuna tofauti kati ya maneno "Kusini ya-----" na "------ (ya) kusini"

Katika kiingereza Southern means eneo la kusini ya--- ambapo South means kusini.

✔Truth will set you free✔
 
Back
Top Bottom