Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,220
- 3,184
Wakiachwa watasema Hamas imeshinda vitana walisema kama wakiachia mateka idf hawatoingia ndan ya Gaza , ila waislam muwajuwavyo ukimuacha unamuogopa ukimpiga unamuonea
Haya mambo kwa kweli. Sema ukienda kwenye masuala ya ulinzi na usalama huruma unaachana nayo. Sio Hamas wala Jeshi la Israel wanaoonyesha huruma.No, shule hamna. Ila walifichwa hapo ili kuzuia Israel kuishambulia. Sasa makombora yakawa yanatokea hapo. Ndipo Israel kuishambulia bila kujali ni shule.
Mbona ww ulijulikana kuwa ni shoga ukiwa bado tumboni mwa mama yako na hakuna aliye kuuwa?Maislamu yote ni magaidi hata yaliyoko tumboni, haya mahamas, Bokoharam, Al shabab hayakua matoto ?! Piga shaba manyangau yote makubwa na madogo
Umetoa hoja nzuri sana.
Napenda vita iishe ila kwanza Hamas ifutwe. Hapo hospitalini al Shifa ndio makao makuu ya Hamas, imagine kundi la kigaidi Lina makao makuu hospitalini underground.
Hamas ipigwe ichakae, Gaza iwe chini ya mamlaka ya Palestina kama ilivyo West Bank ila suala la usalama wa Gaza liwe chini ya Israel.
Wewe tulia, Israel anajua vizuri tu wapi pa kupiga.Suala lakuifuta hamas Hilo mulisahau kuua wasio hatia mshazoea ndio maana mnaripua mpaka matank ya maji au yalikua na underground
Kafiri mweusi una tabu!Matank yalikua yanasambaza maji kwa magaidi, swali jingine popoma fuasi na liabudu waarabu, na miungu yako miarabu itachapwa mpaka isahau kukiinamishia kibla sasa watakua wanakielekezea Israel swine
"HAMAS wameianza vita sisi tutaimaliza vita" by Netanyahu 😅😅Nafikiri mapigano yafikie mwisho.
Vita iendelee mpaka mateka waachiwe,wale vijana wetu wa Tanzania nao ni miongoni mwao.Nasema tena Israel [emoji1134] piga hao panya buku adi watoke mashimonii.
Wagonjwa hospitalini wanaondokaje?Kama walitangaziwa waondoke na wamekaidi sioni sababu ya kusitishwa kwa hiyo operation. Waliobaki waliona watamudu kinachoendelea
Sawa zidi kulipuka hakuna shida. Jenga wao watakuja kubomoa mkifyatua maroketiSuala lakuifuta hamas Hilo mulisahau kuua wasio hatia mshazoea ndio maana mnaripua mpaka matank ya maji au yalikua na underground
Mara hii tena mnalialia mnadai Israel ina Marekani. Kwa akili zenu mlidhani kuteka watu na kujificha hospitalini mtaachwa?Suala la wao kuendelea au kuacha kupigana hilo ni juu yao mm na ww hatuna maamuzi juu ya hayo.
Lamsingi dunia nzima ime jua ya kuwa jeshi la Israel bila Marekani ni JWTZ iliyo chagamka, kwanza hata hapo nimewapendelea.
Hao ni vichwa ngumu. Kazi iendelee.Ina maana wanafunzi bado wanaenda shule huko gaza? Sounds really absurd!
Hii hali iliyoko huko ni bora watii lile agizo la kuondoka. Pia waache mikusanyiko kama hiyo.
Naamini chini ya Al shifa Kuna tunnels maana isingekua hivyo watu wangekwisha ondoka. Haiwezekani mapigano toka yanaanza IDF inatoa angalizo la watu kuondoka Gaza ila hapo hospitali Kuna watu elfu hamsini bado wapo tu. Kuna kinachofichwa hapo nyuma yake.Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio Hamas ni raia wa kawaida wa Gaza. Kama ni kisasi kimeshalipwa. Maana mpaka Sasa wameuawa wapalestina 11,500. Ambao watoto waliokwisha uawa wanakaribia 5,000 hii inaumiza Sana.
IDF kashamsambaratisha Hamas sidhani Kama Kuna haja ya kuendelea na mashambulizi. Kwa Sasa Hamas Hana nguvu na wapalestina wamejifunza kwamba mbeleni wasifanye uchokozi kwa Israel wa aina ile.
Kuna mambo matatu nimeyaona yamenifanya nifikirie hivyo.
1. Kwanza, Jana Israel kashambulia na kuilipua kwa makombora shule ya watoto na kuua watu hamsini ikiwemo watoto wadogo. Shule hiyo inaitwa Al Buraq, na inasemekana mjukuu wa kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh aliuawa kwenye mashambulizi hayo.
Sababu kuu ya IDF kuishambulia shule hiyo ni baada ya kamanda wa Hamas Ahmed Siam aliyekuwa kwenye mapambano na IDF kwenye eneo la Hospitali ya Rantisi Kuzidiwa na kwenda kujificha kwenye shule hiyo. Hivyo Israel ikaona immalize pamoja na watoto waliokuwemo humo. Kwa kweli niliumia kuona watoto wasiokuwa na hatia wakiuawa kwa ujinga wa Hamas. Nikawaza itakuwaje kwa huko mbeleni?.
2. Pili, Kuna Jambo la kusikitisha kwenye Hospitali ya Al Shifa. Ni kwamba IDF imeizunguka hiyo Hospitali na kuanza mashambulizi. Tatizo ni kwamba Kuna vitoto vichanga karibia 39 vimo humo ndani, ndio kwanza vipo kwenye incubator. Sasa ninachoogopa IDF asije akailipua Hospitali nzima na kuua hao watoto.
Nasema hivyo kwa sababu IDF anaweza kuilipua Hospitali nzima ya Al Shifa kwa kuwa kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar kajificha humo pamoja Viongozi wachache waliobakia.
Kingine ni kwamba ndani ya Hospitali hiyo Kuna wagonjwa wengi mahtuti na wazee. Hivyo kuilipua itasababisha mauaji ya halaiki.
3. Tatu, iwapo IDF itailipua Hospitali hiyo Kuna uwezekano wa Mataifa ya kiarabu kulazimishwa kuingilia kati na kuendeleza mgogoro kuwa mkubwa na kupelekwa hata vita vya tatu vya dunia.
Maana Al Shifa imekuwa Kama mtego. Ndio maana Hamas wameruhusu watu wengi wawe pale ili Israel asipate nafasi ya kuishambulia. Maana lile ndio eneo la mwisho kabisa kwa Hamas kujilinda. Hivyo hakuna haja ya kumwaga damu nyingi. Wakubaliane Israel asogee nyuma na Hamas wawaachie mateka basi. Mambo mengine yaendelee.
Hivyo basi, naishauri Israel ifanye yafuatayo.
1. Kutangaza kusitisha haya mapigano, maana wanaoadhirika ni watoto, wanawake na wazee na sio Hamas Tena.
2. Israel atangaze kuwepo na Kambi ya jeshi itakayosimamiwa na Umoja wa Mataifa. Kambi hiyo iwe kilometa ishirini kati ya mpaka wa Israel na Gaza.
3. Israel ifanye makubaliano na Hamas ya kuondoka Al Shifa na Hamas wawaachie mateka waliowashika. Na makubaliano haya yasimamiwe na Umoja wa Mataifa.
4. Jukumu la kuisimamia Gaza liwe chini ya Mahmoud Abbas ambaye kisheria ndio Rais wa Palestina, Gaza ikiwemo. Ili kuendeleza makubaliano ya Oslo ya mwaka 1993 ili mchakato wa kuanzisha taifa la Palestine lianze..
4. Nanshauri kuwepo na makubaliano kati ya Palestina kwa niaba ya Hamas na Israel upande mwingine , kwamba hawatovamiana Tena.
Eeeh ndioAu siyo mtaalam wa war strategy,kwa hiyo ile kupiga hospital haikua kombora la Hamas lilishindwa kufikia shabaha Bali war strategy ya Israel!?
Hayo matenki wateule waliyalipua maksudi ili Hamas wasijitawadhe wakienda kuswali na kuendekeza na kupenda anasa kwa kunywa maji safi na salama.Na matanki ya maji waliyolipua yalikua na viongozi wa Hamas ndani yake!?..toka mwanzo wanalipua shule, hospital na kudai kombora la Hamas limepoteza uelekeo,wameshindwa kupambana na Hamas wanabomoa majumba na kuua vichanga
Umechambisha wazee wangapi huko ulaya Leo!?Hayo matenki wateule waliyalipua maksudi ili Hamas wasijitawadhe wakienda kuswali na kuendekeza na kupenda anasa kwa kunywa maji safi na salama.
Bakhresa awapelekee huko maji ya uhai.
Swahiinn.
NO MERCY
Nyie Kobaaz bana acheni vituko jamvinUmechambisha wazee wangapi huko ulaya Leo!?