Kwa taarifa yako hata Nabii Mwingira wa Efatha anadai amepaa, tena kwa maandishi (ana kitabu) na wakiristo kibao wapo hapo kwake ! Kamuulize na yeye mbona amepaa kama Yesu ? scoomanAlipaa Kwenye anga la wapi acheni uongo.Mlivyosikia yesu kapaa nanyi mkampaisha Muhammad.We toka uzaliwe umemuona nani kapaa.Wanga tu ndio huwa wanapaa tena hawaonekani.
K wa mujibu wa The laws of nature mwanadamu hawezi paa isipokuwa ndege tu muwe mnawaza hata kidogo kuliko kukubali kila kitu kisa tu umekatazwa kuhoji kwa kisingizio utapata dhambi
suruali fupi na ndevu siku hz fashion..mtazame domo na messiInamdhalilisha nani? Hebu fafanua kidogo isijekua umekaririshwa kama jamaa zangu Fulani walikaririshwa wakaenda kukata suruali zao zikawa fupi baada ya kutambua ukweli wakaanza kujutia
Wana Israel walikuwa waislam.na kila binadamu anatakiwa awe muislam.Islam ni neno la kiarabu lenye maana kujinyenyekeza au kujisalimisha kwa mungu mmoja.Tusaidia maana naona hapa wengine wanavyoongea kama chenga vile
Adam ndo Muislaam wa kwanza na Yesu ni Muislam (ni kwa mujibu ya mafundisho ya Uislam - Doctrine)Tusaidia maana naona hapa wengine wanavyoongea kama chenga vile
Kweli mmechanganyikiwa.Adam AS ! onechromosome
Wana Israel walikuwa waislam.na kila binadamu anatakiwa awe muislam.Islam ni neno la kiarabu lenye maana kujinyenyekeza au kujisalimisha kwa mungu mmoja.
Sasa basi turudi kwa musa na waisrael.
Musa alikuwa muislam akaja kuwafundisha wana Israel uislam.walimsumbua sana kiasi cha kwamba wengine walilaaniwa na mungu wakawa masokwe ilifikia mungu akaamua kuwekeana nao ahadi soma hizo aya
Wachache walimuamini musa na wengi hawakumuamini wakabaki na ibada zao za masanamu akaja yesu hivyo hivyo mpaka wakataka kumuua lakini hawakumuua.
Ndo akaja Muhammad ndo Leo unaona uislam upo huko Israel kwa kiasi hicho.swali kama unalo.
Ulimjibu hilo swali !? Tatizo mmekalia Yesu nibebe ...nibebee...nibembeleze ! Dini hamsomi.Bila shaka hao ni yakobo, ibrahim na yusufu Mababa wa Imani ya ukristo.
Inaonekana kama unataka kujenga picha kwamba hao walikuwa waislamu. Halafu kitabu kilichoandika habari za hao wahenga ambacho ni Bible hakijawaita hao watu ni mitume .
Waislamu hicho kitabu si chenu mnalazimisha tu kionekane kinautambua uislamu kibaya zaidi mnajaribu kukipindisha kutoka kwenye unyoofu wake.Mbona ukristo hautasfiri Quran kama nyie mnavyotoka na mishipa ya shingo kwa kutafsiri Bible.
Juzi tu nimepita sehemu nimekuta mtu kavaa baragashia mishipa Ya shingo imemtoka anahoji kwanini yesu anaitwa Emmanuel
Kwa nn nisome tamaduni za watu wakati utamaduni wangu nmeuacha?Ulimjibu hilo swali !? Tatizo mmekalia Yesu nibebe ...nibebee...nibembeleze ! Dini hamsomi.
Unataka kutuaminisha kwamba waarab wote ni zao la ishamael?unahakika na unachokisema?mkuu mpaka leo kwani hujui kama israeli ipo katikati ya nchi za kiarabu?
na si kila muisraeli dini yake ni ya kiyahudi kama kumbukumbu zangu zipo sahihi 10 mpaka 15% ya waisraeli ni waumini wa dini ya kiisilamu.
waarabu na waisraeli wote wanatokana kwa Ibrahim, ambaye alizaa watoto wawili, Ismail na Is'haq.
ismail ndio mpaka kizazi chake anakuja kutokea Mtume muhamad, ni kizazi cha waarabu.
Is'haq mpaka kwa yaakub, yusuf, musa hadi yesu ni kizazi cha waisrael.
Hilo eneo Hapo lina historia za Dini zote mbele unaweza ongeza na ukristo ukaeka dini tatu, ndio maana kuna ugomvi kila siku.
Hilo halihitaji ushauri wako wala kuridhia kwako, wakati mwingine mgonjwa wa akili (on your case) humuona Dr ndo kachanganyikiwa !Kweli mmechanganyikiwa.
Kama wewe na wenzako.Hilo halihitaji ushauri wako wala kuridhia kwako, wakati mwingine mgonjwa wa akili (on your case) humuona Dr ndo kachanganyikiwa !
Islam ni dini ya kukopi na kuigaiga....kila siku mnapekua bible kutafuta vifungu vitakavyofanana na Quran. ......bila bible Quran haijakamilika.....haijitoshelezi!kwa sababu mtume wenu hakuweza kukopi yote yanayohusu wakristo&wayahudiSikilizeni nyinyi : UKIRISTU na UYAHUDI ni Uislamu wa Kale.
Uislam wa Leo ni Uislam wa Sasa!
Msipoyaelewa haya, mtapata shida sana, mtagawanywa sana na mtashindwa kuelewa kuwa kimsingi Msingi wa Dini zetu ni moja tu nayo ni KUJISALIMISHA kwa Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi!!
Ni kama vile Unavyoona Windows Version za Microsoft, Kuna Windows 95, Windows XP and then Windows 10. Lakini zote ni Windows zilezile!, Kernel ni ileile!!
Ndiyo maana Waislamu husema kuwa Uislamu kwa watu ulianza toka adam Ila tu kila nabii anakuja na mafunzo yake!!!
Kwa maana hiyo, wewe unayenisoma hapa kama ni Mkiristu, Basi wewe ni Mfuasi wa Uislamu wa kabla ya Mtume Muhammad!
Sasa hiyo shida yako, kwa nini ulaumu wengine walio amua kutomia nature yao ya reasoning power (kusoma na kutafuta ukweli) kujifunza na kupata elimu nyingine !Kwa nn nisome tamaduni za watu wakati utamaduni wangu nmeuacha?
This is a real case to prove !Kama wewe na wenzako.
Pole!This is a real case to prove !
Wewe unafuata version gani ya Biblia, King James, New Version, Agape, Gidion, Agano la Kale, Jipya, yenye Vitabu 66 au 73 !? mlekulechomaIslam ni dini ya kukopi na kuigaiga....kila siku mnapekua bible kutafuta vifungu vitakavyofanana na Quran. ......bila bible Quran haijakamilika.....haijitoshelezi!kwa sababu mtume wenu hakuweza kukopi yote yanayohusu wakristo&wayahudi
Hii si kweli usidhani vitabu vyenu hatuvisomi!kwa nini mudy alibadili kibla akiwa madina?kilichomfanya akiwa anaswali makalio anayaelekeza Jerusalem na kichwa maka?possible, ila kuna waarabu 20% na waisilamu 17% hivyo inawezekana hao wakristo asilimia 2 wakawa waarabu, na katika hio 17% ya waisilamu kukawa na waisiraeli natives vile vile.
soma historia ya mtume madina, aliishi na wayahudi wengi na wengi wamesilimu mpaka leo wapo katika jamii za kiarabu middle east, asili yao ni uyahudi ila ni waisilamu.