dogo naona Assad anakutoa jasho, sababu kawashinda majeshi ya ulimwengu mzima kumbuka Israel, ISIS, NUsra front, USA, FRANCE, Turkey, Qatar, Saud Arabia, na uchafu wa dunia nzima wamemshindwa. Hio ya Russia kumsaidia ni kawaida sababu Syria anapigania maslaha ya Russia, unadhani BOMBA la Gas la Qatar lingepita Syria WARUSI WANGEWEZA WATISHA Europe KWA GAS, nadhani ingekuwa joke. Dogo rudi kasome shule wacha kupotezwa na Google eti Israel alishinda vita, ni yale yale ya kujidai wao taifa la Mungu na Mungu wao si Mungu wa warabu au wafrika hahaha, hawajui kama Mungu ni mmoja tu. wawe mazeluzelu au mabaniani Mungu wa Warabu ndio huyo huyo wa kina Natanyahau, ngojea akisha kufa Natanyahau ndio atajibu kama warabu na waIsrael wana Mungu mmoja au kila mmoja na Mungu wake.