Israel no longer capable of winning wars

Status
Not open for further replies.
Alalam: is arabic source. Non international and pro-Arabs source.
Sa nani aliye ongea hapo ni waziri wa Israel au wa Iran, afu Al Alaam ni ya wapi si ya Iran, aliyesema ni wazir wa jeshi la Iran, kuwa Israel hana ubavu wa kushinda, kama Israel ana ubavu mwambieni aende Iran aone cha mtema kuni.
 
anayetakiwa kwenda na Iran na sio israel.kwani ndio anayedai israel hana ubavu.
 
Iran ansema akisha maliza Nuclear yake basi anaifuta Israel kwenye MAP kabisa, sa boro Israel kama mwanaume ajiwahi kabla hajawahiwa, si kila siku anajisifia Nyau kwamba ana meno ya kula nyama mbona hasogezi meno yake.
 
Israel alisha-prove kwa waarabu kuwa yeye ni noma, ni wakati wa Iran kuithibitishia dunia kuwa vitukuu wa Musa aliowatoa misri miaka hiyo kwa sasa si chochote si lolote. Sasa kumbe na wewe unakubali kwamba Iran hawako vizuri mpaka wajipange wawe na nyuklia sio...Israel ameshamwambia atashambulia, anasubiri aone marekebisho ya UN yanayotarajiwa kufanyika. Ni swala la kusubiri tu.
 
Wacha kukwepa Israel anajisifu yeye ana nuclear sa wengi wanasema ni kelele zake tu hana kitu, hata Natanyahu kila kukichaa anasema ataivamia Iran sa huoni kama ni kelele tu.

Wanasema ukiona kelele nyingi ujuwe hakuna kitu pale.
 
Ilikuwa zamani sa Warabu wana Missiles ambazo wakizirusha hata dunia nzima iwe upande wao watashindwa tu. Hayo ya zaman wakati wa zile bunduki sio missiles dogo.

Kijana, unaamini kuwa Israel nao wamebaki vile vile kama ilivyokuwa 1967 na 1973?
 
Hivi we uandhani 1967 kungekuwa na missiles, nadhani Israel wangeisha rudi walipo tokea, hio vita vya Gaza wengine wako Russia sasa hawataki kurudi, na wengine wamebaki USA wanasema hawarudi mpaa pale Israel akiwamaliza Hamas na hapo naona kama ni ndoto vile.
 
Hata wewe una kelele sana na sisi sasa tunajua HUNA KITU.
Wacha kukwepa Israel anajisifu yeye ana nuclear sa wengi wanasema ni kelele zake tu hana kitu, hata Natanyahu kila kukichaa anasema ataivamia Iran sa huoni kama ni kelele tu.

Wanasema ukiona kelele nyingi ujuwe hakuna kitu pale.
 
Wacha kukwepa Israel anajisifu yeye ana nuclear sa wengi wanasema ni kelele zake tu hana kitu, hata Natanyahu kila kukichaa anasema ataivamia Iran sa huoni kama ni kelele tu.Wanasema ukiona kelele nyingi ujuwe hakuna kitu pale.
Israel huwa hajisifu wala kujizungumzia: Labda naweza kusema watu ndio wanamsifu Israel na sio israel anajisifu. Iran huwa wanajisifu na kujizungumzia. is like no body cares about them anymore. Sasa Iran wanataka Dunia iamini kuwa Hamas wanaweza kuichapa Israel. Na waarabu kwa akili zao wanaamini. wakishachapwa wanaanza kulalamika.Tatizo hawaambiani ukweli!

Kama wewe ni mtafiti mzuri unaweza kuona nature ya waarabu siku zote ni majivuno na majigambo. Em jiulize psycopath kama ISiS wanavyodai kuishinda marekani si kichekesho?taliban walisema hivyo, Osama alisema hivyo, Alzarqawi alisema hivyo,Sadam alisema hivyo, Ndivyo Waarabu walivyo siku zote: Sadam alijisifu hata kutamba ananyuklia. walipo mwingilia hawakukuta nyuklia bali vinu chakavu vya zamani. Gadafi naye alikuwa mtu wa majigambo siku zote akilala kwenye hema huku wananchi wake wakiwa na matatizo ye akitumia jeshi kuwatesa. Hata huu Uzi ukiutafakari ni wa mwi-Iran akisema israel si lolote kwa lugha nyingine yeye ndiye kilakitu. Tena ipo kwenye media za waarabu na pro-arabs. Na ndio zinazotumika kudanganya na miaka yote waarabu wamebaki kuwa failures kupitia upopompo huu.Kwani wanamezwa na uongo na kuacha ukweli upite kwakuwa sio pleasing maskioni na machoni mwao..

kWa kifupi wazungu hawapendi hii tabia ya majivuno bila wajibu.Unajivuna eti kwakuwa umevaa kiarafati!!Palestina na Hamas walijivuna kuishinda Israel hivi majuzi. Japo wamepata Hasara ya kufa mtu na wamekufa wengi. Hii sio hali ya kawaida kwa israel bali ni kawaida kwa waarabu.
ndio hao wanaojitungia majina mara khalifa mara sijui nini kwakuwa by nature wana-inferiority complex. Wanajua watu Wanawaona si lolote. ndio maana lazima wawe watu wa-ku-react anytime and any moment.

Nakupa homework: Jaribu kupekuwa majarida na website za pro arabs utakuta kila wanachoongea ni lawama, vurugu, mbwembwe na kujivuna. wako kama vile hawana cha kufanya. Au pekua uzi wa pro-arabs humu JF ndio ma-pioneer wa majivuno. Tena Jitahidi kutenganisha facts wene hoja zao. utagundua wanaenezeana uongo siku zote. Na kwakuwa Mungu ni mkweli, ukweli siku zote hushinda hila za Shetani na uongo wake.

Sasa Haishangazi ukisikia wanalalaimikia Christians kwani hata wao pia wanalalamikiana sana tu. Ila wakija kwa Christians wanakuwa kitu kimoja wakishirikiana kulalamimikia ukristo na ndio maana hoja inakuwa na uzito zaidi. otherwise hoja zao nyepesi na hazina fact bali za kulazimisha.
Ukiwaacha wenyewe kwa wenyewe wanaishia kuchinjana. US anawajulia ndio maana akiwapa silaha wanagawanyika kwa sekunde.
Iran yenyewe ukiisikia unaweza kudhani inafuraha sana lakini nakuhakikishia kuna watu kule wangetaka kuangusha ule utawala. wakipewa silaha kama ISIS wanafanya kazi yao mara moja, wala huhitaji kutumia Israel kuangusha utawala wa Iran.

Ndio maana katika mambo ambayo utawala wa Iran unaogopa ni kuruhusu ukaribu na US kwahofu kuwa watauana kama Libya. kwani waarabu wako delicate sana tena hawaruhusu kutumia ubongo wao kuumia wakifikiri zaidi. ndio maana kuchukua bomu na kujilipua kwao ndio suluhisho wanalooona mbele yao siku zote.
Mkuu jaribu kusimamia ukweli: Unaweza kuona nuru japo kidogo.
 
Masikini wewe umelala kama Israel hawajisifu Israel, alikuwa nasema siku zote hakuna Missiles zinaweza kupita kwenye anga lake sa msikie anasema nini.

Israel admits Iron Dome no match for Hezbollah missiles

Israel admits Iron Dome no match for Hezbollah missiles.

A senior Israeli army officer has admitted that the Zionist regime's Iron Dome anti-missile system would not be a match for precision rockets of Lebanon's Hezbollah resistance movement in any future war, further predicting that the next encounter with the resistance group would be "very violent."
Israeli Col. Dan Goldfus also stated in a report broadcast by the regime's Channel 2 TV that Israelis needed to know that a war with Hezbollah would be "a whole different story," than the recent war Zionist forces waged against the Palestinian population in the Gaza Strip.
"We will need to move quickly and flexibly," he said.
According to the report the Israeli regime has estimated that Hezbollah had about 100,000 rockets, with most of them hidden in south Lebanon but with long-range missiles in Beirut capable of carrying large warheads of up to a ton.
The missiles in Beirut are equipped with precision guidance systems and can reach all of Israel, which would make it difficult for the Iron Dome anti-missile system to deal with them as successfully as the less sophisticated rockets used by Hamas during the Gaza onslaught.
The report also reflected repeated Israeli concerns that Hezbollah had dug tunnels along the border with the occupied territories, insisting that Zionist residents had reported noise under their houses.
Goldfus did not rule out the possibility of Hezbollah digging tunnels, saying that the Israeli army was concerned over the matter in light of recent tunnels unearthed and later destroyed by Zionist forces in Gaza.
In any future war, Goldfus said, "We will have to use considerable force" to quickly prevail over Hezbollah, "to act more decisively, more drastically."

Nakuwekea link ingine usije sema hio sababu ya Iran.

Israels Missile Defense System : Mike Evans :: Jerusalem PRAYER TEAM

Afu chini nakuonyesha Israel hana nguvu soma hapa chini, Israel haiwezi Iran bila msaada wa USA ni yale yale tunayo yasema kila kukicha.

Israel asked US for assistance : Mike Evans : Jerusalem PRAYER TEAM
 
dogo hio ni ndoto Israel asinge fika na alisha jua hata kama angefika asinge weza kupigana na Egypt kwa miaka, lazima ufahamu hayo Israel hana ubavu wa kupigana na Egypt. We huoni Israel anavyo bembeleza urafiki na Egypt una cheza nini. Mtu asiye na akili ndio anaweza kusema Israel anaweza kupigana vita na Egypt na akamshinda bila kusaidiwa na USA.

yani katika muarabu aliyechezea kichapo kizuri kutoka kwa Myahudi basi ni Egypt, we muulize atakushuhudia tu, na ndo maana akaona suluhu ni kurecognize Israel state, hao waarabu wengine eti walijifanya kukataa kwa sababu hawakula kichapo cha sawa sawa kama Egypt, ila hao nao siku zao zinahesabika, sasa iv inapigwa hiyo remote war, yani mtu anakupiganisha kwako halaf yeye kakaa anakula bata na mrija kwake kama MOSSAD wanavyofanya Syria sa iv. anafuatia IRAN mwambie ajiandae
 
Masikini wewe umelala kama Israel hawajisifu Israel, alikuwa nasema siku zote hakuna Missiles zinaweza kupita kwenye anga lake sa msikie anasema nini.

Israel admits Iron Dome no match for Hezbollah missiles

Israel admits Iron Dome no match for Hezbollah missiles.

A senior Israeli army officer has admitted that the Zionist regime's Iron Dome anti-missile system would not be a match for precision rockets of Lebanon's Hezbollah resistance movement in any future war, further predicting that the next encounter with the resistance group would be "very violent."
Israeli Col. Dan Goldfus also stated in a report broadcast by the regime's Channel 2 TV that Israelis needed to know that a war with Hezbollah would be "a whole different story," than the recent war Zionist forces waged against the Palestinian population in the Gaza Strip.
"We will need to move quickly and flexibly," he said.
According to the report the Israeli regime has estimated that Hezbollah had about 100,000 rockets, with most of them hidden in south Lebanon but with long-range missiles in Beirut capable of carrying large warheads of up to a ton.
The missiles in Beirut are equipped with precision guidance systems and can reach all of Israel, which would make it difficult for the Iron Dome anti-missile system to deal with them as successfully as the less sophisticated rockets used by Hamas during the Gaza onslaught.
The report also reflected repeated Israeli concerns that Hezbollah had dug tunnels along the border with the occupied territories, insisting that Zionist residents had reported noise under their houses.
Goldfus did not rule out the possibility of Hezbollah digging tunnels, saying that the Israeli army was concerned over the matter in light of recent tunnels unearthed and later destroyed by Zionist forces in Gaza.
In any future war, Goldfus said, "We will have to use considerable force" to quickly prevail over Hezbollah, "to act more decisively, more drastically."

Nakuwekea link ingine usije sema hio sababu ya Iran.

Israels Missile Defense System : Mike Evans :: Jerusalem PRAYER TEAM

Afu chini nakuonyesha Israel hana nguvu soma hapa chini, Israel haiwezi Iran bila msaada wa USA ni yale yale tunayo yasema kila kukicha.

Israel asked US for assistance : Mike Evans : Jerusalem PRAYER TEAM

hivi iweje nyie mseme Israel hawez Iran bila msaada wa US wakati IRAN mwenyewe anategemea msaada wa Russia? ina maana IRAN ndo anapaswa kupata msaada halaf ISRAEL asipate? IRAN silaha zake zote ni za Russia, hana lolote yule, Nyuklia yenyewe anatengenezewa na warusi, Scientists wake wote wanaenda kudesa Urusi, ana nini sasa yule?
 
Wacha kukwepa Israel anajisifu yeye ana nuclear sa wengi wanasema ni kelele zake tu hana kitu, hata Natanyahu kila kukichaa anasema ataivamia Iran sa huoni kama ni kelele tu.

Wanasema ukiona kelele nyingi ujuwe hakuna kitu pale.

haya maneno aliyoyasema huyu kamanda wa Iran ni porojo kwa sababu yani jinsi waarabu walivyomkamia Muisrael na wakijua hana uwezo wa kushinda vita yeyote basi hata leo mchana waarabu na huyo Iran wangelianzisha, lakini mbona nao kila siku ni maneno tu na kujitamba kwenye media? si walianzishe? wameishia kuwapa hope wananchi wao ili wapate kura. ila MZIKI wanaujua
 
yani katika muarabu aliyechezea kichapo kizuri kutoka kwa Myahudi basi ni Egypt, we muulize atakushuhudia tu, na ndo maana akaona suluhu ni kurecognize Israel state, hao waarabu wengine eti walijifanya kukataa kwa sababu hawakula kichapo cha sawa sawa kama Egypt
dogo usisahau kwenye vita lazima kuna watu wanakufa, na hatujakataa Israel amewahi kuwashinda warabu baada ya kusaidiwa na nchi nyingi mfano UK, USA, FRANCE, GERMANY, CANADA na Italy. Sa we unapo taka kuona ngoma ni sasa Israel hawawezi kupigana vita bila ya USA ikiwa Hamas amebanwa kila kona na yuko kwenye sunction Israel mpaa wamechukua stock ya USA na hawakuweza kumshinda Hamas, wataweza kupigana na Egypt kwa sasa sidhani, nadhani itakuwa ni ndoto tu ya 1967 wakati tuko 2014.
 
hivi iweje nyie mseme Israel hawez Iran bila msaada wa US wakati IRAN mwenyewe anategemea msaada wa Russia? ina maana IRAN ndo anapaswa kupata msaada halaf ISRAEL asipate? IRAN silaha zake zote ni za Russia, hana lolote yule, Nyuklia yenyewe anatengenezewa na warusi, Scientists wake wote wanaenda kudesa Urusi, ana nini sasa yule?
Hakuna dalili hata moja unaweza kutoa Iran anapewa msaada na Russia, Iran kapigana vita miaka 8 dunia nzima ilikuwa upande wa Iraq, na Iraq hakuweza kumshinda Iran. Yale yale ya Israel kujidai kashinda vita 1973 wakati sio kweli. Leta vita alizo pigana Iran uone kama kapewa msaada na nchi yoyote, sa tazama upande wa Israel vita vyote hata ya hio na Hamas walio pigana karibuni, mpaa akalambe makamsi ya kuombewaa huruma kwa USA.
 
haya maneno aliyoyasema huyu kamanda wa Iran ni porojo kwa sababu yani jinsi waarabu walivyomkamia Muisrael na wakijua hana uwezo wa kushinda vita yeyote basi hata leo mchana waarabu na huyo Iran wangelianzisha, lakini mbona nao kila siku ni maneno tu na kujitamba kwenye media? si walianzishe? wameishia kuwapa hope wananchi wao ili wapate kura. ila MZIKI wanaujua
Hakuna poroja ni ukweli mtupu Israel hana kitu cha kuwatisha warabu, au Iran kwa sasa. Missiles walizo nazo warabu/Iran zinatosha kuisafisha Israel kweye MAP ya dunia.
 
wacha kuleta ctor za abunuasi hapa, hizo misile mwarabu kazipata wapi? nishakuambia agenda ya muarabu ni kuifuta israel since 48, na kila mwaka wanasemaga hivyo hivyo, ila siku zinaenda na watu wanazidi kudunda tu
 
Hakuna dalili hata moja unaweza kutoa Iran anapewa msaada na Russia, Iran kapigana vita miaka 8 dunia nzima ilikuwa upande wa Iraq, na Iraq hakuweza kumshinda Iran. Yale yale ya Israel kujidai kashinda vita 1973 wakati sio kweli. Leta vita alizo pigana Iran uone kama kapewa msaada na nchi yoyote, sa tazama upande wa Israel vita vyote hata ya hio na Hamas walio pigana karibuni, mpaa akalambe makamsi ya kuombewaa huruma kwa USA.

embu leta kwanza silaha alizonazo iran halaf mimi nitakuthibitishia kwamba sio teknologia yake, hivyo vimisile vyake vyote ni modified au copi ya urusi, KILAZA ana akili gani?

halaf nambie hiyo nyuklia anayotengeneza teknologia kapata wp?
 
dogo usisahau kwenye vita lazima kuna watu wanakufa, na hatujakataa Israel amewahi kuwashinda warabu baada ya kusaidiwa na nchi nyingi mfano UK, USA, FRANCE, GERMANY, CANADA na Italy. Sa we unapo taka kuona ngoma ni sasa Israel hawawezi kupigana vita bila ya USA ikiwa Hamas amebanwa kila kona na yuko kwenye sunction Israel mpaa wamechukua stock ya USA na hawakuweza kumshinda Hamas, wataweza kupigana na Egypt kwa sasa sidhani, nadhani itakuwa ni ndoto tu ya 1967 wakati tuko 2014.

sasa ulitaka asisaidiwe? hamna vita ambayo nchi inapigana peke yake bila msaada wa nchi marafiki, hata Iran anaisaidia Syria
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom