Israel no longer capable of winning wars

Israel no longer capable of winning wars

Status
Not open for further replies.
walishangilia kwa sababu cairo ilikua inaelekea kutekwa ndo vita ikasimama, kinyume na hapo cairo ingekua ni sehem ya israel ya leo sasa kwa sababu hiyo si hata mimi ningeshangilia?
Dogo Israel siku akifika Cairo na kuiteka basi ujuwe ndio kiama chao watoto walio laniwa na Mungu.
 
Iran sio mwarabu nenda shule ukasome dogo. Yani unapo sema warabu wazungu hawapigani wao kwa wao, na wafrika hawapigani wao kwa wao sa kilio ni pale Israel Jewish wao kwa wao wanapigana si ndio ajabu wale mayahdi wanaonewa na mazionist hahaha.

iran sio mwarabu lakini hao wote hapo mashariki ya kati wanaunganishwa na mwamvuli mmoja, ndo maana nikasema linapokuja suala la Israel wanakua kitu kimoja hao jamaa, halaf hapo miidle east ni wengi tu sio waarabu, ila hizo nchi hapo zinakua generalized kama ni arab countries, ila jamii ambazo sio waarabu wapo wengi sana hapo
 
dogo Hamas kapata alicho kipata dalili sa ivi vifaa vianmiminika Gaza kama mchezo, wenzako sa wanakula Samaki freshi kabisa, na pia kumbuka kitu jamaa wamiesha anza kujenga Air port yao na Sea port na Israel hatasubutu kuwagusa.

wameachiwa tu kanafasi kidogo cha port cha danganya toto.
 
iran sio mwarabu lakini hao wote hapo mashariki ya kati wanaunganishwa na mwamvuli mmoja, ndo maana nikasema linapokuja suala la Israel wanakua kitu kimoja hao jamaa, halaf hapo miidle east ni wengi tu sio waarabu, ila hizo nchi hapo zinakua generalized kama ni arab countries, ila jamii ambazo sio waarabu wapo wengi sana hapo
Hapana we bado hujui Israel siku zote anatumiwa tu sababu ni mtumwa, USA anamtumia kwa faida yake, juzi juzi Saud Arabia kumuingiza kwenye vita vya Gaza, na kuna fununu anataka kumuingiza na Iran hapo ujuwe Israel ni remote control anabonyezwa tu, leo USA kesho Saud Arabia na hawezi kuwapinga maboss wake.
 
si ndo maana sasa egypt wakaona kama wameshinda vita?
Waliishia Sinai tu unadhani watasubutu kuchezea moto wa Egypt, imebidi USA awe anahonga pesa ili wasiwavamie Israel hahaha.
 
wameachiwa tu kanafasi kidogo cha port cha danganya toto.
dogo Israel sidhani kama ataenda vitani miaka mitano inayo kuja hasara aliyo ipata si ndogo huko Israel kuna njaa sasa wengine wanamlani Ntanyahau, we kaa hapa unawapigia debe usidhani kama watakusikia.
 
Waliishia Sinai tu unadhani watasubutu kuchezea moto wa Egypt, imebidi USA awe anahonga pesa ili wasiwavamie Israel hahaha.

ilikua na cairo itekwe, misri akasalmu amri, tungekua tunaongelea habar zingine sa hii
 
dogo Israel sidhani kama ataenda vitani miaka mitano inayo kuja hasara aliyo ipata si ndogo huko Israel kuna njaa sasa wengine wanamlani Ntanyahau, we kaa hapa unawapigia debe usidhani kama watakusikia.

sasa kati ya israel na gaza waliovunjiwa magorofa yao waliopata hasara ni nani? sa iv si ndo waarabu wanajichanga kuwasaidia jamaa?
 
Hapana we bado hujui Israel siku zote anatumiwa tu sababu ni mtumwa, USA anamtumia kwa faida yake, juzi juzi Saud Arabia kumuingiza kwenye vita vya Gaza, na kuna fununu anataka kumuingiza na Iran hapo ujuwe Israel ni remote control anabonyezwa tu, leo USA kesho Saud Arabia na hawezi kuwapinga maboss wake.

jamaa si vichwa? saud hawez kumcontrol Israel, wenyewe tu ni vibaraka wa US
 
Leta dalili zako kama kweli.

soma hizo link nilizoweka uone jamaa walikua bado km ngapi wafike cairo, yani ilikua ni kama mbezi na posta hata kwa daladala unafika, ndo vita ikasimama, misri akaona hana ujanja zaid ya kuomba msamaha
 
sasa kati ya israel na gaza waliovunjiwa magorofa yao waliopata hasara ni nani? sa iv si ndo waarabu wanajichanga kuwasaidia jamaa?
Eti magorofa hahaha kweli wewe wa mirembe, hivi we hujui Natanyahu alikuwa akilia anaomba USA wasisimamishe ndege zao kwenda Israel, hivi we hujui kama Natanyahu alikuwa akimpigia John Kerry asimamishe vita, hivi wewe hujui mikutano yote aliyo kuwa akifanya Natanyahu ilikuwa chini ya mahandaka, hivi we ulikuwa hujui kama wale ma Commendor wa Golan ambao Israel anawasifu ndio wanajeshi mashujaa walipigwa mpaa ikabidi Israel aondoe majeshi yake Gaza. Hivi we hujui katika vita alizo pigana Israel hii kala hasara kubwa sana na kwa siku 50 tu je ataweza massive missiles zile kama nyuki tokea Iran na Syria, sidhani.
 
soma hizo link nilizoweka uone jamaa walikua bado km ngapi wafike cairo, yani ilikua ni kama mbezi na posta hata kwa daladala unafika, ndo vita ikasimama, misri akaona hana ujanja zaid ya kuomba msamaha
dogo mtu mjinga ndio atakubaliana na wewe, kumbuka kijeshi kusongo km 5 ni masiku au siku vipi unapo ongelea km 101 ambayo Israel ndio anajidai alibaki kufika kwenda cairo, sa cairo to Sinai ni km ngapi? kweli wewe kichaa . Israel pale Gaza yote in km 30 kashindwa ingia, sa km 30 na 101 wapi na wapi.
 
Egypt asingesalimu amri halaf ndo ungeona angefika baada ya muda gani...Military Jet zinacover muda gani hiyo Km 101?
 
Eti magorofa hahaha kweli wewe wa mirembe, hivi we hujui Natanyahu alikuwa akilia anaomba USA wasisimamishe ndege zao kwenda Israel, hivi we hujui kama Natanyahu alikuwa akimpigia John Kerry asimamishe vita, hivi wewe hujui mikutano yote aliyo kuwa akifanya Natanyahu ilikuwa chini ya mahandaka, hivi we ulikuwa hujui kama wale ma Commendor wa Golan ambao Israel anawasifu ndio wanajeshi mashujaa walipigwa mpaa ikabidi Israel aondoe majeshi yake Gaza. Hivi we hujui katika vita alizo pigana Israel hii kala hasara kubwa sana na kwa siku 50 tu je ataweza massive missiles zile kama nyuki tokea Iran na Syria, sidhani.

hakuna hata cku moja ISRAEL aliomba vita isimame, alisema mpaka Hamas waache kurusha vikombora vyao na wao ndo watastop, kinyume na hapo kichapo kinaendelea.

hao Syria wenyewe sa ivi maji yako shingoni, hivi hayo mawazo ya kuishambulia ISRAEL hivi bado anayo kweli? wakati Israel keshamtupia nyuki anaparangana nao, cheza na MOSSAD wewe?
 
slide_286408_2223345_free.jpg

slide_286408_2223405_free.jpg

A general view of the Natanz nuclear enrichment facility, is seen on April 9, 2007, 180 miles south of Tehran, Iran
slide_286408_2223310_free.jpg

In this Saturday, Aug. 21, 2010, file photo, an Iranian security directs media at the Bushehr nuclear power plant, with the reactor building seen in the background, just outside the southern city of Bushehr, Iran. (AP Photo/Vahid Salemi, File)
slide_286408_2223321_free.jpg

A Russian technician works in the control room of Bushehr nuclear power plant at the Iranian port town of Bushehr, 1200 Kms south of Tehran, on February 25, 2009. (BEHROUZ MEHRI/AFP/Getty Images)

Former Secretary of State Henry Kissinger said that Iran "is a bigger problem than ISIS.
Kissinger explained that because Iran has a stronger footing in the Middle East, it has a greater opportunity to create an empire.The borders of the settlement of 1919-'20 are essentially collapsing," he said. "That gives Iran a very powerful level from a strategic point of view. I consider Iran a bigger problem than ISIS. ISIS is a group of adventurers with a very aggressive ideology. But they have to conquer more and more territory before they can became a strategic, permanent reality. I think a conflict with ISIS - important as it is - is more manageable than a confrontation with Iran.
Kissinger's warning about Iran is unsurprising given
his past skepticism about its nuclear program. Henry Kissinger is a jew origin.

Henry Kissinger: Iran 'A Bigger Problem Than ISIS'
 
alalam_635451796617740517_25f_4x3.jpg

Iran Defense Minister Brig Gen Hossein Dehqan

Iran’s Defense Minister Brig. Gen. Hossein Dehqan insists that the Israeli regime will no longer be able to achieve victory in any future war while hailing heroic victory of Palestinian resistance fighters during the latest Zionist onslaught on the besieged Gaza Strip.

“The occupying Zionist regime will no longer be the victor of any war, and it does not even have the power to decide about engaging in a new war, and their threats are merely a political bluff,” said Gen. Dehqan on Monday.
The Iranian defense minister praised the capabilities of Palestinian resistance groups, saying that they have the upper hand and can achieve their goals in the face of Israeli threats.

Israel’s “humiliating” defeat in its deadly war on the blockaded Gaza Strip shows the failure of Washington’s policies, said Dehqan, stressing that the time has come for the US to accept the realities on the ground in the Middle East and stop supporting Tel Aviv and meddling in the region’s affairs.

“Any new adventurism by Israel in the region will definitely take this fake regime closer to the end of its…life and will strengthen the resolve of Palestinian resistance groups to respond to Tel Aviv’s warmongering,” Dehqan added.

The Israeli military unleashed aerial attacks on Gaza in early July and later expanded its military campaign with a ground invasion into the Palestinian strip. Over 2,130 Palestinians, including around 570 children, lost their lives and some 11,000 were injured in the raids.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has come under sharp criticism by many Israeli officials, including members of his own coalition, after reaching a truce deal with the Palestinian resistance groups on August 26.

Many in Israel believe that the regime has failed to establish a clear victory in the offensive, which took a heavy economic toll on Tel Aviv and killed nearly 70 Israeli soldiers.

Source:Alalam

Israel no longer capable of winning wars: Iran
Alalam: is arabic source. Non international and pro-Arabs source.
 
Egypt asingesalimu amri halaf ndo ungeona angefika baada ya muda gani...Military Jet zinacover muda gani hiyo Km 101?
dogo hio ni ndoto Israel asinge fika na alisha jua hata kama angefika asinge weza kupigana na Egypt kwa miaka, lazima ufahamu hayo Israel hana ubavu wa kupigana na Egypt. We huoni Israel anavyo bembeleza urafiki na Egypt una cheza nini. Mtu asiye na akili ndio anaweza kusema Israel anaweza kupigana vita na Egypt na akamshinda bila kusaidiwa na USA.
 
hakuna hata cku moja ISRAEL aliomba vita isimame, alisema mpaka Hamas waache kurusha vikombora vyao na wao ndo watastop, kinyume na hapo kichapo kinaendelea.

hao Syria wenyewe sa ivi maji yako shingoni, hivi hayo mawazo ya kuishambulia ISRAEL hivi bado anayo kweli? wakati Israel keshamtupia nyuki anaparangana nao, cheza na MOSSAD wewe?
Dalili nakuweka hapa Israel aliomba vita vya Gaza visimamishwe kwa njia ya John Kerry. Tazama nimeweka gazeti kamili hapo afu kasome ile highlighted nilio weka green colour uone waliomba vita ismamishwe kwa kutumia njia ya John Kerry au hawajaomba, eti a humanitarian cease fire, toka lini Israel anajua a humanitarian cease fire.

Dermer: Criticism of Kerry due to Israel's rambunctious democracy - Israel News, Ynetnews

Dermer: Criticism of Kerry due to Israel's rambunctious democracyAmbassador to US stresses 'Israeli press' and not Prime Minister Netanyahu behind critique of Kerry's efforts in brokering ceasefire.
Israel's ambassador to the United States said Wednesday that criticism of Secretary of State John Kerry's peace-making efforts is traceable to the country's "very rambunctious democracy" and not Prime Minister Benjamin Netanyahu.
"This is not coming from the prime minister," Ambassador Ron Dermer said in a nationally broadcast interview. "The prime minister appreciates" what Kerry has done in seeking a cease-fire in the Gaza war, Dermer said.
And he called the more than three-week conflict "a just war."
"I can't think of a more just war," Dermer said in a television appearance on MSNBC. "Hamas is no different than al-Qaeda. You can imagine what the American people would want their government to do."
Kerry earlier this week brushed off the criticism, telling reporters at the State Department that "I am not going to worry about personal attacks."
For his part, Dermer said Wednesday, "This is the Israeli press that is speaking. We are a free country."
"We have a coalition government," he said. "People have to understand this is a very rambunctious democracy." Dermer said he would be deserving of a prize if he could get Netanyahu out of a Knesset debate "without someone calling him a liar."
Speaking to reporters Monday at the State Department, Kerry noted he had a 100-percent pro-Israel voting record in the Senate and said he would not "take a second seat to anybody" in his devotion to Israel's security. Kerry also said he wouldn't be pushing for a ceasefire if Netanyahu hadn't asked him to.
"Prime Minister Netanyahu himself said to me, 'Can you try to get a humanitarian cease-fire for this period of time?' And if it weren't for his commitment to it, obviously the president of the United States and I would not be trying to make this effort," Kerry said.
[TABLE="width: 300"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​
"Now either I take his commitment at face value or someone is playing a different game here, and I hope that's not the fact," he said.
Dermer argued that "87 percent" of the Israeli people are against a cease-fire, saying "I think the criticism you're seeing is a country at war, a free press."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom